Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa.

JamiiForums

Official Robot
Joined
Nov 9, 2006
Messages
5,106
Points
2,000

JamiiForums

Official Robot
Joined Nov 9, 2006
5,106 2,000
Ndugu wana JamiiForums,

Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.

Karibuni sana.

MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.

Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
 
Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Messages
9,548
Points
2,000

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2016
9,548 2,000
sina ushahidi wa Takwimu but I know for a fact Ndalichako ni bomu tunalolilea,inawezekana msione sasa hivi,ngoja akae achumie tumbo lake ilhali anaiua Tanzania
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
4,310
Points
2,000

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
4,310 2,000
USHAURI!
1. Ondoa wakurugenzi waliowekwa kiukada, hawana msaada wowote wa kuendesha mambo kiueledi zaidi ya siasa
2.Mchezo wa kupotezana, kutekana, kuumizana ni ushamba na dalili za kushindwa kujibu hoja kwa hoja
3. Achana na kuteua watu KIDINI, kuteua watu kwa mrengo wa udini ni kujibania pool ya talent za kusaidia maendeleo kwa upofu wa "hawa ni wenzangu" na "wale si wenzangu", wakati kumbe ni taifa la watu walewale tu, jahazi likizama tunazama wote!
4. Ondoa white elephants projects, Uza ndege hizo pesa tuingize kwenye umeme wa gesi
5. Kuua private sector ni kuturudisha kwenye siasa za uchumi zilizofeli za Julius Nyerere, ni aina ya uchumi muflisi
6. Nchi lazima iwe na mipango endelevu, siyo kila anyekuja anakuja na ishu zake, anavunjavunja zile alizoshiriki kuzipitisha
7. Lazima sheria za nchi, uhuru wa watu, Demokrasia na Utaalam viheshimiwe
8. Rudisha Trilion zetu 2.4
9. Hakikisha unaenda mahakamani kudai Trilion zetu 424 tulizoibiwa na ACACIA, Mtu akisamehe hizo ni mhaini, huwezi kusamehe pesa inayolingana na bajeti ya nchi ya miaka 15 halafu usiwe msaliti!
10. Elimu bora na siyo bora elimu, lazima Elimu ya vitendo itiliwe mkazo, siyo matheory ambayo ukishapiga NECTA unatupa kule hayakusaidi choochote, lete elimu ya ujasirimali, ufundi kama vile ujenzi, umeme, vyombo vya moto, electronics, computer, mabomba, ufugaji, ususi, ushonaji etc. Hiyo ndo elimu ya maana, Siyo habari za Historia ya Ulaya kwenye middle ages, itanisaidia nini mimi?
 
Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Messages
9,548
Points
2,000

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2016
9,548 2,000
1. Ondoa wakurugenzi waliowekwa kiukada, hawana msaada wowote wa kuendesha mambo kiueledi zaidi ya siasa
2.Mchezo wa kupotezana, kutkana, kuumizana ni ushamba na dalili za kushindwa kujibu hoja kwa hoja
3. Achana na kuteua watu KIDINI, kuteua watu kwa mrengo wa udini ni kujibania pool ya talent za kusaidia maendeleo kwa upofu wa "hawa ni wenzangu" na "wale si wenzangu", wakati kumbe ni taifa la watu walewale tu, jahzilikizama tunazama wote!
4. Ondoa white elephants projects, Uza ndege hizo pesa tuingize kwenye umeme wa gesi
5. Kuua private sector ni kuturudisha kwenye siasa za uchumi zilizofeli za Julius Nyerere, ni aina ya uchumi muflisi
6. Nchi lazima iwe na mipango endelevu, siyo kila anyekuja anakuja na ishu zake, anavunjavunja zile alizoshiriki kuzipitisha
7. Lazima sheria za nchi, uhuru wa watu, Demokrasia na Utaalam viheshimiwe
8. Rudisha Trilion zetu 2.4
9. Hakikisha unaenda mahakamani kudai Trilion zetu 424 tulizoibiwa na ACACIA, Mtu akisamehe hizo ni mhaini, huwezi kusamehe pesa inayolingana na bajeti ya nchi ya miaka 15 halafu usiwe msaliti!
10. Elimu bora na siyo bora elimu, lazima Elimu ya vitendo itiliwe mkazo, siyo matheory ambayo ukishapiga NECTA unatupa kule hayakusaidi choochote, lete elimu ya ujasirimali, ufundi kama vile ujenzi, umeme, vyombo vya moto, electronics, computer, mabomba, ufugaji, ususi, ushonaji etc. Hiyo ndo elimu ya maana, Siyo habari za Historia ya Ulaya kwenye middle ages, itanisaidia nini mimi?
Kasema uje na takwimu! ;););):D..nakutania,nimeipenda hii posti
 
blackstarline

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Messages
2,335
Points
2,000

blackstarline

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2016
2,335 2,000
Serikali. Iweke lugha ya Kiswahili kwe ofisi za serikali mafano kama mahakamani, polisi hospitali, form ziwe za Kiswahili. Tanzania lugha yake ni kiswahili na sisi ndiyo wa Swahili wenyewe kwa nini watuchoshe!!?
 
Santino

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
21,766
Points
2,000

Santino

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
21,766 2,000
Wewe umeshamshauri nini ngosha kwenye huu uzi.
Sina la kumshauri zaidi ya kuongeza muda wake wa utawala ili mlioko huko Tanzania mfurahie matunda yake nami siku nikirejea nikute kuna mwingine ambaye atakuwa anafuata njia zake alizotengeneza kwa miaka 30 ya uongozi wake.
 
troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
10,279
Points
2,000

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
10,279 2,000
Naona na wewe umemshauri mtoa ushauri

Sina la kumshauri zaidi ya kuongeza muda wake wa utawala ili mlioko huko Tanzania mfurahie matunda yake nami siku nikirejea nikute kuna mwingine ambaye atakuwa anafuata njia zake alizotengeneza kwa miaka 30 ya uongozi wake.
 
Ahmad Abdurahman

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2016
Messages
816
Points
2,000

Ahmad Abdurahman

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2016
816 2,000
Naiomba Serikali ya nchi yangu ya Tanzania itafakari mambo yafuatayo kwa marefu na mapana yake.

1. Suala la Stiglers Godge. Ni bomu linaloenda kuripuka na kuzamisha uchumi wa nchi. Wataua viumbe hai, watu watapiga pesa na umeme hautopatikana. Kwa nn imeachana na umeme wa Gesi?

2. Kutokushirikiana na wapinzani. Huu nao ni ujinga. Hakuna tatzo ambalo limetokea nchini bila kutahadharishwa au kutolewa maelezo na Wapinzani, serikali imekua ikipuuza. Ununuzi wa ndege, Accasia, Korosho, Stiglers Godge, Vitambulisho vya machinga, tekana tekana etc

3. Katiba bora. Serikali ianzishe mchakato wa kutunga katba iliyo bora itakayozifanya tasisi nying kujiongoza na kuepukana na ombwe la kila kiongozi kuja na mambo yake kichwani na kuvuruga yaliowahi kutendwa.

Mambi ni mengi
 
Forum statistics

Threads 1,344,344
Members 515,430
Posts 32,816,708
Top