Kwako Mkurugenzi wa TCRA na Waziri mwenye dhamana. Wananchi tumechoka kuibiwa na kampuni za simu.

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Oct 4, 2022
1,176
2,279
Ninaandika kwa masikitiko makubwa sana. Chondechonde Mkurugenzi wa TCRA na Waziri mwenye dhamana (NAPE NAUYE) wananchi tumechoka na huu wizi na uhuni unaofanywa na kampuni za simu Tanzania.

Kwanza kabisa kampuni za simu hapa Tanzania wamekuwa wakituibia wateja kwa kutuunga kwenye huduma zinazohusisha makato kimyakimya bila ridhaa ya mteja. Kinachotokea ni kwamba Kama unasalio kwenye muda wa maongezi ukawa haujajiunga na kifurushi chochote huwa wanakata taratibu na hatimaye usipokuwa unaangalia salio halisi mara kwa mara utakuta kwenye akauti hakuna hata senti. Km umeweka vocha ili ujiunge na vufurushi ndani ya sekunde moja kabla ya kujiunga utakuta salio halitoshi (wameishakata). Ukiwapigia mfano HALOTEL wanajibu tu "ulijiunga na huduma x mwenyewe" ingali wewe hujawahi kuomba kujiunga na huduma hiyo. Huu siyo tu ni wizi bali ni utakatishaji fedha jambo ambalo ni hatari kwa uchumi wa nchi.

Pili, mbaya zaidi kuna baadhi ya mitandao ya SIMU Kama VODACOM kile kipengele cha huduma kwa wateja ambapo mteja alikuwa anapata furusa ya kuwasilisha malalamiko au shida zake wamekifuta kabisa. Hapo mwanzo ili uweze kuongea na mhudumu kwa wateja ilikuwa kazi sana kuwapata ila kwa sasa wamefuta kabisa hicho kipengele. Utapiga 💯 lakini huwezi kupata sehemu ya kuongea na mhudumu.

Swali ni kwa nini wanaondoa au kuficha kipengele cha huduma kwa wateja. Jibu ni lile lile ni kuendelea kutuibia wateja kupitia huduma zao hizi za hovyohovyo za lazima kwa kuwaunga wateja.

NB.
Mheshimiwa Waziri mwenye dhamana (NAPE NAUYE) kwa nyakati tofauti na muda mrefu Watanzania wamekuwa wakizilalamikia hizi KAMPUNI za SIMU kwa wizi wao uliokithiri kupitia bando na huduma za hovyo ambazo mteja huungwa bila ridhaa yake. Wewe km Waziri mwenye dhamana umekuwa ukisema sisi wenyewe watumiaji ndiyo hatujui namna ya kutumia simu zetu vizuri hasa katika bando. Sasa nikwambie tu kuwa Watanzania wana akili timamu, siyo wajinga, ukiona wamelalamikia jambo ujue kuna vijimambo. Hizi kampuni za simu wana wizi mwingi wa rejareja na unaumiza sana. Fikiria Tanzania wapo watu wangapi wanaotumia simu na kila mmoja akatwe 50tsh kila siku km wanavyofanya sasa kwa mwezi ni shilingi ngapi.

Siyo tu tukemee huu uhuni bali km wameshindwa kutoa huduma kwa wananchi kihalali basi wafunge kampuni zao, Tanzania siyo shamba la Bibi, watu kuja kuvuna kadri watakavyo. Viongozi mliopewa dhamana wahurumieni wananchi wenu tena wenye umaskini uliopitiliza ambao wengi wao wanaishi chini ya dola moja kwa siku. Ebu fikiria jinsi maisha yalivyo ghali kwa sasa kuanzia mafuta, vyakula, ujenzi nk alafu kampuni sinakuja tena kuwaongeza maumivu kwa makato ya kimyakimya ya huduma za hovyohovyo ambazo mteja hajaomba.

Inaumiza sana.
 
Naunga Mkono hoja wamezidi ujinga ujinga
Nampango kuachana na Halotel. Yaani unakuta salio wameondoka nalo bila ridhaa ya mteja
 
Ki ukweli kabisa NAPE hawezi leta mabadiliko yoyote ndani ya taasisi yoyote atakayopewa. Teknlojia na Sekta ya mawasiliano inabadilika Kila sekunde. Nape Bado ni mshamba anayejifanya mtoto wa mjini, haelewi lolote zaidi ya kutumia Facebook na Twitter!
Tunarudi nyuma sana katika sekta hiyo! Hakuna jipya toka enzi za Jakaya
 
Ninaandika kwa masikitiko makubwa sana. Chondechonde Mkurugenzi wa TCRA na Waziri mwenye dhamana (NAPE NAUYE) wananchi tumechoka na huu wizi na uhuni unaofanywa na kampuni za simu Tanzania.

