Smartbrain
Senior Member
- Mar 23, 2013
- 184
- 35
Jaman si kila mtu abaki aki enjoy anachofanya hakuna aja ya kubishana .....
Ndo hivo lkn info wakizipata wale wenye midomo ya kupayukA lazima ile kwetu...vinginevyo hapa ni kila mtu kivyake hapa
Reseller pia mnachangia kuharibu maana vita yenu kugombea wateja inawafanya muwaingize nyoka kundini.Ndo hivo lkn info wakizipata wale wenye midomo ya kupayukA lazima ile kwetu...vinginevyo hapa ni kila mtu kivyake hapa
Finally nmepata udp open 3 za basi la mchuz mix nikitumia BT5r3 sahv full mdebwedo pdproxy forever
Kimya kimya jamani msiharibu mambo