Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

[QU
OTE="Hance Mtanashati, post:

34842087, member: 400241"]

Huu ni uongo wa mchana kweupeeeee

inawezekana mzee Sabah kuna maswali mengne ya fasihi yaan like LA 11 na lile LA lazima LA 15 yoote sio ya vitabu
 
Kwa O-level sijawai elewa tonics,tism,wave,genetics na upande wa wa math kuna kitu mpka leo kinaniachaga sijui complete the square mmmh kuhusu adv bhado napambna nayo ila kuna hii rotation of rigid body nayo hatar tupu kuna glycoliss yale mastage yake hataree tupu
 
Reproduction.
Maana kipindi hicho nilikuwa bikra wa kiume hata papuchi nilikuwa nashindwa ichora Ila Sasa hivi haisumbui. Natamani muda ujirudi nyuma.
 
Hili ndio tatizo kubwa, waliokuwa na uwezo mkubwa shuleni wakasoma haya makozi yenye sifa wengi wao hawana ajira. Inauma Sana kumuona aliyepata 4 ya 26 na F zake za math's, fizikia na chemistry wameajiliwa .
Kuna jamaa huyo amesoma petroleum udsm yule jama tulikuwa tunamwita isomers ,yule mwamba ni nyoko aise chemistry na mathematics hapana sijaona bado ila matokeo yake hana ajira mwaka wa tano sijuii etii petroleum haina soko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi A level
1. Physics sikusoma mechanics yote,wave zote, current electricity, na ile ya molecules
Nilitoka na E necta 😒😒😒
2.Chemistry organic chemistry yote sikusoma nimetoka na B necta
3. Mathematics differential, integration, probability sikusoma nimetoka na A necta hii ilikuwa 2022

O level sasa
1. History topic za form 3 zote sizijui nimepiga C necta
2. Civics sexy nimepiga B
3. Geography physical yote sikusoma nimechomoa B necta
4. Physics topic za form 3 nilikuwa weak sana nimechomoa C necta
5. Chemistry Nilikuwa nipo good nashaanga nimepiga C 😒😒😒
6. Kiswahili ximamoto nikatusua B yangu safi
7. Mathematics mpenxi wangu A nilikuwa najua kila topic hivyo nilikua sure
8. English kama mathe tu
9.Biology nilikuwa nipo avg kwenye kila topic Nikapiga B yangu fresh

Hiii ilikuwa 2019
 
Mmmh kwa phy hapo.... Ni kama sijaelewa hivi..?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom