God knows
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 276
- 173
njunwa wamavoko, may you empty your inbox. I can not send you PM!
Last edited by a moderator:
njunwa wamavoko, may you empty your inbox. I can not send you PM!
Hahahaha, dah, kidume nasubiria kubundi, si mchezo, miss TG sana tu
Mkuu, nipe info PM nione kama kuna anythng i can doHivi tunashindwa ku-bypass hii captive portal ya basi fulani?
au Ping yake ni ndogo maana bila salio inakudirect kwenye hiyo portal yao lkn kufunguka ni binde
Hata ukiwa na Bundle bado kui-load ni shida lkn bado tunayo way kuwa bypass ni ss kuumiza vichwa
Mkuu, nipe info PM nione kama kuna anythng i can do
Poa mkuu, i`ll start experimenting, ila kama DAVO, gateway & DNS yao wamebana mno, ukitia bundle unapo connect inalogin kwenye Port #22 SSH, then unaweza tumia, maana ina open up ports nyingine mfano 80 & 443, ila ukiconnect kwa 0sh, SSH port haifunguki, na ukiscan inaoneka hyo tu,DNS tunneling inahusika hapo
Poa mkuu, i`ll start experimenting, ila kama DAVO, gateway & DNS yao wamebana mno, ukitia bundle unapo connect inalogin kwenye Port #22 SSH, then unaweza tumia, maana ina open up ports nyingine mfano 80 & 443, ila ukiconnect kwa 0sh, SSH port haifunguki, na ukiscan inaoneka hyo tu,
Nimescan kwa kila combination niwezavyo kwa kutumia Nmap kwenye Kali-Linux, ila ndo hvyo ports nyingi ziko filtered
nah, sijawajaribu, nmap its command-line based ngoja kuna kitabu ninacho nitakutumia kesho nikipata chanceMkuu hii NMAP unatumia software sio?....Mm inanishinda kuitumia Can I get some guides?
Vipi hawa Basi la Kijani GSM umejaribu?
nah, sijawajaribu, nmap its command-line based ngoja kuna kitabu ninacho nitakutumia kesho nikipata chance
Dah, hapo mbona pagumu, ila fresh tu hata CIA wenyewe na protection zao huwa wanalizwa sometimes, mbona kitajulikna tuhawa DAVO nasikia from Jamaa angu kuwa wameajiri kampuni mpya ya IT experts hivo wanashindana na ss wa mtahaani
Anyways wanaonekana kushinda tayari
Mkuu hii NMAP unatumia software sio?....Mm inanishinda kuitumia Can I get some guides?
Vipi hawa Basi la Kijani GSM umejaribu?
hawa DAVO nasikia from Jamaa angu kuwa wameajiri kampuni mpya ya IT experts hivo wanashindana na ss wa mtahaani
Anyways wanaonekana kushinda tayari
Kweli kabisa kaka hata hawa mareseller pia wanachangia kuharibu hizi mambo, daily utakuta wanashindana kusaka shilingi kwa njia yoyote ile, matangazo kila sehemu iwe kwenye blogs zao,fB,twitter na popote pale kiasi kwamba hawangalii nani wamuuzie voucher muhimu kwao mpunga tu!!Humu jf kulichafukaga tangu zaman asee 2kahamiaga fb 2kafungua ka grup cha siri kisa mambo hyhya
Hiyo kama una hela au bundle inakubali tu