Toka kwa Wananchi: Kero na Vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa...

JamiiForums

JamiiForums

Official Robot
Joined
Nov 9, 2006
Messages
5,106
Points
2,000
JamiiForums

JamiiForums

Official Robot
Joined Nov 9, 2006
5,106 2,000
Ndugu wana JamiiForums,

Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.

Karibuni sana.

MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.

Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
 
M.A.W.I

M.A.W.I

Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
40
Points
95
M.A.W.I

M.A.W.I

Member
Joined Apr 29, 2013
40 95
TCRA waweke katazo ya sms za matangazo ya hizi kampuni za bahati nasibu.... Nashauri wawe wanatuma sms mwisho tano wakiona muhitiko haupo wakupotezee na mchezaji watume walahu kumi tangu mara ya mwisho kucheza wakiona kimya waachane nawe maana imekuwa kero mno inapoteza muda wakati mwingine umebanwa na majukumu ya kazi unasikia sms imeingia kwenye simu unaenda angalia unakutana na sms ya hizi kampuni na wengine sio washiriki ila tunasumbuliwa kama vile wadahu wakongwe vile Nawasilisha
 
Kahise

Kahise

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2008
Messages
312
Points
500
Kahise

Kahise

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2008
312 500
Mimi nawashauri wanaojenga Stiegler Gorge, wawafahamishe watanzania kwamba: kwa kuwa mto ambako hilo bwawa linajengwa ni mto mchang; kijiolojia mto ambao ni mchanga huwa una kazi tatu ambazo huitwa Erosion, Transport and Deposition, je, maji yatachukua muda gani kujaa kwenye Bwawa ili liweze kutoa umeme? Na je. Itachukua muda gani kwa tope kujaa na kuathiri nguvu ya bwawa kutoa umeme? Je. Gharama ya kusafisha bwawa hilo litakuwa kiasi gani?
 
E

elishilia

Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
64
Points
125
E

elishilia

Member
Joined Apr 11, 2011
64 125
Serikali ina washauri inatakiwa wewe ushauri washauri wa serikali ili wao waishauri serikali.
Hii ni moja tuu ya mitizamo ya kupotosha kwa sababu inalenga kuaminisha umma kwamba kwa kiasi kikubwa kiongozi mwenye dhamana hayuko responsible kwa maamuzi anayoyafanya kwa kuwa "alishauriwa vibaya".

Dhamana na ushauri ni vitu viwili tofauti. Mtu mwenye dhamana kwa cheo chake anawajibika sii tu kwa maamuzi na matendo yake, bali na kwa walio chini yake. Yeyote anaefanya maamuzi ya hovyo regardless ya kwamba alishauriwa vibaya, anawajibika. Sasa tumekua taifa la kutumia kichaka cha "kashauriwa vibaya" na kuwalenga washauri badala ya wenye dhamana. Hatuwasaidii! Tunawa-absolve of responsibilty na accountability.

Waambieni wawe makini na ushauri wanaopewa hata kama ni kwenye masuala technical beyond uwezo wao. Wawe na personal "system" ya kuchuja ushauri. Kwa mfano kutafiti wenyewe, ku seek ushauri kwa mtu zaidi ya mmoja, kumtaka anaekushauri aje na option zaidi ya moja and atc.
 
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
19,376
Points
2,000
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
19,376 2,000

Umetumia nguvu kubwa kuandika kitu ambacho sitasoma.

Usiku mwema.
 
kanyela mumo

kanyela mumo

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Messages
1,875
Points
2,000
kanyela mumo

kanyela mumo

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2016
1,875 2,000
Nashauli wafanye kile wanacho kiamini kwasababu hakuna kitu kwa bahati mbaya.
 
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
19,376
Points
2,000
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
19,376 2,000
Sikukuandikia wewe, nimewaandikia ma Great Thinkers. Wewe kalale, and on your way make sure una pee
Ulini-qoute ukijua ni GT?

Uwe makini siyo kila mtu ni wa ku-quote hovyo.
 
B

bayayi

Member
Joined
Oct 28, 2018
Messages
38
Points
125
B

bayayi

Member
Joined Oct 28, 2018
38 125
Nachoona tunachekwa tu na majirani zetu kwa tunayofanyiwa na watu wanaolilia kujiita ma Dr na ma Prof wakati kiuhalisia maamuzi wanayoptisha hata ambaye hajaenda shule hathubutu kuyaptisha
 
J

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Messages
15,641
Points
2,000
J

JokaKuu

Platinum Member
Joined Jul 31, 2006
15,641 2,000
..huu siyo wakati wa kuishauri ccm.

