TRA wameita watu kwenye usaili

TRA wameita watu kwenye usaili

TRA wana ofisi kila mkoa Tanzania, hivi hata huu usaili wa kuandika hawawezi kuzifanyia mikoani? mbona NECTA wanafanya mitihani mikoani na hamna shida yeyote.
watu watoke Mwanza, Kagera, Kigoma mwisho wa reli, Ruvuma, lindi mtwara etc hadi Dar?
huko dar kwenyewe hana hata ndugu..
 
Attachments

  • maths.png
    maths.png
    12.1 KB · Views: 2,769
Kupokea rushwa
kazi zenu zipo kwny boda zote za nchi na bandari... majukumu ni kuprevent magendo nchini.. kuhakikisha wakwepa kodi wote mnawadhibiti.. kukusanya mapato ya serikali kwa bidhaa zote zinazoingia nchini... Imported goods
 
Asante mkuu
 
Then hiyo nafasi ya preventive assistant unafanya kaz zip? Msaada wenu jaman
Kuna tofauti kati ya Preventive Assistant (PA) na Assistant Preventive Officer (APO)... ya kwanza ni dimploma level na hiyo ya pili ni degree level kama minimum requirements
 
Kuna tofauti kati ya Preventive Assistant (PA) na Assistant Preventive Officer (APO)... ya kwanza ni dimploma level na hiyo ya pili ni degree level kama minimum requirements

Me ni hiyo ya preventive assistant, level yangu ni diploma, ila nilikuwa naomba kujua majukum ya preventive assistant , au majukumu yake ni hayo uliyo yasema hapo juu? Nisaidie mkuu
 
hizo nafasi mia tatu ni kwa kila kazi au ni kwa kazi zote?
 
Back
Top Bottom