TRA wanavyofunga biashara za wazalendo

TRA wanavyofunga biashara za wazalendo

Wengine Ni Brela sijui serikali haioni ule upuuzi wao ? Mtu unafungua kampuni ila wanakuzungusha Hadi unachoka.

Yule Mtendaji mkuu wa Brela ni wa kufukuzwa kabisa hajawahi kufanya mabadiriko yoyote. Rushwa zimekithiri Brela.

Jamii forum anzisheni Uzi maalumu wa kutoa kero ya hizi taasisi za umma tuisaidie serikali na wao wawe wanapita humu kuona uozo.

Kabisa
 
Kuna ujinga mwingi sana pale. Nimekua nafanya kazi na wafanyabiashara na nimekutana na vitu ambavyo mtu unajiuliza hawa TRA nia yao haswa ni nini. Kwani hawaoni kwamba wasiposaidia wawekezaji kukua ni sawa tuu na kuhujumu uchumi??

TIC nao walikua hivyohivyo wamebadilisha wakurugenzi weweee lakini wapi. Kuna hujuma kubwa sana kwenye hivi vyombo vya serikali

Na hizi hujuma zinaumiza wananchi na wawekezaji wote wa nje na wazawa.. pamoja na watanzania wengine wanaotegemea huu uwekezaji kuendesha maisha yao

TRA wafike mahala wawe chombo cha kuhamasisha uwekezaji kwa wawekezaji wenye nia njema
Na iwashughulikie wahujumu uchumi bila kuumiza wengine
Mbona mnakwepa ukweli?? Magufuli anawatuma hawa watu kukusanya pesa kwa hali na mali,hakuna kikubwa anachojivunia magufuli kama "pesa za ndani" na pesa za ndani ndiyo hiyo mitaji yenu mliyoitafuta wenyewe kwa jasho na damu,yeye haamini kama kuna mtu ana haki ya kuwa na hela za "ndani" ila yeye na serikali yake! Yaani anaona kama vile pesa anazomiliki mfanya biashara ni za serikali,na serikali ina haki ya kuzichukua muda wowote itakapozihitaji bila kujali mzunguko wa kiuchumi ndiyo uchumi wenyewe,anajua akiwaambia mpeleke hela zenu(hata za mitaji) kwake hamtapeleka,hivyo anaamua kuzichota juu kwa juu,yeye ndiye mwenye nchi,wananchi ni wapangaji tu!! Akitaka uondoke kwenye nyumba yake anangoa paa,au mlango!! Utaondoka tu mwenyewe!!
 
Fotex tu mzee baba
Kama hivi,namtombe mushi kidasa
Screenshot_20201214-203544_MetaTrader%204.jpg
 
Kuna ujinga mwingi sana pale. Nimekua nafanya kazi na wafanyabiashara na nimekutana na vitu ambavyo mtu unajiuliza hawa TRA nia yao haswa ni nini. Kwani hawaoni kwamba wasiposaidia wawekezaji kukua ni sawa tuu na kuhujumu uchumi??

TIC nao walikua hivyohivyo wamebadilisha wakurugenzi weweee lakini wapi. Kuna hujuma kubwa sana kwenye hivi vyombo vya serikali

Na hizi hujuma zinaumiza wananchi na wawekezaji wote wa nje na wazawa.. pamoja na watanzania wengine wanaotegemea huu uwekezaji kuendesha maisha yao

TRA wafike mahala wawe chombo cha kuhamasisha uwekezaji kwa wawekezaji wenye nia njema
Na iwashughulikie wahujumu uchumi bila kuumiza wengine
Mama D.. Is this you??

Watu wanao kufahamu walai n ngumu kuamini mama n wewe

Ni vyema kama umeyaona na kuthubutu kusema, ndio muwe mnatuelewa tunapoipinga CCM, hatumchukii mtu as mtu ila mifumo iliyopo inakuhakikishia umasikini wa moja kwa moja
 
Ni Mimi mwenyewe mama D

Hii sio issue ya siasa na wala huwezi kusema chadema wangekua bora kuliko CCM kwa hili sababu tumeshudia ubadhirifu hata kwa viongozi wake mkuu.

