TRA wanavyofunga biashara za wazalendo

TRA wanavyofunga biashara za wazalendo

Nashauri; TRA wachunguzwe juu ya uhalali wa kodi zao. Kesi zimekuwa nyingi siku za hivi karibuni

Wametumwa hao na kinachofanyika kinafahamika vizuri sana. Sasa hivi mabeberu wamegoma kutoa hela kutokana na rekodi mbaya ya utawala bora na demokrasia. Hivyo kinachofanyika ni kupora hela za watu kinguvu. Rejea uporaji wa hela za Bureau de change.
 
Ili swala ni shida Tanzania, ukienda kwenye sheria zetu taxable person ni biashara zenye turnover ya tsh 100+ million ndio lazima kujiunga na mfumo wa kulipa VAT na TRA. Surely such organisation have full time accountants vinginevyo nikijitafutia matatizo.

Ina maana wafanyabiashara wadogo ambao mauzo ya bidhaa zao yapo chini ya millioni 100 kujiunga ni swala la voluntary, sasa kwanini tunaona kwenye channel yao ya tube TRA wanaangaika na hawa watu.

Isitoshe ata wasipojiunga serikali aitakiwi kupoteza mapato ya VAT kwa sababu wafanyabiashara wadogo wanakuwa final consumers na wao awatakiwi ku charge tena. Labda kama kukimbizana nao iwe kwenye kodi ya faida (profit tax na P.A.Y.E) which are much more complicated to compute for non accountants.

Ata pale watu wanapoamua ku register voluntary ili wawe kwenye system (be it wengi wanalazimishwa ukiangalia video za TRA) awafundishwi namna ya ulipaji mfumo ni upi cash accounting au accrual accounting.

Kumbukumbu zipi unatakiwa kutunza na kwa muda gani, kuna swala la wafanyabiashara wadogo kuelewa VAT wanazotakiwa kutoza kutokana rate zake ambazo na zenyewe mara kwa mara huwa kuna mabadiliko fulani yanatokea kwenye budget ya kila mwaka.

Ni hivi kama wewe ni mfanyabiashara mdogo na umesajiliwa as taxable person (voluntary) you are better off using an EFD machine to help you calculate your output taxes and keep your receipts to claim the input taxes.

The long term solution ni wakati sasa wa Tanzania kuwa na tax services za kusaidia hizi biashara I do not see why qualified ACCA accounts don’t seize this opportunity which is presenting itself.

Binafsi nikiangalia zile video na maelezo ya maafisa wa TRA huwa najisemea these businesses are at the mercy of officers who visit them, the knowledge gap is just too wide.
 
Ili swala ni shida Tanzania, ukienda kwenye sheria zetu taxable person ni biashara zenye turnover ya tsh 100+ million ndio lazima kujiunga. Sure such organisation surely use accountants vinginevyo nikijitafutia matatizo.

Ina maana wafanyabiashara wadogo kujiunga ni voluntary, sasa kwanini tunaona kwenye channel yao ya tube wanaangaika na hawa watu.

Isitoshe bila ya hata wao kujiunga serikali aitakiwi kupoteza mapato ya VAT kwa sababu wafanyabiashara wadogo wanakuwa final consumers na wao awatakiwi ku charge tena. Labda kama kukimbizana nao iwe kwenye kodi ya faida (profit tax na P.A.Y.E) which are much more to compute for non accountants.

Ata pale watu wanapoamua ku register voluntary ili wawe kwenye system (uhalisia ni kwamba wengi wanalazimishwa ukiangalia video za TRA) awafundishwi namna ya ulipaji mfumo ni upi cash accounting au accrual accounting.

Kumbukumbu zipi unatakiwa kutunza na kwa muda gani, kuna swala la wafanyabiashara wadogo kuelewa VAT wanazotakiwa kutoza kutokana rate zake ambazo mara huwa kuna mabadiliko fulani yanatokea kwenye budget ya kila mwaka.

Ni hivi kama wewe ni mfanyabiashara mdogo na umesajiliwa as taxable person (voluntary) you are better off using an EDF machine to help calculate your output taxes and keep your resits to claim the input taxes.

The general solution ni kwamba ni wakati sasa wa Tanzania kuwa na tax services za kusaidia hizi biashara I do not see why qualified ACCA accounts don’t see this opportunity which is presenting itself.
Ni kweli mkuu.
Tatizo ni kwamba wafanyabiashara wengi hawazijui haki zao kutokana na kutoelewa sheria.
Na wafanyakazi wengi tu TRA hawazijui sheria za kodi.
 
Mkuu yamewakuta wafanyabiashara wengi.Na serikali sikivu iko kimya.
Hata waziri wa sasa Nd Mwambe alivyokuwa TIC alilieleza tatizo wazi kabisa lakini serkali hailifanyii kazi.
Tax base inazidi kupungua na ni dhahiri matokeo yake ni kodi kupungua.
Seikali sikuvu-kimya!

Ukitaka ucheke ufe, tax base inapungua, kisha serikali inatangaza data za kupika kuwa inavunja rekodi ya makusanyo!
 
IMG-20201213-WA0013.jpg
 
Ushauri: Mtu yeyote asifanye biashara yenye mkono/uhusiano wa TRA wala kusajiliwa na TRA.

Inabidi pawe na uzi wa orodha ya biashara mbalimbali ambazo hazihusiani na TRA wala ukiifanya hiyo biashara hauhitajiki kusajiliwa na TRA.
Umachinga, kia
 
Ni kweli mkuu.
Tatizo ni kwamba wafanyabiashara wengi hazijui haki zao kutokana na kutoelewa sheria. Na wafanyakazi wengi tu TRA hawazijui sheria za kodi.
Ni tatizo imagine kwa sheria zetu mfanyabiashara mwenye mauzo ya kuanzia 8.33 million kwa mwezi tena awe anauza taxable products/service (hiyo ndio inakuwa 100 million kwa mwaka) na ndio wanatakiwa wajiunge na VAT scheme chini ya hapo sio lazima.

Ukiangalia aina ya watu TRA wanaokimbizana nao hasa huko mikoani stock ya vibanda vyenyewe hela wanayopata inaonekana ni ‘hand to mouth’ tu halafu unakuta afisa ndio anatoa somo la kodi hapo.
 
Ushauri: Mtu yeyote asifanye biashara yenye mkono/uhusiano wa TRA wala kusajiliwa na TRA.

Inabidi pawe na uzi wa orodha ya biashara mbalimbali ambazo hazihusiani na TRA wala ukiifanya hiyo biashara hauhitajiki kusajiliwa na TRA.
Umachinga, kitambulisho elfu 20 mwa mwaka
 
Back
Top Bottom