APTITUDE TEST....
WRITTEN INTERVIEW
Maswali ya hesabu, english, VAT calculation, types of taxes,na huwa wanarudia maswali ya interviews za nyuma. lakini najua wengi watapaniki ktk hesabu na ktk VAT calculation, niwashauri tena maswali yanaweza yakawa 60 na vipengele zaidi ya vitatu muda ni dakika 60 hvyo jaribu kufanya maswali unayoweza kwa speed ya light (3x1000000000000m/s) ili uweze kufaulu.... ukifanya usiondoke kesho cheki matokeo kisha jiandae na oral.......MUNGU NI MUWEZA...........
ORAL INTERVIEW
Hii itakuwa na maswali yanayohusu TRA in General, vision, mission, objectives...so jitahid kwa kiasi chako ujue kidogo abt TRA na pia ujue kujielezea confidently