Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,329
- 17,855
KOKUTONA nadhani itakuwa kwa kidume tu..chezeya utamu wa sukariKisa chako hapo juu kimenikimbusha class mate wangu afu alikuwa wa kwetu pia, so mama ya te nilikuwa namwita shangazi. Tulimaliza wote primary secondary tukaachana, but likizo tukawa tunaonana, tukamaliza o level tukaenda advance but shule tofauti but kizamani zamani tukawa tunaandikiana baru.
Sasa kumbe kule shule alikoenda alianza tabia mbaya...i mean A level...likizo akawa haji nyumbani kwetu tena, na hata tukienda kwao anakuwa na nyodo nyodo flani....mie tena nikaamuka kukata urafiki mazima.
Kumbe yeye ana ishu zake...so anaaaga kwa shangazi kuwa anakuja kwetu akati haji, kipindi hicho no cell phone..ukitaka taarifa lazima uchape lapa, TZ 11 ili ukazipate. So alikuwa analala anakokujua akiulizwa anasema kalala kwetu.
Mama mtu akashuka....mboma mwanae ndo anakuja kwetu but sisi mda mrefu umepita hatukanyagi kwao? Wakatuma mtoto wao mwengine kuja kuliza....nyumba nzima tukashangaa...maana hatujawah kumtia machoni....basi wazazi wke wakazani tunatania.
Wakaja, intentionally kunisakama mimi nieleze mtoto wao alipo maana eti siku zote akiaga anasema anakuja kwa KOKUTONA mmmh eti ni siku ya 3 hajarudi na wao wanajua yuko huku.....ikabidi liongelewe kwa mapana na marefu na wakagundua mtoto wao amewaingiza mjini....lakini ndo nilikuwa nimeigizwa kwenye janga nisilolijua.....kisa UONGO.
Wlikuja kumpata mahali ambapo walikuwa shoaked
Last edited by a moderator: