KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,109
mwisho unaamua wewe kuomba msamaha ili mambo yarudi kama zamani, lol!
Eti si umeshapenda teeena......umekufa umeoza....huoni...huambiwi....haha haaa...jamini sisiiii
mwisho unaamua wewe kuomba msamaha ili mambo yarudi kama zamani, lol!
Big up. Ulifanya vizuri mwee , yaani nimeipenda hiyo hii kitu kuweka moyoni halafu unazeeka usoni haifai kabisa na haina nafac. Mimi sinaga cha kuweka moyoni aisee. Nadhani siku nyingine itambidi ajitahidi sana kutafuta uongo uliojificha ili uamini lkn sidhani kama utaweza kua na courage ya kumpa pesa na ikibidi apewe basi akirudi lazima ailipe tu.Halikuwa la kulinyamazia kinya rafiki...but nilihitaji energy na utulivu....sikutaka kulizungumza nikiwa na hasira.....but i told him straight to his face...siku ambayo hakutegemea
Mmmh haya mapenzi yasiyokua na macho huweza kukuongoza shimoni au kwenye msitu lol. Siku hizi mapenzi yana macho na yale mambo ya kizamani ya kuzeeshana kwa kumesa vitu au kuweka kifuani no hii mbaya sana mama angu.Eti si umeshapenda teeena......umekufa umeoza....huoni...huambiwi....haha haaa...jamini sisiiii
Big up. Ulifanya vizuri mwee , yaani nimeipenda hiyo hii kitu kuweka moyoni halafu unazeeka usoni haifai kabisa na haina nafac. Mimi sinaga cha kuweka moyoni aisee. Nadhani siku nyingine itambidi ajitahidi sana kutafuta uongo uliojificha ili uamini lkn sidhani kama utaweza kua na courage ya kumpa pesa na ikibidi apewe basi akirudi lazima ailipe tu.
Back to the point FP naweza sema uongo na kutokuwa na uaminifu katika mambo madogo madogo kunaumiza sana siyo siri.
To my experience kuna siku baba wa mwanangu/mzazi mwenzangu alipata kazi ambayo ilimfanya kuwa anasafiri safiri saana.
Siku akasafiri...but wakati yuko safarini akanicall kuwa wameibiwa na wenzake hotel...na wameaiba wallet na ATM zote na pesa na blah blah nyingi....nikawa najaribu kuhoji mazingira ya kuibiwa hotel nikirelate na mazingira ya hotel waliyofikia nikawa simuelewi it was in Moshi...but ndo shapenda tena mzee youko stranded kaibiwa kwa roho saafi nikatuma hella kidogo zimsaidie...loh.
Baada ya siku moja napigiwa simu na rafiki yangu...haa KOKUTONA nimemuona shemeji maeneo ya MAGOMENI, mnakuja mjini hamtuambiii....karoho kakaanza kudunda. Moshi na Dar wapi na wapi? Nikamuuliza umemuona kweli au wanrusha roho, she asured me na kunitajia nguo alizovaa...and she said alishindwa kumsalimia coz alikuwa kwenye dala dala....uongo huoo
Arivyorudi nikampokea pole na safari karibu...nimeletewa na zawadi zawadi zinazofanana na moshi...namuuliza ulipata wapi hela nawe uliibiwa plus pole na ahsante kibaao anasema ofisi ili refund gharama zote...kichwani mwangu namfikiriaa
Jioni ya siku hiyo kuna match...kaoga kala, kaenda kuangalia MAN U...haraka zake kasahau wallet....napanga vitu nakutana nayo roho yandunda ujue...niangalie nisiangalie....sinaga mazoea ya kupekua visivyonihusu but nilipata force ya kufungua....
Cha kwanza kukutana nacho ni bahasha ndogo zilee za kuwekea passport size imepigwa muhuri nje...wa photo studio iliyopo magomeni ndani nakutana na passport zake amevaa shati lile lile nilioambiwa alikuwa kavaa...mmmh nikajigunia nikaendelea....
Chapili nikakutana na temporary ID ya kuchukulia hela dirishani km huna ATM card iliyo processiwa bank ya dar es salamu...zote zina tarehe ile ile ambayo rafiki yangu alimuona na to remaind u jana yake alikuwa moshi na usiku wa kuamkia hiyo siku ndo aliibiwa..huko Moshi....
Kanidanganya....nikaukubali uongo km ukweli then mimegundua alinidanganya...hata km nampenda kuliko roat ya kuku nitamwamini tenaaa eti? Dark City hebu nambie hapo..tija au si tija...imesaidia nini zaidi ya maumivu ya moyo?
Exactly, hayo ndo maswali niliyouliza kabla sijasoma hii post yako, kwa nini adanganye location? kwa faida ya nani?
Mmmh haya mapenzi yasiyokua na macho huweza kukuongoza shimoni au kwenye msitu lol. Siku hizi mapenzi yana macho na yale mambo ya kizamani ya kuzeeshana kwa kumesa vitu au kuweka kifuani no hii mbaya sana mama angu.
