Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,550
- 6,107
Wakuu hili ni pendekezo kama itawapendeza majeshi haya mawili ya Magereza na Zimamoto yabadilishiwe Uniform kutokana na sababu zifuatazo.
Jeshi la Magereza. Hili jeshi mpaka saivi haieleweki rangi halisi ya SARE yao ni ipi kwa sababu wakisimama kikundi cha askari utaona kila askari anarangi yake ya Uniform. Hii ni aibu na kulidhalilisha jeshi.
Jeshi la Zimamoto. Hili jeshi linatumia SARE za Polisi ni vyema likawa na Uniform yake ya kipekee kama yalivyo majeshi mengine. Kama sio mzoefu ni ngumu kutofautisha askari wa Zimamoto na Polisi.
Wakuu mnapendekeza Majeshi haya mawili yavae SARE ipi tukiachana na hizi za sasa hivi? Mimi binafsi napendekeza tuige Uniform za Askari kutoka GHANA
Angalia picha na video hapo chini kutoka Magereza Nchini Ghana na Zimamoto.
N.b Pendekezo hili limfikie Mkuu wa Nchi Mama Samia, Waziri wa mambo ya ndani pamoja na Viongozi wakuu wa hivyo vyombo tajwa hapo juu.
Asante