Trust katika Mahusiano

Trust katika Mahusiano

na hilo siyo kosa. unaweza kuamua umwambie au usimwambie maana mmebambana tu wala hukuwa na dhamira ya kukutana naye

Yes unaweza usimwambie but akaambiwa na vishongondombiu, ukajikuta tu jioni waulizwa flani hajambo? kumbe siku hizi mwasubiriana kwenye daladala............ unabaki mdomo wazi!
 
na hilo siyo kosa. unaweza kuamua umwambie au usimwambie maana mmebambana tu wala hukuwa na dhamira ya kukutana naye

Twaib! Haina tofauti na unavyokutana na watu wengine katika mishemishe za kila siku.

Na katika mazingira kama hayo mimi sioni sababu ya kumwambia mwenzio hususan kama unajua au hata kuhisi tu kuwa hatafurahia.
 
ha haaa, nina masalamu yako mengiiiiiii, kuyapata ni mpaka uni-call, lol!
bribe hizi zitaisha kweli?
hivi gfsonwin sauti imepona? maana the big day si ndo kesho? tunakuombea mwaya
leo nakoroma kama gari lilikata muffler.
iyo kesho kutwa nafikiri watu wataweka pamba maskion mweeeh!

hapa niko rehasal nanguruma hadi mtu kaniambia inabidi ujifayie utafiti hiyo sauti yako nimecheka ile mbaya.
 
FP unajua hili lote linatokana na suala uliloliweka la TRUST. Kama unamwambini mwenzio, akikwambia anakwenda saluni, basi AMINI kuwa anakwenda saluni. Ukianza kuuliza ni saluni gani ulikwenda, salunist gani alikuattend, ni Papaa au mswetiee unaanza kuandaa mazingira ya kutokuaminiana na hasa pale ambapo ukiambiwa ukweli wewe unatengeneza ukweli wako mwenyewe basi unaharibu zaidi. Mf. Nimekwambia leo nimekutana na Ex-(Hapa nakwambia genuinely kabisa ukizingatia tulishamzungumzia). Ukianza kuweka hadithi/scenario zako mwenyewe mf. Mh inawezekana walipanga iweje wakutane leo, kwenye daladala la saa nne..tayari unaleta matatizo.
 
Last edited by a moderator:
FP, sikubaliani na uongo wa aina yoyote ile, uongo ni uongo tu hakuna rangi ya kuupaka
ha haa, binamu huo uongo wa majanga hata mimi nimesema naukubali, kwenye majanga there is no way utasema ukweli, utaonekana mwehu ukisema ukweli
 
FP unajua hili lote linatokana na suala uliloliweka la TRUST. Kama unamwambini mwenzio, akikwambia anakwenda saluni, basi AMINI kuwa anakwenda saluni.

I say trust but verify. Kuamini amini tu bila kushirikisha common sense na bongo yako haihusiki kabisa.

Ukianza kuuliza ni saluni gani ulikwenda, salunist gani alikuattend, ni Papaa au mswetiee unaanza kuandaa mazingira ya kutokuaminiana na hasa pale ambapo ukiambiwa ukweli wewe unatengeneza ukweli wako mwenyewe basi unaharibu zaidi.

Mi sioni ubaya wa kumwambia mwenza wako saluni gani unaenda maana kama unaenda kweli kwa nini usimwambie? Ni vizuri kumwambia mwenzio ili hata ukipatwa na mabaya na usirudi nyumbani yeye angalau atakuwa anajua pa kuanzia.

Mf. Nimekwambia leo nimekutana na Ex-(Hapa nakwambia genuinely kabisa ukizingatia tulishamzungumzia).

Hivi kwanza mtu unaanzaje kumwambia mpenzi wako kwamba umekutana na ex wako? Ni kwamba out of the blue unaanza 'habibti/ habibi leo nimekutana na ex wangu pale Shoppers Plaza au'?
 
Yes unaweza usimwambie but akaambiwa na vishongondombiu, ukajikuta tu jioni waulizwa flani hajambo? kumbe siku hizi mwasubiriana kwenye daladala............ unabaki mdomo wazi!
ha haaa, kweli dhamira itanisuta kama tulisubiriana, lakini kama tulikutana kwa bahati mbaya........
hapo sasa ndo nitamwambia kuwa tulikutana kwenye daladala
 
Twaib! Haina tofauti na unavyokutana na watu wengine katika mishemishe za kila siku.

Na katika mazingira kama hayo mimi sioni sababu ya kumwambia mwenzio hususan kama unajua au hata kuhisi tu kuwa hatafurahia.
hilo ni haswa mimi pia ningefanya, kama tumekutana tu bila kupanga wala simwambii kama naona atasikia kutapika akisikia jina lake kama jana alivyosema mdogo wangu amu kuwa yule jamaa hata akisikia sauti yake anasikia kutapika
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
leo nakoroma kama gari lilikata muffler.
iyo kesho kutwa nafikiri watu wataweka pamba maskion mweeeh!

hapa niko rehasal nanguruma hadi mtu kaniambia inabidi ujifayie utafiti hiyo sauti yako nimecheka ile mbaya.
ha haaa, angalia usikorome sana inaweza ishia, koroma taratibu, lol!
pole mwaya itatoka tu
 
Hata mie bora nijue

Hata kama nitaumia, lakini uaminifu wangu kwake utaimarika zaidi
Nisipoambiwa halafu nikaja kujua baadae itanisumbua, kwa nini hakusema?

Hata kama alikutana naye benki kwa bahati tu nayo utataka uambiwe?
 
