iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 5,190
- 10,102
Kwa huko Dar es Salaam - Kiss FM 89.0 FMhivi kiss fm hapa Dr inashika kwa frequence gani?
Sent from my Infinix X5514D using JamiiForums mobile app
Kwa huko Dar es Salaam - Kiss FM 89.0 FMhivi kiss fm hapa Dr inashika kwa frequence gani?
Overrated! Kwa Clouds FM hakuna kama Scratch Designer, anafata Steve B then DJ Sifuri (Zero)...Ila sasa DJ d ommy ndo wanasema ni DJ mkubwa hapo clouds kuliko wote
Hii ndio stesheni ambayo huyu mwanaume kama mwanamke juma kitoroli anatangaza kumbe?
Ommy ubovu wake upo kwenye nini haswa yaani mapungufu yake..mkuuOverrated! Kwa Clouds FM hakuna kama Scratch Designer, anafata Steve B then DJ Sifuri (Zero)...
Sent from my Infinix X5514D using JamiiForums mobile app
Hivi hao kina sinyorita hawazawadii kipochi kweli kama ukipanda dau?Minapenda wale wakikee wanavyokaa uchi..sinyorita pale elements ananikosha sana nikiangalia upaja wake, dj mamie sichokii kutizama tu chuchu twake[emoji1787][emoji1787]
Daah! Wale ni hatari sana... Ila kulikua na Chriss The DJ (Marehemu kwa sasa) alikua noma sana kuliko wote, amewahi kufanya kazi Kiss FM pia...Hivi mnawajua ma djs wa jembe fm??
Anachovuruga ni anajaribu kuiga skills za DJ AD (Mafuvu) mpaka zile vibes za kutangaza (kelele) wakati hawezi kabisa kumfikia yule mwamba ni level nyingine...Ommy ubovu wake upo kwenye nini haswa yaani mapungufu yake..mkuu
Maana wewe sio mtu wa kwanza Ku sema haya jamaa ana bahati tu..
Na vipi kuhus wenzie kina sinyorita ,DJ feruuh?
Yaani DJ Feruuh bado mwanafunzi wa Steve B kwenye u DJ kama hujui na kajifunzia u DJ pale pale Clouds, sema hana ile kujiongeza baada ya mwl wake kuugua..Ommy ubovu wake upo kwenye nini haswa yaani mapungufu yake..mkuu
Maana wewe sio mtu wa kwanza Ku sema haya jamaa ana bahati tu..
Na vipi kuhus wenzie kina sinyorita ,DJ feruuh?
Kwamba mafuvu ni habari nyingine?Anachovuruga ni anajaribu kuiga skills za DJ AD (Mafuvu) mpaka zile vibes za kutangaza (kelele) wakati hawezi kabisa kumfikia yule mwamba ni level nyingine...
Kuna kina DJ PQ huyu ndio international DJ sasa mpaka MTV na Big Brother walikua wanamchukua kwenda kupiga shows...
Sent from my Infinix X5514D using JamiiForums mobile app
Dah hivi Steve b hajaponaga tu jamaa dahYaani DJ Feruuh bado mwanafunzi wa Steve B kwenye u DJ kama hujui na kajifunzia u DJ pale pale Clouds, sema hana ile kujiongeza baada ya mwl wake kuugua..
Sent from my Infinix X5514D using JamiiForums mobile app
Ukimwendea kinyamwezi unapiga tu....Hivi hao kina sinyorita hawazawadii kipochi kweli kama ukipanda dau?
Maana yule mtoto kawa mtamu mnoo
Lakini wengine pesa zetu za mawazo.mkuuUkimwendea kinyamwezi unapiga tu....
Steve B alikua anasumbuliwa na Figo, kuna kipindi aliwahi kumuomba mpaka Makonda msaada ili akatibiwe India, Ni kama zilikua zinahitajika milioni 200.. Nikawa nawaza, Kusaga hawezi kumsaidia au kuna nini katikati yao!Dah hivi Steve b hajaponaga tu jamaa dah
Lakini mbona sinyorita kapelekwa xxl moja kwa moja yaani fasta fasta hivi kwanini huyo nafasi asingepewa scratch designer?
Labda sikufafanua vzr nilitaka kulenga mifano ya ma DJ wa Africa maana unyamwezini ma DJ waliingia kwenye ku produce kipindi sana. Ma DJ wetu waige kina Marphorisa, neptune, cuppy nk Kibongobongo kuishi kwa u DJ pekee ngumu sana wenye afadhali kdg ni wale walioajiriwa na radio stations.Inawezekana tu sema inategemeana na utayari wa mhusika, na tracks za producers ambao ni ma DJ au wamepitia kwenye u DJ waga ni noma sana... We fatilia kina DJ Marphorisa hits zao, haya tukienda US kule kuna kina DJ Premier ni hatari nyimbo zake ni konki, Kuna DJ Snake, na DJ Mustard, Huyu jamaa DJ Mustard kama we ni mdau wa muziki toka enzi utakumbuka kwa hits zake ametesa sana dunia kipindi hicho 2013 - 2015 na hits kibao kana T.I. Ft Iggy Azalea No Mediocre, Kid ink ft Dej Loaf - Be Real, Big Sean - IDFWU, Tinashe ft ScHoolboy Q - 2 On, YG - Left Right, YG ft Young Jeezy - RIP,2-Chainz - I'm different, Tyga - Racky City, Kid ink ft Chris Brown - Show Me & Main Chick, Omarion ft Chris Brown - Post to be na nyingine nyingi tu... Kwa tafiti zilizofanywa inasemekana karibu 30% ya Redio stations zote huko USA hupiga nyimbo zenye beat za jamaa tu..
........ DJ Mustard ( Jina lake Dijon Isaiah McFarlane) Alikua DJ tu na msanii YG ndio alikua mshkaji wake sana toka vidudu, So siku moja akamkuta Mustard ameunda beat, YG akaielewa akaitolea nyimbo ndio left right ndio akamshawishi aanze u producer tu baada ya nyimbo kufanya vizuri kitaani kwao na kile ki jingo kwenye beats za DJ Mustard kinacho sound "Mustard on the beat, hoo! Ni sauti ya rapper YG... Kwaio nafikiri inawezekana hata kwa wengine kama DJ JD kua ma producer hasa kwa kuzingatia amekua kwenye game kwa miaka mingi sana..
Si yupo TBC?Dj AllyB 'Profesa' Afrika mashariki na kati hakuna kama huyu
Pro24 ni chama kubwa sana na imetoa DJs wengi wakali tu, Kina Dea, Nick The Best, KG the DJ, DJ Fantastic na wengine wengi ni watoto wa Pro24Hivi kipi ni kituo kizuri kati ya pro24 DJ.
Na itch academy wapi wana madj wanaofundisha vizuri?
Ila naskia pro24 wametoa madj wengi wanaotamba hapa bongo
Sema huyo charlie kg ni Konyo uyo dogo namskiaga Facebook bongo DJs ..Pro24 ni chama kubwa sana na imetoa DJs wengi wakali tu, Kina Dea, Nick The Best, KG the DJ, DJ Fantastic na wengine wengi ni watoto wa Pro24
Sent from my Infinix X5514D using JamiiForums mobile app