Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Deleted by me for security issues
Vodacom free Internet forever
Vodacom free Internet forever
This is the best thing to do rgt, these r sensitive timesWaale wakongwe wote mnaotaka Settings za VPN mpya kwa BASI letu kama kawaida tumeanzisha threa yenye password please tembeleeni kule mpate updates zinazoitaji usiri zaidi hapa tutakuwa tunapatiana updates za kawaida mengine please visit ile thread na pswd niliyokupa usimpe wmingine atakayeitaka apitie kwangu maana Kuna SPY AMENIONA MM NA NJAA AMEJIUNGA JF 2011 AMESHIRIKI REPLY POWER 7 TU AFU ETI ATANIPA HELA NIMPE SETTINGS MPYA MAANA ANAITAJI INTERNET SANA NA YEYE ALINUNUA ACCOUNT YA MIEZI MITATU HIVO NI MSAIDIE ANA SHIDA SANA....Nilipowapasia hii info wadau wamesema hapa ishakuwa hatari tayari hivo tuaanzshe SECRET PRIVATE SUB-FORUM Yenye password na tutamegeana watu tunaoaminika ili BASI likipinduka tena basi tujue mwanga yuko ktk yetu
Wakuu vp mbona mmeniacha njiani? Au nami nimekuwa galasa?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
hapa kama ujulikani na wewe unawekwa kwenye kundi la maspy.
njunwa wamavoko na mimi nataka...........!
Chonde chonde jamani, taratibu msije kuleta ajari nyingine! Nasoma online, kwa siku natumia zaidi ya 2GB, hebu jiulize huu mshahara kima cha chini cha Samwel Luhanga nitamudu vipi bila TG,
Nna mpango wakutangaza net ya bure ipo ila sitoi solution mpaka nimalize kudownload lecture notes zangu.na cjui ntamaliza lni
mkuu kamua pekee yako
maana hapa ukisema uwajali wenzako ujue imekula kwako na ujue bundle za 12,000/- kwa week zinakuhusu
Ni kweli....nw nipo bizy na paper wkend 2naanza kutest kma bado inapiga mzigo,backup net...halaa
mkiona davo pagumu badilishen basi,, me nakamua kam kawa kwa wana kabang.. asije mtu pm hiyo ni hint tu find out kam ww unajita hacker,, mm natumia, nko busy ningeweka screen shot.
Action speaks louder than words. . .
hahaha najua wengi wenu mmekwama kenye dns hijacking,, haya endeleen na group zenu zenye password, msivunjike moyo itakubali tu. duh maspy wanataka kuona action wafunge, imekula kwenu davo kwa tcp inapiga kazi kam kawa,, port 80 ya zaman inahusika hapa,, bora ninyamaze hints zinatosha kwa leo.
hahaha najua wengi wenu mmekwama kenye dns hijacking,, haya endeleen na group zenu zenye password, msivunjike moyo itakubali tu. duh maspy wanataka kuona action wafunge, imekula kwenu davo kwa tcp inapiga kazi kam kawa,, port 80 ya zaman inahusika hapa,, bora ninyamaze hints zinatosha kwa leo.