Top 10 of best female JF members

Top 10 of best female JF members

jamaan na mm kaniblock tena ilikua kipindi anatukanana na milly nahisi nitakua nimecomment vibaya kwa milly nimekula block ila inaniuma acha tu
Jini mauti kaniblock tu habari sina

Wasanij wa bongo kwa kublock acha tuu....!!
Ukimkosoa tu solex njwii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
jamaan na mm kaniblock tena ilikua kipindi anatukanana na milly nahisi nitakua nimecomment vibaya kwa milly nimekula block ila inaniuma acha tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe Nina wenzangu me sjamkoment kuna kipindi ilisemekana account ake imekua hacked tokea hapo someone nikimtafta Na akaunti zingine nampata nikajua nishalamba joker
 
Jini mauti kaniblock tu habari sina

Wasanij wa bongo kwa kublock acha tuu....!!
Ukimkosoa tu solex njwii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]halaf ujue wana fekero zao ndio wanasoma comments sbbu kwa milly hajamfollow na milly yupo private
 
Nimecheka tu mkuu
Usiichukulie JF Serious labda kwenye ishu za kupiga pesa tu
Mi siku nyingi nilishawagundua midume a in a ya Semenya
cs.jpg
 
Back
Top Bottom