True story: Jinsi nilivyopambana kutafuta mali za Mjerumani mkoani Morogoro, mauzauza na vimbwanga nilivyokutana navyo

Mzee kingalu si alishafariki? Ila huku kuna mambo mazito sana, nipo mitaa ya huko huko unapopazungumzia mkuu. Nna jambo langu. Na story za huku nazisikilizia kwa umakini, kuanzia kiloka, mkuyuni, tununguu na msitu wa kibungo..tuendelee mkuu. All in all huku kuna mali kibao, mbali na hizo ngumu kumeza ( mercury ) kuna mawe ya kutosha...
Uliwahi sikia mtu anaitwa Mzeru? Maeneo ya Bigwa.
 
Anataftwa mtu apigwe hapa vibaya mnoo..mi mwenyew nishawai tapeliwa hvyo hvyo maeneo ya machimbon huko sitosahau ***** zao..mara joka kubwa linakula ndege mara mapangoni stori nyiing..mara toa elf 50 tununue dawa hii mara dawa ile..***** kuja kushtukia hzo 40..mara 60 zmefika lak4...nilishtak polisi wale watu askar walicheka sanaaa wakanambia kesi hzo zipo kama 20 hiv..nmepigwa...enz hzo ..*****..
Hahahaha
 
Yaezekana aliaambiwa asitoe siri hii ili aachiwe,Huko mapangoni,kaiga vijana wa masikhara joke limemchukua linamkamua maziwa huko mapangoni.
 
Mzee kingalu si alishafariki? Ila huku kuna mambo mazito sana, nipo mitaa ya huko huko unapopazungumzia mkuu. Nna jambo langu. Na story za huku nazisikilizia kwa umakini, kuanzia kiloka, mkuyuni, tununguu na msitu wa kibungo..tuendelee mkuu. All in all huku kuna mali kibao, mbali na hizo ngumu kumeza ( mercury ) kuna mawe ya kutosha...
Mkuu nipe ramani nije kupiga show
 
Dooh...hakyanani jeiefu ni kiboko,mwamba kaliwa na joka LA pangoni😂😂😂
 
Inaendelea

Basi bwana nikamuaga shangazi naenda mlimani kufata mali na utajiri, nilivo fika mlimani nilipigwa na butwaa kuyaona maji ya mercury, nikataka kuyanywaa ile nataka kunywa tu nikasikia sauti unasema kwa kipogolo. kazopata, kazojidai, kazojenga, nilistukaaa sana.
Dooooh wapogoro tena
 
Back
Top Bottom