Hapo hakuna tija kabisa na huo ndiyo ninaoita upuuzi...
Hata kama hakuwa na nia ovu...hilo kosa linaonesha bila chenga kwamba alikuwa anatenda dhambi...
Ni dhambi gani....hapo akili mu kichwa...!!
Hizi sasa ndiyo tunasema ni uongo wa kipuuzi.
Hata kama mtu anaamua kucheat, anaweza kueleza vizuri tu kwamba yuko Dar na bado akaendelea na uchafu wake..
Ila kufanya makosa ya kiufundi kama hayo, ni kuweka mahusiano rehani...
Babu DC!!
ha haaaa, nimekuelewa sana mtani. mimi pia sipendi uongo. nyumbani kwangu tunaambiana nataka kufanya hili, kama mwenzio hataki anakuambia usifanye na anakupa sababu kwa nini usifanye, mkielewana yanaishia hapo (itategemea nani atashinda katika maongezi yenu).
Mtu akinidanganya naona ananiona mimi mjinga, I can't think/ I don't understand...... yaani hawezi niambia kitu nikaelewa, ndo maana anaona dawa yake ni kunidanganya tu. I can stand mtu akinidanganya jambo lenye tija..... for God's sake husband hawezi niambia ukweli kuwa ana mpango wa kando, lazima adanganye.... nikimbamba kwa hilo nitaelewa kuwa hakupaswa kusema ukweli, alipaswa kunidanganya. hapo atasema kilichomsibu na kuomba msamaha.
cc. Kaizer, Dark City, Asprin, BAK, The Boss, KakaKiiza, Arushaone, Baba V
kwa mimi ukishaniambia ukweli kusamehe ni lazima.... sitaki stress, ili niendelee na maishaNa lazima umsamehe....ili maisha yaendelee..eti dada RED
sikutamani kabisa kuongelea hili hapa, lakini ngoja niseme tu.Hizi sasa ndiyo tunasema ni uongo wa kipuuzi.
Hata kama mtu anaamua kucheat, anaweza kueleza vizuri tu kwamba yuko Dar na bado akaendelea na uchafu wake..
Ila kufanya makosa ya kiufundi kama hayo, ni kuweka mahusiano rehani...
Babu DC!!
maweeeee dah uuuwiii ujue nilikuwa nachukia sana hawa kaka zetu..unataka kunirudisha huko eeeh?Back to the point FP naweza sema uongo na kutokuwa na uaminifu katika mambo madogo madogo kunaumiza sana siyo siri.
To my experience kuna siku baba wa mwanangu/mzazi mwenzangu alipata kazi ambayo ilimfanya kuwa anasafiri safiri saana.
Siku akasafiri...but wakati yuko safarini akanicall kuwa wameibiwa na wenzake hotel...na wameaiba wallet na ATM zote na pesa na blah blah nyingi....nikawa najaribu kuhoji mazingira ya kuibiwa hotel nikirelate na mazingira ya hotel waliyofikia nikawa simuelewi it was in Moshi...but ndo shapenda tena mzee youko stranded kaibiwa kwa roho saafi nikatuma hella kidogo zimsaidie...loh.
Baada ya siku moja napigiwa simu na rafiki yangu...haa KOKUTONA nimemuona shemeji maeneo ya MAGOMENI, mnakuja mjini hamtuambiii....karoho kakaanza kudunda. Moshi na Dar wapi na wapi? Nikamuuliza umemuona kweli au wanrusha roho, she asured me na kunitajia nguo alizovaa...and she said alishindwa kumsalimia coz alikuwa kwenye dala dala....uongo huoo
Arivyorudi nikampokea pole na safari karibu...nimeletewa na zawadi zawadi zinazofanana na moshi...namuuliza ulipata wapi hela nawe uliibiwa plus pole na ahsante kibaao anasema ofisi ili refund gharama zote...kichwani mwangu namfikiriaa
Jioni ya siku hiyo kuna match...kaoga kala, kaenda kuangalia MAN U...haraka zake kasahau wallet....napanga vitu nakutana nayo roho yandunda ujue...niangalie nisiangalie....sinaga mazoea ya kupekua visivyonihusu but nilipata force ya kufungua....
Cha kwanza kukutana nacho ni bahasha ndogo zilee za kuwekea passport size imepigwa muhuri nje...wa photo studio iliyopo magomeni ndani nakutana na passport zake amevaa shati lile lile nilioambiwa alikuwa kavaa...mmmh nikajigunia nikaendelea....
Chapili nikakutana na temporary ID ya kuchukulia hela dirishani km huna ATM card iliyo processiwa bank ya dar es salamu...zote zina tarehe ile ile ambayo rafiki yangu alimuona na to remaind u jana yake alikuwa moshi na usiku wa kuamkia hiyo siku ndo aliibiwa..huko Moshi....
