Trust katika Mahusiano

Trust katika Mahusiano

Babu uliposema ukweli mwengine ni bora useme uongo....ili ukweli usijemuumiza mupenzi.....bu what if umedanganya afu akajua?

Nipate vizuri mdogo wangu...

katika mambo yote ya msingi ya mahusiano yetu...UKWELI UKWELI UKWELI siku zote...

katika mambo petty petty na yasiyo na tija...hakuna hata haja ya kuyaongelea.

Babu DC!!
 
babu shkamoo! mimi mtu kama huyo hata kuishi naye naona tabu sana! anaweza kukudanganya sanaaaaa, mpaka siku akikuambia ukweli, utahisi labda ni ile hulka yake imekomaa, jamani jamani TUPUNGUZE UONGOOOOOOO! MTU UNAKUWA MUONGOOOOOOOO, utasikia mimi nakaa kwenye bonge la ghorofa mbezi baharini, umepata mgonjwa ghafla, tumekuja kwako, kumbe unakaa kwenye kota za polisi! jamaniiiiiiiiiiiiiiiii! puuuuuuuuuuuuu!
rafiki mi ntakuwa sikuambii kama nina mgonjwa ujue.......
sasa masifa yangu yote yale siku ukija kwangu si itakuwa balaa......
bwana eeeh! nikiwa na mgonjwa tutakutana hosp........ sawa?
yaani hapa nacheeeeka, kwa raha zangu....
 
hahahahahahahahahahaha duuuu hii noma alaf na hisi hii ni tabia
 
ha haaaa, hapo kwenye bold ni kweli shosti.....
hivi ntaanzaje kusimulia kuwa nina mpango wa kando? au yeye ataanzia wapi kunisimulia? hapo ni kudanganyana tu....
ila sasa inapotokea nadanganya kuwa naenda hosp wakati naenda kwenye kibao kata hapo sasa ndo kuna tatizo

Najaribu kuimagne ndo wajifanya mkweeli na mwamniifu...mume/mke wangu am soory am sorry unajua......unajua nilishindwa kujizuia....please understand me my dear...najua utaumia but forgive me......utazunguuuka weee unachotaka kukisema hukisemi.......mpango wa kando mchezo....tutadanyanywa tuuuu
 
On my way mpendwa hii cheating imenigusa sana...maana kimtindo nimesha danganywa sana ki isiyo na tija..but gharama zake bora mtu aseme ukweli....naja bibie
tunakusubiri mamii.....
lakini hilo la cheating litakuja kivingine..... hapa tuongelee ya kawaida tu
 
hahahahahaha mumeo alikuwa ana kutega, daa ulivyomsifia jamaa alijua hapa sina changu, ukweli ulikuweka huru.
umeufanya ubongo wangu, uchanganyike na kukumbuka ya nyuma .

niliwah siku kumsifia mwanaume mmoja ambaye walisoma nae na out of my own understading nlimwambia mwanamke atakaye olewa na MW..... atafurah sana, huuby akinyunyuka na kuelekea chumban na msosi ambao alikuwa anakula alisusa. to be fair as a lady nilijua nimekosea ingawa kimsingi sio kosa kivile. basi nili kuwa mpole nikamwangukia hubby kwa samahani hadi akarudisha moyo nyuma na kula msosi wake alokuwa kaususa.

kimbembe kikaja siku moja nilikuwa naenda sokoni nikakutana na huyu shemeji, tukasalimiana vizuri kweli tukadondosha stori moja mbili, basi akanipatia kadi ya mchango wake wa harusi. mm kuikataa kuipokea nilishindwa manake ningemwambiaje?? nikaichukua nikaiweka mfukoni, njian narudi nawaza nitamwambiaje mume kwamba nimekutana na huyu mtu na wakati alishanikanya nisimuongelee huyu mtu mbele yake?? dah uanamke kazi niliumwa kichwa kwa mawazo mwisho nikasema to hell with everything nitamwambia ukweli ila nitatafuta pozi la kushuka ili asiniwie mbogo. mweeeeh!

