kalemauji
JF-Expert Member
- Jun 24, 2014
- 1,629
- 1,845
Mbona wameshaajiri Tra tayari tena waliochukuliwa kutoka ITA
mkuu ya kweli hayo
Mbona wameshaajiri Tra tayari tena waliochukuliwa kutoka ITA
mkuu ya kweli hayo
sio kweli ,Mbona wameshaajiri Tra tayari tena waliochukuliwa kutoka ITA
sio kweli ,
TRA uajili wao upo wazi sana kila mwaka wanaajili mara moja tena watakaofaulu usahili wanaenda pale jeshi la wokovu training ya mwezi mmoja then kazini so huo ni uzushi kabisa , futa kauli yakoo
Kwani nimesema uajiri wao kuwa si wawazi au hukuelewa point yangu uko wazi ndio ila wenye qualification wengi walitoka insistute of Tax sasa hayo ya uzushi una ya jua wewe
Diva hueleweki unasimamia wapi, unaamisha wengi walioitwa kwenye interview ni kutoka Institute of Tax au unamaanisha hizi nafasi watu wameshaajiriwa?Na kama wameajiriwa sasa huu usaili watu walioitwa ni wanini?
Nilichanganya madesa wote waliotoka Ita wameitwa kwenye interview inafanyika ijumaa ya week hii
Basi kusingekua na watu wa kutoka vyuo,mbali mbali wangekua wanachukua watu toka chuo chao cha kodi tu pale Mikocheni!
Acha tukapambane!! Asikari hufia vitani,na sio vitisho vya adui
TRA inachuku wanafunzi wengi zaidi kutoka vyuo vikuu vingine na kidogo sana kutoka chuo cha kodi na ndio maana ukishaajiriwa lazima uende tena ITA ukasome short course ya miezi 3.... intake iliyopita waliochukuliwa kutoka hapo hata 5 hawafikiBasi kusingekua na watu wa kutoka vyuo,mbali mbali wangekua wanachukua watu toka chuo chao cha kodi tu pale Mikocheni!
Acha tukapambane!! Asikari hufia vitani,na sio vitisho vya adui
Bado tu mada unayo hadi leo naona hd povu limekutoka
mwenzio alishanielewesha sikuile ile sasa ww leo sijui umeibukia wapi na hilo jazba
et naishi kwa mazoea haya hongera wewe unaejiona uko perfect
Jaman kuna
mtu mwingine kaambiwa aende saa 7 mchana?
ata mm ni saa saba mkuu
Me niliv elewa ni saa 7 mchana coz saa 13 ni saa 7 mchana