Top 3 ya Ma-DJ wako wakali ni ipi?

Top 3 ya Ma-DJ wako wakali ni ipi?

Sema miaka inavyozidi kwenda kila mtu atakua DJ tu kwa sababu u DJ kwa asaiv unarahisishwa mno kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kama maana hata Virtual DJ watu wameanza nayo mbali sana na DJ wengi wameanzia huko..

...... Kwanini nasema u DJ unakua easy sana kuufanya? (Sio kupiga live mix) sababu ni ujio wa Tools za kisasa au twaweza sema ujio wa Program za kisasa zaidi Sony Acid na Sony Vegas, haya ma program ni hatari sana..., Of course kuyachezea ni magumu ya nahitaji muda kuyaelewa ila ukizijua zinarahisisha kumix, yaani unapanga tu Playlist na kuandaa patterns either za scratches, Aisee Sony Acid & Sony Vegas ukiweka tu nyimbo inaji scratch na ku sync automatically tu wewe hata hauhangaiki [emoji23] kila kitu inafanya yenyewe tu we kazi ako ni kudrop nyimbo tu..

Sema wabongo wengi hawajaziwezea kuundia mixes zaidi ya kuzitumia kuundia Intros/Extendeds kuundia matangazo ya burudani kwenye TV na Radios na kueditia muziki... Ila wakenya wanajua sana kuyachezea, ukiskiza hata mixtapes za siku hizi za wakenya au kwenye radio & TVs zao utaona tu nazungumzia nini, kuna kama mixes au intros hivi zina ma scratches, backspins za ajabu ajabu yaani zinakua performed kwa haraka sana na mbwembe nyingi ambazo ni ngumu DJ kuziperfom live kama akiwa na mashine lazima apige maembe tu...

Sony Acid & Sony Vegas ni hatari sana hizi ni nzuri kurahisisha mahitaji ya muziki ila pia zinaua vipaji vya u DJ wa kupiga live na mashine....
 
Kwanini unasema hivyo kaka kwamba ni wakawaida ama urembo unachangia?
Mixing zake zina mapungufu yapi mtaalamu?
Hata Mimi naonaga kama wameweka DJ wa kike kubalance
Kuanzia upangiliaji wa nyimbo mpk upigaji hajawahi kunibariki nadhani kinachombeba ni jinsia yake(urembo) wake.

Ni wakawaida mno ata akiwa anataka ku scratch ana kauoga fulani hivi.
 
Sema miaka inavyozidi kwenda kila mtu atakua DJ tu kwa sababu u DJ kwa asaiv unarahisishwa mno kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kama maana hata Virtual DJ watu wameanza nayo mbali sana na DJ wengi wameanzia huko..

...... Kwanini nasema u DJ unakua easy sana kuufanya? (Sio kupiga live mix) sababu ni ujio wa Tools za kisasa au twaweza sema ujio wa Program za kisasa zaidi Sony Acid na Sony Vegas, haya ma program ni hatari sana..., Of course kuyachezea ni magumu ya nahitaji muda kuyaelewa ila ukizijua zinarahisisha kumix, yaani unapanga tu Playlist na kuandaa patterns either za scratches, Aisee Sony Acid & Sony Vegas ukiweka tu nyimbo inaji scratch na ku sync automatically tu wewe hata hauhangaiki [emoji23] kila kitu inafanya yenyewe tu we kazi ako ni kudrop nyimbo tu..

Sema wabongo wengi hawajaziwezea kuundia mixes zaidi ya kuzitumia kuundia Intros/Extendeds kuundia matangazo ya burudani kwenye TV na Radios na kueditia muziki... Ila wakenya wanajua sana kuyachezea, ukiskiza hata mixtapes za siku hizi za wakenya au kwenye radio & TVs zao utaona tu nazungumzia nini, kuna kama mixes au intros hivi zina ma scratches, backspins za ajabu ajabu yaani zinakua performed kwa haraka sana na mbwembe nyingi ambazo ni ngumu DJ kuziperfom live kama akiwa na mashine lazima apige maembe tu...
Hata sasa tu mkuu madj fake wamekuwa wengi tech imerahisisha now mpka madem wengi wamekuwa DJs kazi imekuwa rahisi.

Kumbe hiyo Sony ndo inarahisisha mambo hivyo? Sasa DJ unafanya kazi ipi hapo kama mpka sync inakusaidia?
Haha duh
 
Kuanzia upangiliaji wa nyimbo mpk upigaji hajawahi kunibariki nadhani kinachombeba ni jinsia yake(urembo) wake.

Ni wakawaida mno ata akiwa anataka ku scratch ana kauoga fulani hivi.
Pia Mara nyingi nyimbo zake nyingi anarudia rudia sana
 
Sema ni kweli mkuu madj wengi ni uvivu hawataki Ku practice beat matching sababu inahitaji utulie na umakini ukikosea unapiga maembe that's why jamaa wanaficha na. Scratch zao hpvyo
We don't care about matching kwa sababu kuanzia kwa maproducer nyimbo zinatengenezwa local cc tunatakaga mixing kali tu ya nyimbo ...hawa madj wetu hakuna hata mmoja anayeweza kuhimili mastage makubwa makubwa yale ya ulaya kwa sababu kucheza na bpm ni kipengele kwao
 
Wanaogopa watapiga maembe
Kwahiyo mixing iwe kali lakini hata kama kamix bila mpangilio?
 
