MNFUMAKOLE
JF-Expert Member
- Nov 14, 2014
- 1,740
- 2,324
Baba Jesca!!Jiwe ndo nani?
Baba Jesca!!Jiwe ndo nani?
Usijali mzee biashara zitafungwa tu!Lipeni kodi au mfunge biashara hizo nyingine ni kelele tu, hazijengi nchi !
Mkuu nilikuwa nina fanya biashara ninaona dalili za watu wakubwa wenye kulipa kodi zaidi ya 300m kwa mwezi wakikaribia kufunga biashara zaoMkuu yamewakuta wafanyabiashara wengi.Na serikali sikivu iko kimya.
Hata waziri wa sasa Nd Mwambe alivyokuwa TIC alilieleza tatizo wazi kabisa lakini serkali hailifanyii kazi.
Tax base inazidi kupungua na ni dhahiri matokeo yake ni kodi kupungua.
Seikali sikuvu-kimya!
Fungeni tu, hatuwezi kufanya biashara na matapeli wakwepa kodi. Wafanyabiashara waadilifu wataendelea kupata faida nchini kwetu Tanzania !Usijali mzee biashara zitafungwa tu!
Hivi SUKITA ilifufuliwa?Fungeni tu, hatuwezi kufanya biashara na matapeli wakwepa kodi. Wafanyabiashara waadilifu wataendelea kupata faida nchini kwetu Tanzania !
Na bado!!Nimeona
Bado niniNa bado!!
Sio mabadiliko aisee wana hujumu!Hongera sana. Kuamua kufunga biashara kwa kufuata taratibu na kujipa muda wa kutafakari upya nalo ni jambo la busara. Mabadiliko siku zote yana maumivu, lakini maumivu yanakua makali zaidi kama wahusika hawaandaliwi sawasawa kukabiliana na hayo mabadiliko
Sio mabadiliko aisee wana hujumu!
Kibaya zaidi pesa nyingi inapotelea mifukoni mwa mwa maofisa wachache wa TRA wasio waaminifuHii nchi imeingiliwa, serikali imegeuka ndio inaibia wananchi.
Sasa kama TRA wanaenda kupora pesa kwenye A/C unategemea nini? Lazima watu wabuni mbinu mpya ya kuficha pesa zao na huenda ikayumbisha mabenkkumbe ni kweli watu wanafukia pesa ndani?ndo maana hatuzioni kitaa.
Onesha biashara unayofanya weweUmelimbikiza madeni nenda kalipe na TRA wanakubali malipo kwa awamu.
Wapo tayari kukosa kodi ya mda mrefu kwa kuwafungia wafanyabiashara kienyeji pasipo kuzingatia ubinadamuInadikitisha sana biashara zinakufa kimchezomchezo
Kodi zipi? Maana kodi za kawaida zinalipwa vizuri au unataka walipe kodi VAT za kubambikiwa kwa uonevu? Wewe utakuwa ni mmojawapo wa maofisa wanawafungia A/C wafanyabiashara, wewe ni mnufaika wa huo uonevu woteLipeni kodi au mfunge biashara hizo nyingine ni kelele tu, hazijengi nchi !
Mkuu huu ni mkakati maalum wa kuhakikisha wafanyabiashara wanamalizwa kiuchumi kisha kuzikimbia biashara zao. Ule usemi wa Jiwe kuwa "wataishi kama mashwtani"usifikiri ulikuwa ni bahati mbaya. Kumbuka aliwahi kuwapa Wamiliki wa Vituo vya Mafuta siku 14 wawe wamefunga mashine za EFD vinginevyo vitageuzwa kuwa vya kupigia matofali. Sasa TRA wafanye nn??Bank zitaanza kukosa imani za wafanyabiashara
Sasa wengi hutumia VAT kuwabambikia kodi huku wakiwatishia kesi za utakatishaji fedha na uhujumu uchumiSiku moja niliona Messi na Ronaldo wanashitakiwa kwa kukwepa kodi nikajua huu ni utani..nikafikiria na pesa zote walizonazo wanaweza kweli kufanya hivyo.Kumbe TRA ndo wanasababisha haya .
Sasa nimeamini dunia haiko fair yaani mtu anakula rushwa ya kutosha kutoka kwa wafanyabiashara anaowabambikizia kodi kwa kisingizio cha kuwapunguzia Jodi endapo watampa rushwa inayozidi hata mshahara wake baadae tena anapokea mshahara wake kuilaini.
Aisee..ndo raha ya usomi rahisi kutapeli wajinga