Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,303
Kweli Kaunga, huo uongo anaoongelea FP hauna tija kabisa....
Ila nilishasema kwamba, uongo mtakatifu au kutosema baadhi ya mambo ni vitu vya muhimu na haviepukiki katika mahusiano.
Mfano, kwa nini umweleze mpenzi wako kwamba umekutana na ex-BF/GF mahali wakati unajua itamuumiza?
Kwa nini umweleze kuwa utapita kwa rafiki yako John/Amina wakati unajua hampendi?
Babu DC!!
Hata ukimkuta Juma/Amina njiani bora useme kama mlikutana na kuzungumza zaidi ya salam tu
Bora ajue unamwambia ukweli japo hampendi hiyo rafiki, kuliko kuonekana unaficha ficha