Kama watanzania tutathubutu kujiongeza japo tuweze kuweka siasa kando tunapokuja kuongelea utendaji wa vyombo vya serikali kwa maendeleo yako na ya nchi yako
 
Wachunguzwe na nani kama anaewatuma ndo last say wa state.
Hii inchi imewekea malengo ya ukusanyaji hadi Traffic police na Hospital sasa sielewi wamelenga makosa ya barabarani yaongezeke na watu wazidi kuumwa ?
 
Jamani msilete visingizio lipeni kodi hili nchi iende ,mbona bar mnalipa bill za bia bila ubishi😂😂😂😂
 
Ni Mimi mwenyewe mama D

Hii sio issue ya siasa na wala huwezi kusema chadema wangekua bora kuliko CCM kwa hili sababu tumeshudia ubadhirifu hata kwa viongozi wake mkuu.

Kama watanzania tutathubutu kujiongeza japo tuweze kuweka siasa kando tunapokuja kuongelea utendaji wa vyombo vya serikali kwa maendeleo yako na ya nchi yako
Yaani tuungane kuupinga wizi huku tukimwacha mwizi aendelee kututunzia hazina yetu? Yaani tupinge wizi ila tumuunge mkono mwizi?no way!
 
Me niliona mapema kabisa kabla ya mitano tena nikafunga ka biashara kangu baada ya kuwa lipa walichokuwa wana nidai nika badilisha TN number nikawaambia sitaki kuona tena msg zenu za ndugu mlipa kodi tuna kukumbusha kulipa kodi yako!
Sasa hivi nina kula mtaji ukiisha nitakuwa cha kufanya ila utanisogesa miaka 7 ninaishi maisha mema kabisa yasio na kero za TRA! Wana kudai kama vile we ni muhalifu ! Siku nina funga wakaniambia ngoja tukupeleka kwa meneja aone jinsi gani atakusaidia maana we ni mlipa kodi mzuri na hujawahi kuchelewa kulipa kodi! Nika wambia moyo ulisha kufa hakuna wa kuufufua tena!
Duh una hasira sana mzee,ila fanya uka invest hizo pesa hata nje ya nchi kama Dubai,UK,Japan,Malysia au Singapore au South Africa,Canada au USA kabisa nenda kawekeze kwenye Treasury Bonds za nchi hizo mojawapo utakula faida tu kila mwaka na pesa yako ya mtaji itabakia pale pale
 
Ni Mimi mwenyewe mama D

Hii sio issue ya siasa na wala huwezi kusema chadema wangekua bora kuliko CCM kwa hili sababu tumeshudia ubadhirifu hata kwa viongozi wake mkuu.

Kama watanzania tutathubutu kujiongeza japo tuweze kuweka siasa kando tunapokuja kuongelea utendaji wa vyombo vya serikali kwa maendeleo yako na ya nchi yako
Mmeshudia ubadhirifu ambao Takukuru imeshindwa kuuona? Basi sawa

Uzuri mmoja hiki kikombe tunakinywa wote
 
Unatuchongea.. watatia pin broker wote. Unaona Templerfx ? Maneno maneno ya watu likafuata kufuri..
Hata wakitia pin haisaidii Trader mjanja nenda Kenya au Uganda hapo fungua account zako kwa brokers tofauti hata account 5 kwa address za huko,uzuri wa internet kokote unafanya yako,then deposit na withdrawals una opt bitcoin then ukiwa hapa una trade na ku slide like a snake
 
Ushauri: Mtu yeyote asifanye biashara yenye mkono/uhusiano wa TRA wala kusajiliwa na TRA.

Inabidi pawe na uzi wa orodha ya biashara mbalimbali ambazo hazihusiani na TRA wala ukiifanya hiyo biashara hauhitajiki kusajiliwa na TRA.

@TRA
 
Back
Top Bottom