Watz wengi tunachoangalia ni kwamba kama dj kapiga nyimbo kali kwenye playlist yake then huyo ni mkal
Lakini tunasahau kuangalia huyo DJ hizo nyimbo kazipigaje?
Ukiwa kwenye radio unahitaji ufundi zaidi compare na club
 
Hata sasa tu mkuu madj fake wamekuwa wengi tech imerahisisha now mpka madem wengi wamekuwa DJs kazi imekuwa rahisi.

Kumbe hiyo Sony ndo inarahisisha mambo hivyo? Sasa DJ unafanya kazi ipi hapo kama mpka sync inakusaidia?
Haha duh
[emoji23][emoji23] Kazi ako ni kuifeed Playlist tu basi, na kutengeneza patterns za scratches & effects tu basi..
 
Bei yake ni kiasi gani
Ndio zina gharama sana mkuu, Kuna latest Rane Seventy Two MkII iko vizuri, kidogo wameiwekea features za ziada kwenye mixer ake inaonekana vizuri... Ila bei yake ni imechangamka, ila Rane nazipendaga sana basi tu..
 
Nilichogundua madj wengi bongo scratch inaficha udhaifu wao wa beat matching yaani beat per minute..ukiifahamu hiyo vizuri.
Utaweza kupiga session yako nzima bila scratch hata kidogo na watu wakaelewa
BPM ni tamu inaonesha ufundi wako ulipo
efm kuna kipindi kinaitwa ivyo duuh kumbe lengo lake ndio hilo....
 
Kweli kabisa hasa kwenye playlist yake akifika Tempo/Bpm ya 100, piga huwa garagaza utaisikia hile ya "Tinashe _ Me So Bad" au "Dej loaf _ Be Real" anazipenda sana[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaaaa [emoji23][emoji23] na hivi zote zina BPM moja ni kuclick tu Sync button Serato DJ Pro ina zina match..
 
efm kuna kipindi kinaitwa ivyo duuh kumbe lengo lake ndio hilo....
Hapana, ni jina tu la kipindi mkuu waliamua kukiita hivyo lakini sio lengo hilo....! Beatmatching ni mzozo kwa DJs wengi tu wa studio nyingi za Radio hapa bongo hasa wakiwa wanapiga live on air..! Sasa fikiria Beatmatching ni kisanga je DJ kama huyo anaweza kumatch Acapella kwenye Instrumental..? Au anaweza ku perform live transitions za BPM kutoka kwenye either high Bpm to low or low to high na tena bila kugundulika na watu...!? Ni balaa kama DJ hawezi ndio maana siku hizi DJs wa majuu wana edit transitions tu kurahisisha kazi..
 
Mnaionaje hii trend ya ma-DJ ku produce music kama kina cuppy na neptune wa naija na RJ the DJ na DJ seven bongo?
Nimefuatilia huu uzi nikajiuliza hivi madini kichwani mwa DJ JD kwa nini asiende studio a produce??
 
Inawezekana tu sema inategemeana na utayari wa mhusika, na tracks za producers ambao ni ma DJ au wamepitia kwenye u DJ waga ni noma sana... We fatilia kina DJ Marphorisa hits zao, haya tukienda US kule kuna kina DJ Premier ni hatari nyimbo zake ni konki, Kuna DJ Snake, na DJ Mustard, Huyu jamaa DJ Mustard kama we ni mdau wa muziki toka enzi utakumbuka kwa hits zake ametesa sana dunia kipindi hicho 2013 - 2015 na hits kibao kana T.I. Ft Iggy Azalea No Mediocre, Kid ink ft Dej Loaf - Be Real, Big Sean - IDFWU, Tinashe ft ScHoolboy Q - 2 On, YG - Left Right, YG ft Young Jeezy - RIP,2-Chainz - I'm different, Tyga - Racky City, Kid ink ft Chris Brown - Show Me & Main Chick, Omarion ft Chris Brown - Post to be na nyingine nyingi tu... Kwa tafiti zilizofanywa inasemekana karibu 30% ya Redio stations zote huko USA hupiga nyimbo zenye beat za jamaa tu..

........ DJ Mustard ( Jina lake Dijon Isaiah McFarlane) Alikua DJ tu na msanii YG ndio alikua mshkaji wake sana toka vidudu, So siku moja akamkuta Mustard ameunda beat, YG akaielewa akaitolea nyimbo ndio left right ndio akamshawishi aanze u producer tu baada ya nyimbo kufanya vizuri kitaani kwao na kile ki jingo kwenye beats za DJ Mustard kinacho sound "Mustard on the beat, hoo! Ni sauti ya rapper YG... Kwaio nafikiri inawezekana hata kwa wengine kama DJ JD kua ma producer hasa kwa kuzingatia amekua kwenye game kwa miaka mingi sana..
 
Back
Top Bottom