Top 3 ya Ma-DJ wako wakali ni ipi?

Top 3 ya Ma-DJ wako wakali ni ipi?

Pro24 ni chama kubwa sana na imetoa DJs wengi wakali tu, Kina Dea, Nick The Best, KG the DJ, DJ Fantastic na wengine wengi ni watoto wa Pro24

Sent from my Infinix X5514D using JamiiForums mobile app
Kwako wewe ukiwa unapiga muziki unapanga playlist au play ya ngoma ziko kichwani?
 
Kwamba mafuvu ni habari nyingine?
Niliskia eti jamaa huwa hapangi playlist ngoma. Anazitoa kichwani eti?
Halafu why aliacha kaz eatv?
Mafuvu ni noma yule, kwenye scratches tu hakamatiki, akikupigia mix ya ngoma za hiphop za kibongo utapenda!
..... Aliacha kazi sabu ya maslahi, alikua akibaniwa sana inavyosemekana baadae akatimkia Kenya radio moja hivi inaitwa Hot96 ame djing pale kwa muda then akarudi TZ tena akaamua kujiajiri kwa kufungua Mafuvu Barbershop ipo pale mtaa wa Aziz Ally, walio DSM wanaifahamu na muda mwingi nilikua namkuta pale kupiga nae stories 2,3 kipindi nipo Dar..
....... Ila ana vijana wake anawatrain pia u DJ na pia mara mosimosi huwa anapiga kwenye miariko ya parties, nilimuuliza kwanini hapigi kwenye media akasema hataki asaiv kuajiriwa na media yoyote ile labda apate mwariko tu kama guest dj nayo isiwe sana...

Sent from my Infinix X5514D using JamiiForums mobile app
 
Wakuu! Mimi napenda sana u-Dj na huwa nikimaliza shughuli zangu na kaa na PC yangu naunganisha mziki naanza kupiga kwa kutumia Virtual Dj, but na wish nikipata vihela nichukue mashine niweke gheto apa niwe napiga vitu tu, nisaidieni mawazo ipi itakua affordable na nzuri kwa kujifunzia.
 
Huwezi ukaelewa nikichomaanisha, Umesema ma Dj wakali huyo niliyemtaja kwangu mimi ndo mkali hata humfahamu.

Kumbuka kizuri kwako kwa mwingine si kizuri, usitake kulazimisha watu wapende unavyopenda wewe.
Mbona makasiriko bro sisi tunatania tu hapa
 
Wakuu! Mimi napenda sana u-Dj na huwa nikimaliza shughuli zangu na kaa na PC yangu naunganisha mziki naanza kupiga kwa kutumia Virtual Dj, but na wish nikipata vihela nichukue mashine niweke gheto apa niwe napiga vitu tu, nisaidieni mawazo ipi itakua affordable na nzuri kwa kujifunzia.
Mkuu Times9 mawazo yako juu ya hili nami nahitaji kufahamu
 
Wakuu! Mimi napenda sana u-Dj na huwa nikimaliza shughuli zangu na kaa na PC yangu naunganisha mziki naanza kupiga kwa kutumia Virtual Dj, but na wish nikipata vihela nichukue mashine niweke gheto apa niwe napiga vitu tu, nisaidieni mawazo ipi itakua affordable na nzuri kwa kujifunzia.
Mashine zipo nyingi tu mpaka za 500k ila ziko nchi za mbele huko so ukiagiza kuna mambo ya kodi na usafiri inaweza chezea 700k mpaka 1M! Kibongo bongo zipo ila bei ina range 800k mpaka 1.3M.....Ukitaka kununua hapa bongo just mcheck DJ Deo255 wa Kiss FM ndio biashara zake za kuuza controllers kama dalali, Pia kuagiza online inawezekana sema sina uzoefu na kuagiza vitu vikubwa kama hivyo online.....

.....Lakini before hujafanya maamuzi ya kununua controller hakikisha una computer/Laptop nzuri angalau iwe na RAM 4GB/8GB (Kama utajiweza kiuchumia unanunua MacBook kwa sababu Serato DJ Pro ime designiwa mahususi kwa ajili ya MacOS japokua na Windows pia sema kwa Windows inasumbua sana) na hakikisha laptop yako iko na graphics nzuri kwa maana kama utaamua kutumia Software ya Serato DJ Pro ina stacks sana kama una PC yenye uwezo mdogo hasa Windows PC....

........ Alternatively ya Serato DJ Pro unaweza tumia Virtual DJ 2020/2021 sabu haiitaji mambo mengi sana na PC ya kawaida tu ina run....Sema utakosa features mingi sana ambazo kwenye Serato DJ Pro zipo nyingi mno na ni Advanced, Serato ni tamu mnooo.. Na watengenezaji wengi wa controllers wako partnership na hawa wa New Zealand (Serato) na wanaunda mashine kuendana na Software ya Serato ndio maana mashine nyingi utaona zina logo/maandishi ya Serato!
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mkuu umechimba na umeniongezea kitu, vp naweza pata setup ya serato kwenye window pc. Natumia asus RAM 6 Core 7 500HDD
 
Back
Top Bottom