Top 3 ya Ma-DJ wako wakali ni ipi?

Top 3 ya Ma-DJ wako wakali ni ipi?

Hapana, ni jina tu la kipindi mkuu waliamua kukiita hivyo lakini sio lengo hilo....! Beatmatching ni mzozo kwa DJs wengi tu wa studio nyingi za Radio hapa bongo hasa wakiwa wanapiga live on air..! Sasa fikiria Beatmatching ni kisanga je DJ kama huyo anaweza kumatch Acapella kwenye Instrumental..? Au anaweza ku perform live transitions za BPM kutoka kwenye either high Bpm to low or low to high na tena bila kugundulika na watu...!? Ni balaa kama DJ hawezi ndio maana siku hizi DJs wa majuu wana edit transitions tu kurahisisha kazi..
Mkuu hapo kwenye ku Match acapella na instrumental nimekumbuka kuna moja nimetengeneza kimtindo nitakutumia kule chobisi(Telegram) unitoe kasoro.
 
Mnaionaje hii trend ya ma-DJ ku produce music kama kina cuppy na neptune wa naija na RJ the DJ na DJ seven bongo?
Nimefuatilia huu uzi nikajiuliza hivi madini kichwani mwa DJ JD kwa nini asiende studio a produce??
Hivi huyu Jamaa [RJ the DJ] ni DJ kweli au kaamua kujiita tu hivyo?
 
Inawezekana tu sema inategemeana na utayari wa mhusika, na tracks za producers ambao ni ma DJ au wamepitia kwenye u DJ waga ni noma sana... We fatilia kina DJ Marphorisa hits zao, haya tukienda US kule kuna kina DJ Premier ni hatari nyimbo zake ni konki, Kuna DJ Snake, na DJ Mustard, Huyu jamaa DJ Mustard kama we ni mdau wa muziki toka enzi utakumbuka kwa hits zake ametesa sana dunia kipindi hicho 2013 - 2015 na hits kibao kana T.I. Ft Iggy Azalea No Mediocre, Kid ink ft Dej Loaf - Be Real, Big Sean - IDFWU, Tinashe ft ScHoolboy Q - 2 On, YG - Left Right, YG ft Young Jeezy - RIP,2-Chainz - I'm different, Tyga - Racky City, Kid ink ft Chris Brown - Show Me & Main Chick, Omarion ft Chris Brown - Post to be na nyingine nyingi tu... Kwa tafiti zilizofanywa inasemekana karibu 30% ya Redio stations zote huko USA hupiga nyimbo zenye beat za jamaa tu..

........ DJ Mustard ( Jina lake Dijon Isaiah McFarlane) Alikua DJ tu na msanii YG ndio alikua mshkaji wake sana toka vidudu, So siku moja akamkuta Mustard ameunda beat, YG akaielewa akaitolea nyimbo ndio left right ndio akamshawishi aanze u producer tu baada ya nyimbo kufanya vizuri kitaani kwao na kile ki jingo kwenye beats za DJ Mustard kinacho sound "Mustard on the beat, hoo! Ni sauti ya rapper YG... Kwaio nafikiri inawezekana hata kwa wengine kama DJ JD kua ma producer hasa kwa kuzingatia amekua kwenye game kwa miaka mingi sana..
DJ mustard ni[emoji91] [emoji91] [emoji91]
 

Attachments

  • images%20(1).jpg
    images%20(1).jpg
    7 KB · Views: 10
  • images.jpg
    images.jpg
    19.6 KB · Views: 16
Nafikiri kwa mixes za bongo flava jamaa ndio mwenyewe naonaga, jamaa fundi anaweza na ana Playlist nzuri...
Ila sasa DJ d ommy ndo wanasema ni DJ mkubwa hapo clouds kuliko wote
 
Kweli kabisa hasa kwenye playlist yake akifika Tempo/Bpm ya 100, piga huwa garagaza utaisikia hile ya "Tinashe _ Me So Bad" au "Dej loaf _ Be Real" anazipenda sana[emoji16][emoji16][emoji16]
Mpka watu tumekariri yaani hahah
 
efm kuna kipindi kinaitwa ivyo duuh kumbe lengo lake ndio hilo....
Ndo wengi wamekimbilia huko ubovu wao wanafichia hapo
Kwenda na BPM its not easy aseeh
Kuna ngoma utataka upige ikakunyima BPM
 
Mnaionaje hii trend ya ma-DJ ku produce music kama kina cuppy na neptune wa naija na RJ the DJ na DJ seven bongo?
Nimefuatilia huu uzi nikajiuliza hivi madini kichwani mwa DJ JD kwa nini asiende studio a produce??
Sema DJ seven namkubali sana jamaa ana mashine yake moja hivi Rane ile anaipatia balaa
 
Back
Top Bottom