Wala sina malengo ya kumkatisha mtu tamaa nimeongea ukweli ni wap kwenye gvt unaruhusiwa kufanya mtihani na provisional result kwanza sehem nyingine kama huna cheti huruhusiwi kabisa
Labda umkute mkaguaji kaamka vizuri siku hio omba mungu ila usiache kwenda kabisa
sawa ila usiishi kwa mazoea TRA sio direct na serikali kuu ambazo ni local government na central govt na ndio maana haitumii utumishi kuajiri. kwa utumishi its OK wanakataza provision ila TRA hakuna kitu kama hicho hata provision zinakubaliwa na ndio maana kwenye tangazo la kazi hawakusisitiza lazima uwe na cheti na kwa hizo nafasi wanatakaga gratuates ambao wengi hawana vyeti bado, ukiangalia waajiriwa wengi wa hizo post miaka hii ya karibuni hawana vyeti bado.

Mkuu hayo maswali yapo kwenye Oral.. written ni mambo aptitude test tu hawaulizi swali lolote kuhusiana na TRA wala job position .. ni mwendo wa geography, History,English, Maths na General knowledge tu.
Na me nimeitwa nafasi ya preventive assistant, ila nimeogopa baada ya kuona kuna hesabu, jaman kwa mwenye uzoefu na hawa watu atuambie ni hesabu gan zinazotoka kwenye interview za TRA
nahisi shahada yako ilikuwa haitajiki maana wameandika hivi " minimum job requirements qualificationHabari wana JF me nimesoma Bachelor ya Public Administration niliomba post ya preventive officer TRA lkn sijaitwa vp?
nahisi shahada yako ilikuwa haitajiki maana wameandika hivi " minimum job requirements qualification
(i) Advance diploma or University degree in Custom or Taxation or Economics of Finance or Business Administration or Law..."
naombeni mnisaidie mwenzenu nimepigiwa tuu simu kuwa nifike ile email sijatumiwa email sasa cjui nifanyeje maana sielewe elewi somo