..ni wakati wa kuiondoa madarakani.

..tutaishauri ikiwa nje haina serekali.
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
33,801
Points
2,000
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
33,801 2,000
Wana JF; naomba ukiamua kuchangia hapa uwe na constructive criticism (atakaependa na anaetaka kusifia nae anakaribishwa) kwa sharti moja: UJE NA USHAHIDI WENYE TAKWIMU.

Kwenu viongozi wa serikali na CCM mliomo humu nanyi naomba mtupe maelezo sahihi (ukileta maelezo kuwa mbuzi ni sawa na kondoo kwa kuwa huchungwa pamoja mimi binafsi sitasita kukupa my honest opinion however you hate it).

Naanza na suala la elimu:
Professor Ndalichako na wenzio; logic ya kuzuia waalimu kutoka nje ya nchi kufundisha hapa nchini kwetu ni nini? Tuzingatie facts zifuatazo:
1. Hao waalimu kutoka nje mara nyingi wanahitajika na shule binafsi, hawalipwi na serikali na wanalipiwa work permits na kulipa kodi (PAYE).
2. Shule binafsi hazisaidiwi kwa namna yeyote na serikali, kwa mantiki hiyo wenye shule hizo wanabeba mzigo wote kabisa (100%) ikiwemo gharama za utashi wao wa kutaka kuajiri waalimu wa nje (na hakuna mtu binafsi alie tayari kulipa Shilingi 10 badala ya Shilingi 2 kupata kitu chenye ubora ule ule). Kuna logic gani kuwazuia kutumia resources wazitakazo?

Niishie hapa kwa sasa.
Tunaotaka Kutoa Ushauri Wetu murua kwa Serikali kupitia Mamlaka zake za Usimamizi kuwa wahakikishe Bei za Makahaba ( Malaya ) hasa wale wanaosimama Barabarani ziwe ' Flat Rate ' kwa Milango yao yote Miwili ya Kaskazini na Kusini tutachangia wapi?
 
Z

z12f

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Messages
290
Points
250
Z

z12f

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2017
290 250
Wana JF; naomba ukiamua kuchangia hapa uwe na constructive criticism (atakaependa na anaetaka kusifia nae anakaribishwa) kwa sharti moja: UJE NA USHAHIDI WENYE TAKWIMU.

Kwenu viongozi wa serikali na CCM mliomo humu nanyi naomba mtupe maelezo sahihi (ukileta maelezo kuwa mbuzi ni sawa na kondoo kwa kuwa huchungwa pamoja mimi binafsi sitasita kukupa my honest opinion however you hate it).

Naanza na suala la elimu:
Professor Ndalichako na wenzio; logic ya kuzuia waalimu kutoka nje ya nchi kufundisha hapa nchini kwetu ni nini? Tuzingatie facts zifuatazo:
1. Hao waalimu kutoka nje mara nyingi wanahitajika na shule binafsi, hawalipwi na serikali na wanalipiwa work permits na kulipa kodi (PAYE).
2. Shule binafsi hazisaidiwi kwa namna yeyote na serikali, kwa mantiki hiyo wenye shule hizo wanabeba mzigo wote kabisa (100%) ikiwemo gharama za utashi wao wa kutaka kuajiri waalimu wa nje (na hakuna mtu binafsi alie tayari kulipa Shilingi 10 badala ya Shilingi 2 kupata kitu chenye ubora ule ule). Kuna logic gani kuwazuia kutumia resources wazitakazo?

Niishie hapa kwa sasa.
Some times foreign workers wana wahujumu watanzania wenye uwezo mzuri wa kufanya kazi. Ila hili zuio lina pwaya kwa sababu ya pseudo egalitarian un written policies zinazo encourage makada kuajiriwa, na makabila fulani kunyimwa ajira.
 
M

mgomba101

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
1,798
Points
1,225
M

mgomba101

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
1,798 1,225
Rushwa na ufisadi wa mirathi mahakama ya mwanzo Sinza.
Kuna jipu linaitwa Mercy alikuwa mhasibu mahakama ya Sinza. Anatuhumiwa kufisadi mirathi ya watu mbalimbali.Cha ajabu amehamishwa ili kumlinda. Tunaomba mhimili wa mahakama uchukue hatua juu ya mtu wao.pia takukuru nao wachukue hatua.
CC: DC Ubungo
CC:RC Dar es salaam
CC: DG PCCB
CC: DPP
CC: DCI
CC: Jaji Kiongozi
CC: Jaji mkuu
 
Forum statistics

Threads 1,307,088
Members 502,332
Posts 31,601,272
Top