Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,373
- 54,752
Look here; kwani hao "washauri wa serikali" hawawezi kuja (au hawapo) hapa? Hebu usitoe watu kwenye maada tafadhali.
Look here; kwani hao "washauri wa serikali" hawawezi kuja (au hawapo) hapa? Hebu usitoe watu kwenye maada tafadhali.
Kama hujaelewa nimemaanisha nini uliza na kama huwezi acha walioelewa wajibu..
1. Ondoa wakurugenzi waliowekwa kiukada, hawana msaada wowote wa kuendesha mambo kiueledi zaidi ya siasa
2.Mchezo wa kupotezana, kutkana, kuumizana ni ushamba na dalili za kushindwa kujibu hoja kwa hoja
3. Achana na kuteua watu KIDINI, kuteua watu kwa mrengo wa udini ni kujibania pool ya talent za kusaidia maendeleo kwa upofu wa "hawa ni wenzangu" na "wale si wenzangu", wakati kumbe ni taifa la watu walewale tu, jahzilikizama tunazama wote!
4. Ondoa white elephants projects, Uza ndege hizo pesa tuingize kwenye umeme wa gesi
5. Kuua private sector ni kuturudisha kwenye siasa za uchumi zilizofeli za Julius Nyerere, ni aina ya uchumi muflisi
6. Nchi lazima iwe na mipango endelevu, siyo kila anyekuja anakuja na ishu zake, anavunjavunja zile alizoshiriki kuzipitisha
7. Lazima sheria za nchi, uhuru wa watu, Demokrasia na Utaalam viheshimiwe
8. Rudisha Trilion zetu 2.4
9. Hakikisha unaenda mahakamani kudai Trilion zetu 424 tulizoibiwa na ACACIA, Mtu akisamehe hizo ni mhaini, huwezi kusamehe pesa inayolingana na bajeti ya nchi ya miaka 15 halafu usiwe msaliti!
10. Elimu bora na siyo bora elimu, lazima Elimu ya vitendo itiliwe mkazo, siyo matheory ambayo ukishapiga NECTA unatupa kule hayakusaidi choochote, lete elimu ya ujasirimali, ufundi kama vile ujenzi, umeme, vyombo vya moto, electronics, computer, mabomba, ufugaji, ususi, ushonaji etc. Hiyo ndo elimu ya maana, Siyo habari za Historia ya Ulaya kwenye middle ages, itanisaidia nini mimi?
Hapana kulingana na katiba mimi siyo mtata.Wewe jamaa n mtata sana eeee
Kama hujaelewa nimemaanisha nini uliza na kama huwezi acha walioelewa wajibu..
Huwa sijaribiwi, pia sishauriki
Hivi ni mimi kweli maana jamaa haonekani siku hizi.
Hivi wewe ndio ulikuwa unajiita mbao za mawe?
Hivi ni mimi kweli maana jamaa haonekani siku hizi.
Mbao za Mawe ni mshikaji wangu sana ndiye alinipa namna ya kujoin humu.ndio wewe utakuwa usituzuge. Maana alivyopotea yeye ndio nimeanza kukuona wewe. Mnafanana kila kitu
Mbao za Mawe ni mshikaji wangu sana ndiye alinipa namna ya kujoin humu.
Huu uzi ni wa kushauri serikali.
Sina la kumshauri zaidi ya kuongeza muda wake wa utawala ili mlioko huko Tanzania mfurahie matunda yake nami siku nikirejea nikute kuna mwingine ambaye atakuwa anafuata njia zake alizotengeneza kwa miaka 30 ya uongozi wake.Wewe umeshamshauri nini ngosha kwenye huu uzi.
Sina la kumshauri zaidi ya kuongeza muda wake wa utawala ili mlioko huko Tanzania mfurahie matunda yake nami siku nikirejea nikute kuna mwingine ambaye atakuwa anafuata njia zake alizotengeneza kwa miaka 30 ya uongozi wake.