Top 3 ya Ma-DJ wako wakali ni ipi?

Top 3 ya Ma-DJ wako wakali ni ipi?

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
16,775
Reaction score
28,222
Kwako wewe mwenyewe taja madj wako watatu unaona wako kwenye heat kwa sasa ,uwezo wao mkubwa. Pia, wale ambao ni talented pia na hawana nyota/bahati yaani wapo wapo tu. Na pia wale madj ambao ni overrated uwezo wao ni mdogo kuliko wanavyokuzwa.

Mimi kwa kweli DJ D Ommy huwa simuelewi uzuri jamaa anajua kujibrad ndo maana amefika mbali lakini uwezo wake ni kawaida.

Tiririka
 
Pia huyu DJ sinyorita naona anakuzwa sana lakini ni DJ wa daraja la kati tu.
Sema kwakuwa ni pisi Kali wadosi watakuwa wanampa shavu wale vinono
 
Kiddylux wasafi anajua sana anapiga kuanzia saa mbili usiku jamaa anajua
Anajua kwa sasa hivi lakini bado ana muda mfupi ..
Ndo yule jamaa mwenye mandevu ama sio huyo?
 
Nilichogundua madj wengi bongo scratch inaficha udhaifu wao wa beat matching yaani beat per minute..ukiifahamu hiyo vizuri.
Utaweza kupiga session yako nzima bila scratch hata kidogo na watu wakaelewa
BPM ni tamu inaonesha ufundi wako ulipo
 
Back
Top Bottom