Top 3 ya Ma-DJ wako wakali ni ipi?

Top 3 ya Ma-DJ wako wakali ni ipi?

Playlist yenye mpangilio mzuri kutokana na sehemu ulipo ..
Beat matching ..
Na vingine kama scratch ni vya nyongeza

Akili ya kusoma watu wako wanataka nini
Mixing and cuting skills. Association pia kwamba maudhui ya wimbo unaotoka na unaoingia unalandana. Scratching za kueleweka. Huwa naboeka sana bila hivi vitu. So kila mtu na fleva zake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah flavors zinatoafutiana lakini
Hivyo ulivyovitaja vipo ndani ya scratch na vyenzao kaka
Cutting skills na uwezo wako mwenyewe huwa haifundishwi ..
Sasa beat matching ndo hapo kwenye nyimbo zipandane NDP madj wengi wanafeli yaani anaficha na scratch
 
DJ Tass wa Magic FM na Marehemu Chriss The DJ & DJ Boy nature hawa jamaa nao ndio walioni inspire sana kwenye hii fani... Wanajua kuchezea controller haswa...
Huyo DJ Tass bado yupo?
Kuna watu wamezimeza controller kichwani yaani wanazichezea kama anamchezea dem wake
 
Back
Top Bottom