basi jion hubby karudi mie tabasamu la kulazimisha ile mbaya pole nk vikafuata, baada ya mapumziko kaoga, kala tukaingia chumban basi kitandani nawaza naazaje kusema?? kumbe bwana nikiwa nawaza naazaje kusema hubby alikuwa kesha chungulia ndani ya pochi yangu akiwa anatafuta nail cut akaiona na yeye aliuchuna ili ajue kama nitasema kweli ama nitamficha. si nikaanza mume wangu mpenzi niko chini ya miguu yako baba nisamehe usinigombeze naomba unisikilize. hahah...........alichonijibu mbona unatubu sana mie unachotaka kuniambia nakijua wala usipate shida ya kuungama ila tu niambie ukweli umekutana wapi na mw...............???

mmh! yaani ilikuwa kama maji yaliyopatiwa njia ya kupita, nilijieleza kana kwamba natolewa roho kwa heshima utafikiri kashikilia digrii yangu ama anataka kuchana cheti changu. alichonijibu ni neno moja tu alisema yaani D ungenificha hili ungenitambua ila umesema ukweli sion shida nimekuelewa.

mm ndo presha ikashuka nikalala mtoto wa kike.

mpaka leo sijui kwann lakini binafsi huwaga nasema mwanaume ni mwanaume tu aisee hata kama ni mtoto mdogo wa kiume mi saluti kwake. na ndio maana hunikuti nashindana nae milele.
 
rafiki mi ntakuwa sikuambii kama nina mgonjwa ujue.......
sasa masifa yangu yote yale siku ukija kwangu si itakuwa balaa......
bwana eeeh! nikiwa na mgonjwa tutakutana hosp........ sawa?
yaani hapa nacheeeeka, kwa raha zangu....
jichekee mwaya! dunia ina miujiza na mitihani! ila hii ni mitihani ya kujitakia! utasikia oooooooo mume wangu yupo kwenye research za kufa mtu nchi za asia! kumbe puuuuuuuuu kapigika mbayaaaaaaa kutwa kujisifia! jamani tubadilikeeeeeeeeeee! bora uwadanganye mapacha wangu, mtu mzima mwenzio kweli?
 
Kwenye mambo ya mahusiano, wanaume hujiona kana kwamba wako juu ya sheria. Pia sometimes wanawachukulia wenzao for granted...

Ni kawaida mwanamume kusimula habari za wapenzi wake wote, mwingine hata kama ni 20. Ila wewe anza kumweleza, ukifikisha hata 5-10 hajadondoka basi huyo siyo wa sayari hii!!

Muwaelewe tu na kuwasaidia...vinginevyo mtaongeza idadi ya wajane bure!!

Babu DC!!
Hapo kwenye bold nimekuelewa mkuu

Mwanamume anashindana na wanae kwa mkewe sasa ndo ulete habari za ex si ndiyo patachimbika??

Tuacheni jamani...Mungu mwenye ndiye katuumba hivyo...

Just loves and get us not into competition...

Babu DC!!
Well noted
 
mwali venyu ni mwl nyerere cc.
mtaadharishe rafiki cacico kuwa haendi kuonana na watu wasio na maana, ulinzi huko 100% itabidi awe na kitambulisho..... mimi sitakuwa tayari kwenda kuwekea dhamana mtuhumiwa wa ugaidi...... wakuu 17 mchezo....
 
Last edited by a moderator:
mtaadharishe rafiki cacico kuwa haendi kuonana na watu wasio na maana, ulinzi huko 100% itabidi awe na kitambulisho..... mimi sitakuwa tayari kwenda kuwekea dhamana mtuhumiwa wa ugaidi...... wakuu 17 mchezo....
hata ukinikatisha tamaa nitakwendaaaaaaaaaa! lazma kumsuport rafiki, nguvu zako za kunikatisha tamaa nazikemea!
 
