The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,444
Na ndiyo kivuli cha wengi.Scratch designer
Scratch designer
Scratch designer
Na ndiyo kivuli cha wengi.Scratch designer
Scratch designer
Scratch designer
Huyo ni dj anaitwa hivyo, yupo Mawingu paleNa ndiyo kivuli cha wengi.
Hapana nilimskia tu kwenye redio ila ilikuwa muda kidogo so nahisi tu atakuwa ni mkongwe maana saivi simsikii tenaNaomba pic yake kama wamjua?
1. DJ JDKwako we we mwenyewe taja madj wako watatu unaona wako kwenye heat kwa sasa ,uwezo wao mkubwa..
Pia wale ambao ni talented pia na hawana nyota/bahati yaani wapo wapo tu ..
Na pia wale madj ambao ni overrated uwezo wao ni mdogo kuliko wanavyokuzwa ...
Mimi kwa kweli DJ d ommy huwa simuelewi uzuri jamaa anajua kujibrad ndo maana amefika mbali lakini uwezo wake ni kawaida
Tiririka
Playlist yenye mpangilio mzuri kutokana na sehemu ulipo ..
Hiyo DJ malice niliwahi mskia niliipenda playlist yake siku ya kwanza tu1. DJ JD
2. DJ malice
3. DJ 45 King.
Hivi majizo nae alikuwa mtaalamu?Majay majizo dj majizo foo shizo..
DJ JD John dilinga .nilikuwa na kiredio changu kidogo nilinunua sh elfu 3.
Mchawi betri za mia mbili
Balaa zito kaka hiloScratch designer
Scratch designer
Scratch designer
Hatari ni Dj na nusu huyo.Hiyo DJ malice niliwahi mskia niliipenda playlist yake siku ya kwanza tu
Hi
Hivi majizo nae alikuwa mtaalamu?
Ndo tumeambiwa hapa huyo dogo anaitwa kidluxKuna dj namsikia Mida hii anakung'uta mikito heavy wasafi fm, anaitwa nani huyu mwana?
Huyo simfaham, nilijua unamanisha scratching kama kivuli cha ma dj wengiHuyo ni dj anaitwa hivyo, yupo Mawingu pale
Dogo yupo njema sana
NomaBalaa zito kaka hilo
Nafikir atakuwa ni MTU mzima kidogo huyo jamaa ni miaka mitano imepita sijamskiaHatari ni Dj na nusu huyo.