Kwanza kabisa kampuni za simu hapa Tanzania wamekuwa wakituibia wateja kwa kutuunga kwenye huduma zinazohusisha makato kimyakimya bila ridhaa ya mteja. Kinachotokea ni kwamba Kama unasalio kwenye muda wa maongezi ukawa haujajiunga na kifurushi chochote huwa wanakata taratibu na hatimaye usipokuwa unaangalia salio halisi mara kwa mara utakuta kwenye akauti hakuna hata senti. Km umeweka vocha ili ujiunge na vufurushi ndani ya sekunde moja kabla ya kujiunga utakuta salio halitoshi (wameishakata). Ukiwapigia mfano HALOTEL wanajibu tu "ulijiunga na huduma x mwenyewe" ingali wewe hujawahi kuomba kujiunga na huduma hiyo. Huu siyo tu ni wizi bali ni utakatishaji fedha jambo ambalo ni hatari kwa uchumi wa nchi.

Pili, mbaya zaidi kuna baadhi ya mitandao ya SIMU Kama VODACOM kile kipengele cha huduma kwa wateja ambapo mteja alikuwa anapata furusa ya kuwasilisha malalamiko au shida zake wamekifuta kabisa. Hapo mwanzo ili uweze kuongea na mhudumu kwa wateja ilikuwa kazi sana kuwapata ila kwa sasa wamefuta kabisa hicho kipengele. Utapiga 💯 lakini huwezi kupata sehemu ya kuongea na mhudumu.

Swali ni kwa nini wanaondoa au kuficha kipengele cha huduma kwa wateja. Jibu ni lile lile ni kuendelea kutuibia wateja kupitia huduma zao hizi za hovyohovyo za lazima kwa kuwaunga wateja.

NB.
Mheshimiwa Waziri mwenye dhamana (NAPE NAUYE) kwa nyakati tofauti na muda mrefu Watanzania wamekuwa wakizilalamikia hizi KAMPUNI za SIMU kwa wizi wao uliokithiri kupitia bando na huduma za hovyo ambazo mteja huungwa bila ridhaa yake. Wewe km Waziri mwenye dhamana umekuwa ukisema sisi wenyewe watumiaji ndiyo hatujui namna ya kutumia simu zetu vizuri hasa katika bando. Sasa nikwambie tu kuwa Watanzania wana akili timamu, siyo wajinga, ukiona wamelalamikia jambo ujue kuna vijimambo. Hizi kampuni za simu wana wizi mwingi wa rejareja na unaumiza sana. Fikiria Tanzania wapo watu wangapi wanaotumia simu na kila mmoja akatwe 50tsh kila siku km wanavyofanya sasa kwa mwezi ni shilingi ngapi.

Siyo tu tukemee huu uhuni bali km wameshindwa kutoa huduma kwa wananchi kihalali basi wafunge kampuni zao, Tanzania siyo shamba la Bibi, watu kuja kuvuna kadri watakavyo. Viongozi mliopewa dhamana wahurumieni wananchi wenu tena wenye umaskini uliopitiliza ambao wengi wao wanaishi chini ya dola moja kwa siku. Ebu fikiria jinsi maisha yalivyo ghali kwa sasa kuanzia mafuta, vyakula, ujenzi nk alafu kampuni sinakuja tena kuwaongeza maumivu kwa makato ya kimyakimya ya huduma za hovyohovyo ambazo mteja hajaomba.

Inaumiza sana.
TCRA hawahusiki na mitandao ya simu, wao kazi yao ni kupanga masafa ya redio na kukamata wahalifu wa mitandaoni isipokuwa wale wa "ile pesa tuma kwa namba hii".
 
Na bado wanavimba tu na sms zao. Sijui tafsiri ya kutusajili kwa alama ya vidole kama mtakumbuka tukiahidiwa mwisho wa huu utapeli. Au nijifanye nilinukuu vibaya?
 
Lengo halikuwa lile kama tulivyoaminishwa kwani baada ya kutimiza lengo lao usajiri haukuendelea zaidi ya kujidai mwisho umesogezwa mbele, ukafa kimyakimya.
 
Me mwnyewe niliweka vocha ya buku 2 halotel, baada ya wiki naambiwa sina salio wakati sijapiga wala kutuma sms
 
Hizi kampuni za simu waga zinafanya vikao kupanga mikakati ya kuibia wateja wao kwa sababu njia wanazotumia kuibia wateja wao hazitofautiani sana.

Hawawezi kufanywa chochote na hii serikali kwa sababu mwakani tu ccm itawaendea na bakuli kuomba mchango kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

Mimi hadi nimeamua niachane na Halotel kwa sababu ya uhuni na wizi wanaotufanyia wateja. Hawafurahii kuona unafanya top up mara kwa mara lazima watakufanyia uhuni tu. Hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom