TRA wameita watu kwenye usaili

TRA wameita watu kwenye usaili

wanakubali bana usimkatishe tamaa ila tu iwe ya semister zote.

Wala sina malengo ya kumkatisha mtu tamaa nimeongea ukweli ni wap kwenye gvt unaruhusiwa kufanya mtihani na provisional result kwanza sehem nyingine kama huna cheti huruhusiwi kabisa

Labda umkute mkaguaji kaamka vizuri siku hio omba mungu ila usiache kwenda kabisa
 
Sorry wadau me nimesoma IT na niuliomba nafasi TRA kama assistant preventive officer lakini sijapata email yao kuitwa kwenye interview. Naomba kuuliza watu wa IT hawana qualification za kufanya kazi kama preventive officer
 
usisahau maswali ya kuconvert numerical into words example....Convert 14,219,000,333 into WORDS

Mkuu inakuwaje nimepigiwa simu nifike kwenye interview na barua lakini email sijapata! Je naweza print barua ya mwingine au hizo barua zina specific details za kila mtu? Karibu!
 
Sorry wadau me nimesoma IT na niuliomba nafasi TRA kama assistant preventive officer lakini sijapata email yao kuitwa kwenye interview. Naomba kuuliza watu wa IT hawana qualification za kufanya kazi kama preventive officer
Umekurupuka tu kutuma na kumbe hawahitaji.
 
Wala sina malengo ya kumkatisha mtu tamaa nimeongea ukweli ni wap kwenye gvt unaruhusiwa kufanya mtihani na provisional result kwanza sehem nyingine kama huna cheti huruhusiwi kabisa

Labda umkute mkaguaji kaamka vizuri siku hio omba mungu ila usiache kwenda kabisa

TRA hatuna complications za vyeti original esp ktk level ya interview au kama interviewer amemaliza chuo mwaka 2014..
 
Mkuu inakuwaje nimepigiwa simu nifike kwenye interview na barua lakini email sijapata! Je naweza print barua ya mwingine au hizo barua zina specific details za kila mtu? Karibu!
Greencity nenda kafanye interview ukifika waeleze mm ckutumiwa emaail... mlangoni pale wanayo list ya watahiniwa wote ni swala la kuconfirm tu jina lako straight
hzo barua ni kama kuhakiki ujio wako unakithibitisho
 
]Greencity hata mi nlipigiwa sm Ila sikupata email hata position gan sifaham waliniambia niende tarehe 13 napiga namba zao hazpokelew ebu tuwasiliane 0712288395 tujue tunafanyaje
 
Hiyo tarehe 13 ndio inachanganya zaidi! Nitakupigia mkuu MBWAMBOs
 
Last edited by a moderator:
Greencity nenda kafanye interview ukifika waeleze mm ckutumiwa emaail... mlangoni pale wanayo list ya watahiniwa wote ni swala la kuconfirm tu jina lako straight
hzo barua ni kama kuhakiki ujio wako unakithibitisho
Asante! Pia tatizo baadhi yetu tuliopigiwa tumeambiwa interview tarehe 13 hii sijui imekaaje chief SENGATI
 
Last edited by a moderator:
Habari za jioni wadau??

TRA wameanza kuita watu kwenye usaili!!

Nimepokea mail toka kwao,wakiniomba nikachape usaili wao tarehe 12/12/14!

Post ya kazi ni Assistant Tax Officer!!
Vitu vya kwenda navyo siku ya interview ni
1.Barua ya kuitwa kuhudhuria usaili!
2. Picha mbili za passport size!!
3.Vyeti Original
4. Cheti cha kuzalia
5. Kikokotozi!

Naombeni msaada wenu pls! Maswali yanakuaje,maana kabla ya kwenda vitani,mchunguze kwanza adui yako anatumua zana zipi za maangamizi!!

TRA ni acronym ya kitu gani? Au ni kirefu cha neno Tumiene Ramani Apatikene?
 
]Greencity hata mi nlipigiwa sm Ila sikupata email hata position gan sifaham waliniambia niende tarehe 13 napiga namba zao hazpokelew ebu tuwasiliane 0712288395 tujue tunafanyaje

Kama kwenye inbox yako haujaiona hiyo msg kutoka TRA jaribu kuingia kwenye upande wa SPAM MESSAGE utaikuta huko...
 
Kutokana na wingi wa applicants...Interviews zitafanyika siku mbili, yani trh 12 na 13...wewe nenda siku uliyopangiwa
 
Na me nimeitwa nafasi ya preventive assistant, ila nimeogopa baada ya kuona kuna hesabu, jaman kwa mwenye uzoefu na hawa watu atuambie ni hesabu gan zinazotoka kwenye interview za TRA

naombeni mnisaidie mwenzenu nimepigiwa tuu simu kuwa nifike ile email sijatumiwa email sasa cjui nifanyeje maana sielewe elewi somo
 
Back
Top Bottom