TroubleShoot your TunnelGuru

TroubleShoot your TunnelGuru

Au kama kuna mtu anajua jinsi ya kumega basi jengine, plz, atufahamishe... maana basi letu pendwa linaongeza nauli kila kukicha.,..
 
yeah, naona ngoma inazingua, daah kama kushnei, itakua si mchezo

mwaka jana tulikuwa tunakula na zantel lkn naona naona nao
mapigo hayajibu
Tigo inaunga vizuri lkn haupati data hata punje
smile bila bila
airtel bila bila
voda bila bila
Tutakimbilia wapi....kubypass vifurushi vya brackberry nimeambulia kupoteza hela zangu mitandao yote
HAWA JAMAA WAMETUPANIA INABIDI KUTAFUTA BASI JINGINE KABISA
 
njunwa wamavoko umejaribu labda kuongea na admin wa TG kama, ishu ipo kwao au vp?, ila kwakwel, wametupania, halafu kuna watu naona wanaongelea kuwa na port za pdproxy na nn, any news on that?
 
Last edited by a moderator:
Naona zile free site zao wamezifunga mana kwa 0 hazifunguki
i tried kufungua 0 kwa kutumia opera mobile emulator, na inafunguka bila neno, ila tu haitak kuconnect thru hiyo kwa kutumia TG
 
njunwa wamavoko umejaribu labda kuongea na admin wa TG kama, ishu ipo kwao au vp?, ila kwakwel, wametupania, halafu kuna watu naona wanaongelea kuwa na port za pdproxy na nn, any news on that?

Mm asubuhi saa mbili iliunga fresh
saa nne nikaunga kama mara 10 ikawa Bila bila nikasema shida yangu...mara nikapigiwa simu kama 4 hivi
Nikasema ngoja nifungue Free site yao moja ambayo uliwai kunambia kwa PM ile ya ..pedia lkn nikaona haifunguki wakati mm huwa naitumia nikiwa nataka kusoma material tena bila VPN wala hela
Nikaona kama hiyo site imeblockiwa basi hamna haja ya kum-contact administrator tena...
 
mwaka 2014 unaanza kuwa mgumu pd wamebana na TG tena..!
 
ni app ya opera mini inayo emulate mobile browsing, jioni nilikua nikijaribu kufungua 0.f kwa kutumia mobile emulator, ilikua inafunguka kama kawaida
ddddd.PNG
Cc njunwa wamavoko
 
Back
Top Bottom