sikukatishi tamaa rafiki....
mbona nayajua mapenzi yako makubwa kwa rafiki? huwezi kumwacha njiani.... mwambie tu kesho akuletee kitambulisho chako
 
umeufanya ubongo wangu, uchanganyike na kukumbuka ya nyuma .

niliwah siku kumsifia mwanaume mmoja ambaye walisoma nae na out of my own understading nlimwambia mwanamke atakaye olewa na MW..... atafurah sana, huuby akinyunyuka na kuelekea chumban na msosi ambao alikuwa anakula alisusa. to be fair as a lady nilijua nimekosea ingawa kimsingi sio kosa kivile. basi nili kuwa mpole nikamwangukia hubby kwa samahani hadi akarudisha moyo nyuma na kula msosi wake alokuwa kaususa.

kimbembe kikaja siku moja nilikuwa naenda sokoni nikakutana na huyu shemeji, tukasalimiana vizuri kweli tukadondosha stori moja mbili, basi akanipatia kadi ya mchango wake wa harusi. mm kuikataa kuipokea nilishindwa manake ningemwambiaje?? nikaichukua nikaiweka mfukoni, njian narudi nawaza nitamwambiaje mume kwamba nimekutana na huyu mtu na wakati alishanikanya nisimuongelee huyu mtu mbele yake?? dah uanamke kazi niliumwa kichwa kwa mawazo mwisho nikasema to hell with everything nitamwambia ukweli ila nitatafuta pozi la kushuka ili asiniwie mbogo. mweeeeh!

basi jion hubby karudi mie tabasamu la kulazimisha ile mbaya pole nk vikafuata, baada ya mapumziko kaoga, kala tukaingia chumban basi kitandani nawaza naazaje kusema?? kumbe bwana nikiwa nawaza naazaje kusema hubby alikuwa kesha chungulia ndani ya pochi yangu akiwa anatafuta nail cut akaiona na yeye aliuchuna ili ajue kama nitasema kweli ama nitamficha. si nikaanza mume wangu mpenzi niko chini ya miguu yako baba nisamehe usinigombeze naomba unisikilize. hahah...........alichonijibu mbona unatubu sana mie unachotaka kuniambia nakijua wala usipate shida ya kuungama ila tu niambie ukweli umekutana wapi na mw...............???

mmh! yaani ilikuwa kama maji yaliyopatiwa njia ya kupita, nilijieleza kana kwamba natolewa roho kwa heshima utafikiri kashikilia digrii yangu ama anataka kuchana cheti changu. alichonijibu ni neno moja tu alisema yaani D ungenificha hili ungenitambua ila umesema ukweli sion shida nimekuelewa.

mm ndo presha ikashuka nikalala mtoto wa kike.

mpaka leo sijui kwann lakini binafsi huwaga nasema mwanaume ni mwanaume tu aisee hata kama ni mtoto mdogo wa kiume mi saluti kwake. na ndio maana hunikuti nashindana nae milele.
Kwa maelezo haya sioni kosa lako lkn ndio wanaume tutasemaje. Ila wao wakitaka kusema ya kwao sisi hatuna budi kukubali na kuwasikiliza.
 
Kwenye mambo ya mahusiano, wanaume hujiona kana kwamba wako juu ya sheria. Pia sometimes wanawachukulia wenzao for granted...

Ni kawaida mwanamume kusimula habari za wapenzi wake wote, mwingine hata kama ni 20. Ila wewe anza kumweleza, ukifikisha hata 5-10 hajadondoka basi huyo siyo wa sayari hii!!

Muwaelewe tu na kuwasaidia...vinginevyo mtaongeza idadi ya wajane bure!!

Babu DC!!
ndo maana nilisema kama hajakukuta sealed basi max number kumtajia huwa ni 2, kama hukuishia kwenye 1...
ila mimi sijui nimelogwa, huwa napenda sana kusikiliza hadithi za ma-x, walivyokutana, alivyomfukuzia, alivyojibiwa........mpaka walivyomwagana.... yaani inakuwa kama movie fulani hivi.... ninaposimuliwa nakuwa sina mbavu kwa kucheka
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom