TRA wameita watu kwenye usaili

TRA wameita watu kwenye usaili

Habari za jioni wadau??

TRA wameanza kuita watu kwenye usaili!!

Nimepokea mail toka kwao,wakiniomba nikachape usaili wao tarehe 12/12/14!

Post ya kazi ni Assistant Tax Officer!!
Vitu vya kwenda navyo siku ya interview ni
1.Barua ya kuitwa kuhudhuria usaili!
2. Picha mbili za passport size!!
3.Vyeti Original
4. Cheti cha kuzalia
5. Kikokotozi!

Naombeni msaada wenu pls! Maswali yanakuaje,maana kabla ya kwenda vitani,mchunguze kwanza adui yako anatumua zana zipi za maangamizi!!
1. with 2 examples each, distinguish between dry ports and wet ports
 
Preventive assistant
Customs borders n their respective regions:
namanga...arusha
holili.........moshi
tunduma......mbeya
mtukula.....kagera
Rusumo... kagera,
Kasumulo.... mbeya,
Kabanga.... Kagera
Horohoro...... Tanga
Mtambaswala.. Mtwara
Sirari.... Mara
tarakea... moshi.. rombo
 
Customs borders n their respective regions:
namanga...arusha
holili.........moshi
tunduma......mbeya
mtukula.....kagera
Rusumo... kagera,
Kasumulo.... mbeya,
Kabanga.... Kagera
Horohoro...... Tanga
Mtambaswala.. Mtwara
Sirari.... Mara
tarakea... moshi.. rombo

Asante
 
Wakuu nyie ndo wale wa awamu ya kwanza au hata walioomba 2nd round mpo???
 
Kwa mnaojiandaa na Aptitude test jitahid kufahamu na kupitia maeneo haya:...
Mara nyingi wanauliza mambo ya communication skills kama tenses,n.k,hesabu za repeating decimals,rounding off,integers na nyingine za form one.,nchi zinazopakana na tanzania,mipaka(customs border stations),hesabu za mafumbo,current issues na kodi kidogo.Maswali ni mengi na mengi ni ya kuchagua ingawa yapo ya kujaza.
 
Names of Nationalities kwa mfano
1. AUSTRIA .........AUSTRIAN
2. TANZANIA........TANZANIAN
3. CODE d'IVOIRE... IVORIAN
4. IRELAND.......IRISH
5. PAKISTAN.... PAKISH


Abreviations; eg SADC.. EAC... VAT..
 
Nyie watu wa preventive mnatakiwa mjue borders.Mfano Namanga inapatikana wapi?mtambaswala,lusumo etc
 
Jaman kwa mwenye lile tangazo au form tuliyo jaza naomba anisaidie
 
Wadau naombeni mwongozo zaidi kuhusu hiyo interview itakavyokuwa.
 
Mine imeandikwa 0730 Hours sina shaka najua ni saa moja na nusu asubuhi. Sasa sijui wengine


Me mwenyewe nimeitwa ila bado sijapata transcript nategemea kupata wiki tarehe 15 vipi jamani wanaweza wakanipokea.naomba kuwasilisha ombi
 
Jamani watu ambao wamewahi fanya hizi aptitude test watutupie hata possible basi,.
 
Habari za jioni wadau??

TRA wameanza kuita watu kwenye usaili!!

Nimepokea mail toka kwao,wakiniomba nikachape usaili wao tarehe 12/12/14!

Post ya kazi ni Assistant Tax Officer!!
Vitu vya kwenda navyo siku ya interview ni
1.Barua ya kuitwa kuhudhuria usaili!
2. Picha mbili za passport size!!
3.Vyeti Original
4. Cheti cha kuzalia
5. Kikokotozi!

Naombeni msaada wenu pls! Maswali yanakuaje,maana kabla ya kwenda vitani,mchunguze kwanza adui yako anatumua zana zipi za maangamizi!!

hivi hizo picha mbili za passport size za nini? najiuliza za nini kama tutaenda na vitambulisho kama kuna mtu anajua. aseme neno hapa
 
Sengat kama ni vita ww ushashindwa bcoz umeanza kum attack adui kabla hujamsoma vzur kwa kfup unatakiwa kuijua org unayo apply job na post hucka then u go 4 the battle(interview) b smart but not 2 much
 
Last edited by a moderator:
wadau ebu nisaidien watu wa tax assistant na preventive assistant watafanya pepa moja? na kwa upande wa tax assistant maswali ni yapi hasa
 
Back
Top Bottom