Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #21
that is exactly my point..... kwa nini useme uongo kuwa hutaonana na John wakati unaonana naye?Relationship is about compromise, sasa kama sababu za kutomuona John hazina mshiko na kama sitakufa nisipomuona John; basi for the sake of mahusiano na kumjengea confidence hubby basi sintamuona John. Ila kama ni lazima nimuone, nitamwambia na kumfanya aelewe kwanini l had to go n see john.
Mazingira ya kuaminiana yanakuwa cultivated kwakweli; lkn kukiwa na maswali mengi sana kwa tuvitu tudogo basi kunatoa room ya kudanganyana.
Katika swali linaloongoza kwa majibu ya UONGO ni UKO WAPI SASA HIVI?
well some people may see that question as very romantic lakini lina dalili ya kutokumuamini mtu kidizaini hivi.
jitahidi kumpa sababu ambazo zinakufanya kwa Haki ya Mungu lazima uonane na John, kama huyo John ni muhimu kwako kwa kiasi hicho