Kanidanganya....nikaukubali uongo km ukweli then mimegundua alinidanganya...hata km nampenda kuliko roat ya kuku nitamwamini tenaaa eti? Dark City hebu nambie hapo..tija au si tija...imesaidia nini zaidi ya maumivu ya moyo?
sikutamani kabisa kuongelea hili hapa, lakini ngoja niseme tu.
kuna siku nilipigiwa simu na mama wa dada mmoja ambaye nilimsimamia ndoa. huyo dada sipo close naye ila waume zetu ni marafiki sana. huyo mamake aliponipigia akaniambia anajua sipo close sana na mwanaye lakini anaomba tu aniulize hilo swali, kama mwanaye yupo kwangu. nikamwambia hayupo akaniuliza mara ya mwisho kumwona nikamwambia, ilikuwa muda mrefu umepita. akaniambia nimwambie kama nipo home anataka kuja, nikamwambia hapana mama, nitakuja kwako. basi nikaondoka mpaka kwa mama.
Kufika hapo mama akaanza kulia, nauliza vipi? ananiambia kapigiwa simu na mume wa huyo dada (mkwe wake) kutaka kuongea na mkewe ambaye kaaga kwake anakuja kwangu. hapo akawa kanichanganya. akasema ni hivi, jana yule binti kaaga kwa mumewe naenda kwa mama na atalala huko, kumbe sijui kaenda wapi, na mbaya zaidi kazima simu hapatikani. Mumewe usiku umefika, anataka kumpigia mkewe amwambie gudnite simu haipatikani, akajua mambo ya mitandao au charge. akalala, kesho asubuhi kapiga simu hola, mchana hola, mmmhh akaanza kuwa na wasiwasi mkewe asije ikawa yupo Muhimbili au Mwananyamala, akaamua ampigie mama mkwe.... mama anakataa sijaona binti wala hata hakunipigia kuwa anakuja home. kazi ikaanza hapo........
unajua alipatikana baada ya wiki ndo karudi home, mzima wa afya.......
hivi mtu kama huyu unamfanyaje?
ha haaaa, na mimi nilijua tu babu utatamani hadithi imaliziwe, umegundua ndo mtindo wangu? isije ikawa wenye stori wakawa wanapita humu halafu wakaona mimi ndo namwaga stori zao huku......nilichotaka kukisema kimeeleweka.Hivi kupiga mtu chini ukaanza upya ni jambo gumu sana kiasi cha kujiuliza mara mbili mbili??
May be kwa sababu hayajanikuta...ila kama akili yangu hii bado iko intact..not compromised kwa mizizi au vidonge...
Haki ya nani nitakuwa tayari kuishi kama mtawa...
Ila na wewe uwe unamalizia hadithi basi FP ...
Babu DC!!
ha haaaa, na mimi nilijua tu babu utatamani hadithi imaliziwe, umegundua ndo mtindo wangu? isije ikawa wenye stori wakawa wanapita humu halafu wakaona mimi ndo namwaga stori zao huku......nilichotaka kukisema kimeeleweka.
Ila babu kupiga mtu chini pia ni ujasiri, siyo wote wanao huo ujasiri.
na ndo maana Mungu anampangia kila mtu na wake, kwa uvumilivu wako wewe ndo maana akakupa bibi maana alijua angekupa kama huyo basi kila siku kungekuwa na harusi yako, lol!
FP hapa hutaonekana manake nahisi utakuwa ICU kwa kipigo...ukweli gani huo unasema kwa teja? Si nimesikia kuwa huhesabiwi mwongo kwa kukataa kusema ukweli wenye.madhara zaidi kuliko faida.ha haaaa, kwanza salamu zako nyingi sana kwa snowhite, eti alikumiss sana....... na wewe anajua ulimmiss.
eti.... unadhani nikimwambia ukweli teja kuwa nina mpango wa kando naweza kesho yake onekana huku JF just sababu nilisema ukweli?
we unafikiri utawa mchezo...... jela tu mtihani sembuse utawa!Harusi kila siku ya nini bwana?
Ningeamua tu kuishi kama Mtawa wa kiume na kuelea wanangu basi....
Kwa nini nisumbue akili zangu kwa sababu ya watu wengine???....
Babu DC!!
hawezi kunibakisha nifikishwe ICU, yaani kesho yake kutakuwa na mabandiko ya RIP hapa.....
ha haaaa, na mimi nilijua tu babu utatamani hadithi imaliziwe, umegundua ndo mtindo wangu? isije ikawa wenye stori wakawa wanapita humu halafu wakaona mimi ndo namwaga stori zao huku......nilichotaka kukisema kimeeleweka.
Ila babu kupiga mtu chini pia ni ujasiri, siyo wote wanao huo ujasiri.
na ndo maana Mungu anampangia kila mtu na wake, kwa uvumilivu wako wewe ndo maana akakupa bibi maana alijua angekupa kama huyo basi kila siku kungekuwa na harusi yako, lol!
FP lol kumbe ana kamguu ka mtoto? Mubaya huyo? Hahahahahahawezi kunibakisha nifikishwe ICU, yaani kesho yake kutakuwa na mabandiko ya RIP hapa.....
kabisa, nimwambie nina mpango wa kando halafu atoe kipigo, kwani ile bastola alishaisalimisha kwa Kova?