kintu
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 542
- 136
Na je, unaendaje na hyo barua ya kuitwa? Or they mean you should print it!
Print attachment from your email
Na je, unaendaje na hyo barua ya kuitwa? Or they mean you should print it!
Me mwenyewe nimeitwa ila bado sijapata transcript nategemea kupata wiki tarehe 15 vipi jamani wanaweza wakanipokea.naomba kuwasilisha ombi
mkuu majibu ya written wanatoa baada ya siku ngapi?
Mkuu inakuwaje nimepigiwa simu nifike kwenye interview na barua lakini email sijapata! Je naweza print barua ya mwingine au hizo barua zina specific details za kila mtu? Karibu!
Kwa wale walioenda leo saa 1 na nusu asubuhi interview inachukua muda ganiHabari za jioni wadau??
TRA wameanza kuita watu kwenye usaili!!
Nimepokea mail toka kwao,wakiniomba nikachape usaili wao tarehe 12/12/14!
Kwa wale walioenda Leo saa 1 na nusu asubuhi interview inachukua muda gani
Post ya kazi ni Assistant Tax Officer!!
Vitu vya kwenda navyo siku ya interview ni
1.Barua ya kuitwa kuhudhuria usaili!
2. Picha mbili za passport size!!
3.Vyeti Original
4. Cheti cha kuzalia
5. Kikokotozi!
Naombeni msaada wenu pls! Maswali yanakuaje,maana kabla ya kwenda vitani,mchunguze kwanza adui yako anatumua zana zipi za maangamizi!!
kintu naskia post ya preventive officer in keshoWeee Greencity, angalia email yako vizuri au ulikosea kujaza email? Lakini we nenda tu ata kama hujapata email.
#Greencity
Mimi pia nimepigiwa simu ila nimeambiwa niende tarehe 12 saa nane mchana na picha naona watu wameambiwa mbili ila mm nimeambiwa tatu,mara ya kwanza alinipigia akanambia niangalie email wamenitumia email ya kuitwa kwenye interview,nikaangalia sikuikuta nikampigia tena bahati nzuri alipokea akanambia wewe kama hujapata email njoo na vyeti original,passport tatu,cheti cha kuzaliwa,na calculator...hata post hakuniambiaAsante! Pia tatizo baadhi yetu tuliopigiwa tumeambiwa interview tarehe 13 hii sijui imekaaje chief SENGATI
Jaman kuna mtu mwingine kaambiwa aende saa 7 mchana?
hiyo ni nafasi ya preventive assistant na hii pia ni kwa walio na diploma. Kuna tofauti kati ya preventive assistant na assistant preventive OFFICERSMimi pia nimepigiwa simu ila nimeambiwa niende tarehe 12 saa nane mchana na picha naona watu wameambiwa mbili ila mm nimeambiwa tatu,mara ya kwanza alinipigia akanambia niangalie email wamenitumia email ya kuitwa kwenye interview,nikaangalia sikuikuta nikampigia tena bahati nzuri alipokea akanambia wewe kama hujapata email njoo na vyeti original,passport tatu,cheti cha kuzaliwa,na calculator...hata post hakuniambia