FP unajua hili lote linatokana na suala uliloliweka la TRUST. Kama unamwambini mwenzio, akikwambia anakwenda saluni, basi AMINI kuwa anakwenda saluni. Ukianza kuuliza ni saluni gani ulikwenda, salunist gani alikuattend, ni Papaa au mswetiee unaanza kuandaa mazingira ya kutokuaminiana na hasa pale ambapo ukiambiwa ukweli wewe unatengeneza ukweli wako mwenyewe basi unaharibu zaidi. Mf. Nimekwambia leo nimekutana na Ex-(Hapa nakwambia genuinely kabisa ukizingatia tulishamzungumzia). Ukianza kuweka hadithi/scenario zako mwenyewe mf. Mh inawezekana walipanga iweje wakutane leo, kwenye daladala la saa nne..tayari unaleta matatizo.
ha haaa, ni kweli kuna wanaotengeneza hadithi za kufikirika ili tu mwenzie ajisikie haaminiwi.
lakini mf. namwambia mtu naenda salon na anakuamini kabisa, nakaa huko masaa matatu au zaidi halafu narudi na kichwa kama kilivyoenda, hakuna badiliko, unatengeneza mazingira gani? kulikuwa na foleni kubwa, mbona hukurudi baada ya nusu saa? umepoteza masaa matatu then hujafanya lolote bado unataka mtu aamini kuwa ulikuwa salon? kama ulikuta foleni hapo salon na ukaamua ufanye misele mingine kwa nini usimpigie mwenzio na kumwambia salon kumeshindokana sasa nimeamua nikapite hosp nikaone wagonjwa?
unarudi umechelewa, hujafanya ulichosema waenda kukifanya, unasubiri uulizwe ndo utoe hadithi?
 
Hata mie bora nijue

Hata kama nitaumia, lakini uaminifu wangu kwake utaimarika zaidi
Nisipoambiwa halafu nikaja kujua baadae itanisumbua, kwa nini hakusema?

Kwanza siwezi kuumia kwa mtu kukutana na ex wake bila ya kupanga.

Kitu hicho hakiwezi kutokea kwangu

Sasa asiposema nitajua kuna anachokificha tu
 
FP, sikubaliani na uongo wa aina yoyote ile, uongo ni uongo tu hakuna rangi ya kuupaka
ha haaa, kwa bahati mbaya hakuna mtu anayekuwa na courage ya kumwambia mwenzie kwamba nina mpango wa kati, hilo hata kama tunalichukia vipi tutalisema tu kwa uongo
 
Kwanza siwezi kuumia kwa mtu kukutana na ex wake bila ya kupanga.

Kitu hicho hakiwezi kutokea kwangu

Sasa asiposema nitajua kuna anachokificha tu
mi naomba unifundishe hapa maneno ya kusema....
yaani mf nimekutana na x njiani, tunapishana fulani hivi, sababu tunafahamiana tunasalimiana then kila mtu anaenda na hamsini zake. nikifika home naanzaje kusimulia hiyo hadithi? mbona simhadithii habari za watu wote niliokutana nao siku nzima njiani ambao anawafahamu? Kongosho naomba mwongozo kwa hili, naanzaje kuisimulia? I am serious
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, hapo kwenye watoto ndo usiseme my dear, yaani ni majanga........
mimi huwa nasema tu mmmmmmmmhhhhhhhhhhh na jicho nimemkazia, utasikia Nimedanganya, lol!
hahahahaha haya ndio mambo ya kusikia jina la yule motto nisiyempenda yaani ukiuliza tu utaambiwa sijui mama. Na kweli ukimkazia macho na kuonyesha msimamo utaambiwa ni kweli mama nimesema uongo hapo itabidi ianze risala tena. Naamini uongo wa kitoto huwa una mwisho sababu wanaogopa sana kuchapwa ndio maana wanasema uongo. Na wakati mwingine hawapendi ujisikie vibaya
 
Unajua mie tatizo linaanza pale mtu anapokuwa na wasi wasi wa kusema

Kama ulikutana naye benki kwa bahati, na wewe uliporudi wala hukumbuki sina tatizo

Ila kama unaficha kwa makusudi hapo tatizo linakuwepo

Hata kama alikutana naye benki kwa bahati tu nayo utataka uambiwe?
 
Kuna watu wengine hawaaminiki hata siku moja aiseee. Kwao uongo ni kama kula chakula,wamezoea hadi hawaoni kama ni vibaya.
 
Kama wamekutana bila kupanga sitaumia

Nilidhani wamekusudia kuonana, hata kama walikusudia kuonana kwa sababu muafaka, bora tu nijue

Ile kuficha itanifanya nianze kuwa na maswali

Kwanza siwezi kuumia kwa mtu kukutana na ex wake bila ya kupanga.

Kitu hicho hakiwezi kutokea kwangu

Sasa asiposema nitajua kuna anachokificha tu
 
mi naomba unifundishe hapa maneno ya kusema....
yaani mf nimekutana na x njiani, tunapishana fulani hivi, sababu tunafahamiana tunasalimiana then kila mtu anaenda na hamsini zake. nikifika home naanzaje kusimulia hiyo hadithi? mbona simhadithii habari za watu wote niliokutana nao siku nzima njiani ambao anawafahamu? Kongosho naomba mwongozo kwa hili, naanzaje kuisimulia? I am serious

Au umemuona ex wako anapanda daladala la Makumbusho - Bagamoyo wakati unaelekea pale CRDB kuchukua hela kwenye ATM.

Hii nayo lazima uiripoti kwa habibi wako? 'Habibi leo wakati navuka barabara kwenda pale benki CRDB Makumbusho karibu na kituo cha mabasi nimemuona ex wangu akipanda daladala' :becky:
 
Back
Top Bottom