Ndugu yangu
Gaijin,
Katika maisha haya, siyo watu wote tunaona kitu cha blue kwamba kweli BLUE...kuna wengine wana rangi zao ambazo wanazijua wao. Halafu tunaishi kadri ya tulivyo-evolve hadi kufikia wakati huu.
Kwangu mimi, kunambia vitu vidogo vidogo tena ambavyo unajua fika vitaniumiza, bora usinambie kabisa. Na hata nikijua, I won't be irritated kwani mwenzangu kachukua walau hatua kuto-hurt feelings zangu...
Huyo ndiye mimi...as long as hivyo vitu havina tija kwenye mahusiano yetu na havigusi misingi mikuu ya relationship yetu...I will not bother at all!!
Babu DC!!