Top 3 ya Ma-DJ wako wakali ni ipi?

Top 3 ya Ma-DJ wako wakali ni ipi?

Hivi kwanini wanaziogopa au sababu ya mtindo wake au gharama ziko vipi fafanua
Kaka hizo zimekaa manually sana kila kitu yaani, Tempo/BPM unaset manually, Hot cues na vingine unaset mwenyewe..... Achana na hizi pioneers za asaiv ambazo uki load tu nyimbo inawekewea kila kitu hadi auto loops, zina sync button na nyingine nyingi tu una click mambo yanajipa.... Asa kwa turntables za Rane ni mzozo na hivi DJ wengi hawapendi usumbufu.. Ila kina DJ JD, DJ Dea, DJ Zero na Mafuvu(DJ AD) wao washazizoea ndio maana wana skills na wanaweza beatmatches za uhakika...
 
DJ Kiddylex ni moto [emoji91] anagonga mix now, nafikiri baada ya huyu mwingine mkali hapo Wasafi FM ni DJ Sheddy na DJ Lucky..
 
Hii Rane naona Clouds Djs wanaitumia kwa sasa
Toka zamani sana, DJ Zero ndo mashine yake hiyo hiyo hapo studio.. Labda akiwaga kwenye matamasha tu huko ndo anatumia na hizo nyingine..
.... Afu umenikumbusha DJ Steve B, daah jamaa nae ni moto na kuna baadhi ya ma DJ wa Clouds kawafua, maskini asaiv ni mgonjwa sijui anaendelea aje maana kaugua siku nyingi sana.
 
Kaka hizo zimekaa manually sana kila kitu yaani, Tempo/BPM unaset manually, Hot cues na vingine unaset mwenyewe..... Achana na hizi pioneers za asaiv ambazo uki load tu nyimbo inawekewea kila kitu hadi auto loops, zina sync button na nyingine nyingi tu una click mambo yanajipa.... Asa kwa turntables za Rane ni mzozo na hivi DJ wengi hawapendi usumbufu.. Ila kina DJ JD, DJ Dea, DJ Zero na Mafuvu(DJ AD) wao washazizoea ndio maana wana skills na wanaweza beatmatches za uhakika...
Yeah ni kweli mkuu hivi vi controllers vya saivi vina kila kitu wameweka na button ya sync kabisa yaani .

Lakini rane zimekaa manually hizo turntable nazikubali sema naskia ni ghrama eti..
Ila ukiona mtu anatumia turntable ujue anajua kweli
 
Toka zamani sana, DJ Zero ndo mashine yake hiyo hiyo hapo studio.. Labda akiwaga kwenye matamasha tu huko ndo anatumia na hizo nyingine..
.... Afu umenikumbusha DJ Steve B, daah jamaa nae ni moto na kuna baadhi ya ma DJ wa Clouds kawafua, maskini asaiv ni mgonjwa sijui anaendelea aje maana kaugua siku nyingi sana.
Dj zero kumbe ni mtaalamu
 
Yeah steve B yupo bomba sana

Hili la kuumwa sikulijua [emoji17] [emoji17] [emoji17] daah pole sana kwake Mungu ampe wepesi kwa kweli maana ni miongoni mwa ma DJs wakali wa kitambo tuliobarikiwa kuwa nao mpaka leo na bado mchango wake kwenye tasnia unaitajika kwa kiasi kikubwa sana.
 
Yeah ni kweli mkuu hivi vi controllers vya saivi vina kila kitu wameweka na button ya sync kabisa yaani .

Lakini rane zimekaa manually hizo turntable nazikubali sema naskia ni ghrama eti..
Ila ukiona mtu anatumia turntable ujue anajua kweli
Ndio zina gharama sana mkuu, Kuna latest Rane Seventy Two MkII iko vizuri, kidogo wameiwekea features za ziada kwenye mixer ake inaonekana vizuri... Ila bei yake ni imechangamka, ila Rane nazipendaga sana basi tu..
 
Ndio zina gharama sana mkuu, Kuna latest Rane Seventy Two MkII iko vizuri, kidogo wameiwekea features za ziada kwenye mixer ake inaonekana vizuri... Ila bei yake ni imechangamka..
Ila Rane ndo kampuni yenye mixer zao kalii balaa mixer nzurii
 
Back
Top Bottom