Hata mm nimeitwa kwenye posts 2
Assistant Customs Office & Tax Assistant
( japo sitakwenda)
Kwa unayekwenda yatambue haya:
1. Interview hii ni very competitive, watu wamesubir ajira za TRA kwa miaka mingi, wengne wapo kazin ktk makampun makubwa km PWC, KPMG, DELLOITE....CRDB, nk
KWa hiyo unakwenda kupambana na wa2 wenye uwezo + experience
2. Tanzania yetu tunaifaham.....godfathers & vimemo
Kwa hiyo idadi ya nafasi zinazogombaniwa zinapungua.......Mtangulize Mungu,,,,, halaf JIPANGE VZR,,,,, kwenye paper KAZA
3. Hii ni WRITTEN INTERVIEW ( APTITUDE TEST)
Jiandae na vi2 km:
a) Professional questions ie Accountancy & Finance
like GAAP, preparation & interpretation of Fin. statements, basics of Public Finance & Taxation,Tax computation
(b) Mathematics ( basic)....word problems, graphs & charts nk
(c) English language .....like grammar, vocabulary.comprehension
(d) Logic reasoning tests...
Figures & trends
(e) Pia ifaham vzr taasisi na shughuli zake, ikiwemo Directorates , sheria, viongozi.....(pitia website yao)
(f) General knowledge questions , like places, people & events
(g) Get 2 equip yourself with current issues, unaweza kuulizwa