Sidhani kama tutashindwa kuingia JF ingawa ni kweli jamaa wa mtandao wa siku zote wamezuia free site zao.Majanga haya, jamaa wamezitia kufuri zile free site zote nne hata ile adimu nayo wameizoa kwa maana kwamba hata yale madude yetu ya hewani hayapigi mzigo tena!! Mzee wa Davinoo DEVUQUARTER-DEVUKOTA fanya utupe ile trick yako tushauwawa wanao
- Hii wadau wameisha anza kutumia kwa PD Proxy na TunnelGuru VPN
- Wadau wajukwaa nawatakia KHERI YA MWAKA MPYA 2014
mbona hamna boksi la 10,000/- kwa mwezi
je tunajiunga vp?hapa jf store tiririkeni japo kwa uficho kww mbali
bila hela
Yani i dont really knw, why lakini 0 haijapigwa lockSasa hawa opera huwa wana proxy zao nahisi DAVO wanaruhusu zifungue free site zao sawa na Airtel India free site kuna kipindi walikuwa wanazifungua kwa proxy za opera....kama unazijua hizo proxy za opera naziomba nikazijaribu kwa NMD VPN under TCP protocol
wale watu wangu kitu chenu hichooo- kama hujaelewa basi ipotezee tu maana haikuhusu
Sitaki Maswali wala PM
View attachment 129803
View attachment 129804
kitu yako DEVO iko SLOW ajabu sijawai Onaa sijui niliko Hamna 3G ya huakika au sababu nimeanza nayo usiku au la
weka speed kwako tuone basi au ka vipi nna mm niamie HSS Elite
wale watu wangu kitu chenu hichooo- kama hujaelewa basi ipotezee tu maana haikuhusu
Sitaki Maswali wala PM
JF upload imenigomea so wahitaji pakueni hapo chini
http://ge.tt/api/1/files/5ujvFzB1/0/blob?download
View attachment 129803
View attachment 129804
wale wakongwe wa VPN na free internet, ishu kama hizi zilikuazinatokeaga zaman (mabus kuzuia abiria)?
wale wakongwe wa VPN na free internet, ishu kama hizi zilikuazinatokeaga zaman (mabus kuzuia abiria)?