heeeeeee mtaa huu, bado mpo?? uwiiiiiiiiiiiiiiiiii nimejua watu wengi huingizwa choo cha viwete, hawajui waendeje haja!? kha!nyie nanyi karibu nitawatimua na huyo mume wenu, ndo maana kuutwaa mnadanganywa mwili na roho, lol!
mke mwenza upo??? Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii nimeumwa ujue??dada mkubwa we ni noumer!
Hakuna mtu anaweza kusongesha thread yake kwa muda mrefu kama wewe i see!
Nimekusifu kwa kweli!
Napendaje sasa unavokomaa na mawazo yako!safi!:clap2:
kwi kwi kwiiii, guests naona wamepungua, walikuwa zaidi ya 1000.....heeeeeeeeeeee FP naona kuna guests wa kutosha hapo chini, wakaribishe basi kebbys au lile chimbo kule savei! uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sssshhhhhhh pole pole waambie mimi bado 'bikra' kwi kwi kiw kiw kwi!
Poleni na majukumu wanaMMU...
Leo hili jambo la trust kwenye mahusiano limekuwa likijirudiarudia sana katika kichwa changu. Mahusiano mengi sana yanavunjika sababu ya kukosa uaminifu. Kuna vitu vingi nimekuwa nikijiuliza na kujijibu na vingine kukosa kabisa majibu. Kwa mtazamo wangu UAMINIFU ni jambo muhimu sana katika mahusiano. Mara nyingi napenda sana niwe katika hali ambayo namuamini mpenzi wangu, pia napenda sana kwa gharama yoyote ile kumfanya mpenzi wangu aniamini. Kama nikigundua ana wasiwasi na kitu ninachomwambia huwa najitahidi kumwuliza aniambie nifanye nini ili aniamini sababu sipendi akae akiwa na wasiwasi, na ukweli nitafanya hicho kitu ili tu aridhike.
Inawezekana mimi nipo complicated kidogo, huwa napenda sana mtu aniambie ukweli hata kama ni mbaya kiasi gani. Kwa kuujua ukweli nakuwa na uhuru wa nini la kufanya baada ya hapo.... kukusamehe na kuendelea na mahusiano au kukusamehe na kusitisha mahusiano (kusamehe kwangu huwa siyo option, lazima nisamehe ili niweze kuendelea na mambo yangu mengine).
Katika huu uzi nitazungumzia sana uaminifu wa mambo ya kawaida tu, siyo kutoka nje ya mahusiano (cheating). Utakuta sometimes mtu anaamua tu kudanganya kwa sababu yoyote anayoijua. Kwa mfano mtu anamwambia mpenzi wake naenda sokoni wakati anaenda salon, au naenda kwa dada wakati anaenda kwa shangazi.
Hivi ikatokea ndo upo kwa shangazi halafu dada akaja nyumbani kukuulizia wakati wewe uliaga kwenda kwa dada itakuwaje? hata kama kweli mpenzi ataamini kuwa ulikuwa kwa shangazi, utakuwa umejenga hisia gani kwake kuhusu wewe? kwa nini umdanganye?
Wenzangu mnalizungumziaje hili?
Karibuni kwa mjadala
we unafikiri utawa mchezo...... jela tu mtihani sembuse utawa!
acha kabisa kusikia hizo habari
acha nilale tu babu kesho nina mtihani
ila hakuna kitu nachukia kama uongo huku duniani
Tunaishi nao wapo na wataendelea kuwepo mdogo wangu Smile....na tunategemeana....you need kuishi nao kwa akili na kumuomba Mungu akupe best choice.
Kuwachukia haiwezi kusaidia...sbb utachukia, utaumiza moyo wako bure kurundika chuki juu yao ilhali yao yanawanyookea.
Utawa pazuri sema, ugumu wa kule ni watu kushindwa kupambana na nature .....hitaji la mwili-japo si la lazima kutimiliza
ndo maana wakaita ule ni wito..... unafikiri kila mtu anaitwa?
hii stori tuliwahi itumia hiyo mimi na rafiki yangu....
rafiki kaaga anakuja kwangu temeke, anatokea kigogo..... akapata ajali bagamoyo...... chezeya uongo wewe.... unapata picha tulijitetea nini kwa wazazi zaidi ya kutandikwa bakora? hapo tumemaliza form 6.
kweli uongo kitu kibaya sana japo akina dada wakiambiwa ukweli wanapotongozwa hasa kwetu sisi wanafunzi unachafuliwa darasa zima au chuo kizima watajua kuwa hujui kutongoza.....ila ukiwapa uongo kesho yake mbuyu chini....mtihani mwema mi ijumaa mida ya saa tano asbh nitakuwa nimemaliza mitihani kazi inabaki kujimwaga tu hapa jamvini....all in all simile wish once again all da best.
hata sijui niseme nini hapa...... hii ni surprise.
nimefurahi kutambua unafurahia michango yangu hapa JF, asante sana.
Ukweli huwa nasemaga kama kuna mtu ananifahamu kiuhalisia akisoma post zangu lazima atajua ni mimi. sijawahi kufaulu somo la kuigiza, lol! na najiona nina amani sana kuwa real kuliko kuigiza...
Ukweli watu wengi tunapenda sana kuaminiwa na wenzetu na pia kuwa na mazingira ambayo unajua mwenzio ni mwaminifu, ingawa ni ngumu mno
ha haaa, ndo hapo tunapowaza labda mtu ana ajenda ya siri ndo maana anadanganya
Mi nijuavyo ni kwamba, kudanganya ni sehem ya kujiokoa, pia kuwa muongo kwa mpenz wako inategemea na mpenz mwenyewe yukoje!
kuna mtu anapenda kudanganywa?Kweli kabisa mkuu,
Kama mtu anapenda uongo, ukimwambia ukweli atakuamini?
Wape watu roho zao zinapenda...
Babu DC!!
ha haaa, siku moja nimemwambia hubby naenda disco na rafiki zangu, wakati huo yeye alisafiri. basi usiku wa manane tunajirusha zetu hubby anapigiwa simu "namwona shem hapa ........ upo naye?" Imagine ningekuwa sijaaga ingekuwaje?
kwi kwi kwiiii, guests naona wamepungua, walikuwa zaidi ya 1000.....
umeona nimekuambia nina mwaliko wa talk ya Obama?
mi mwenzio uongo sijazoea, hayo unayotaka niwaambie hapana, waambie mwenyewe au tumtafute mtaalamu wa hayo maongezi, lol!
Poleni na majukumu wanaMMU...
Inawezekana mimi nipo complicated kidogo, huwa napenda sana mtu aniambie ukweli hata kama ni mbaya kiasi gani. Kwa kuujua ukweli nakuwa na uhuru wa nini la kufanya baada ya hapo.... kukusamehe na kuendelea na mahusiano au kukusamehe na kusitisha mahusiano (kusamehe kwangu huwa siyo option, lazima nisamehe ili niweze kuendelea na mambo yangu mengine).