Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #281
ha haaa, hivi vituko vipo vya kumwaga.....Hiyo kali loh....lazima fimbo zitembee.
Kuna iliyotokeaga mzee kaaga nyumbani anaenda safari mkoa jirani kikazi, mama kamfungashia mumewe vizuri...kakunja goti kaenda mpitia mapango wake wa kando wameishia segera...wamekula raha zao weeeeee....wanarudi sasa watafute gest wajifiche hadi siku za semina alizondanganya ziishe....katikati hapo ajali.....kimada dead hapo hapo...m babano mguu wa kulia noo mguu wa kushoto....mama anapiwa simu njoo mumeo yuko desh desh hospit.....
Aduwaa.....si nieagwa mimi toka alfajiri mtu kaenda semina....iweje iweje? Kufika hospital mumewe.....
kuna nyingine...... aaaahhh!
naona uvivu kuhadithia, lol!