Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,467
- 3,381
Tuna amani, sawa..! Ila cha moto tunakipata
Kwamba 10,000 inaishia kwenye lita moja tuu ya mafuta ya kupikia na tena ni ya kupima yenye viwango vya chini kabisa cha uzalishaji
Kwamba ukiwa na 20,000 unarudishiwa 10,00 tu kwenye kilo kumi za sembe ambapo mahindi tunalima wenyewe
Kwamba ukiwa na 20,000 hupati kilo 7 za Mchele, wakati wazalishaji ni sisi?
Hiyo ni mifano michache tuu kati ya vitu vingi visivyonunulika Kwa Tsh 10,000 Kwa sasa, wakati vitu hivyo, miaka miwili iliyopita vilikuwa vikinunulika Kwa Tsh 3000 hadi 4000
Ni zaidi kuishi kwenye nchi yenye vita na ukaona maisha ni rahisi kulikoni kuwa hapa tulipo!
Atakayeichagua CCM 2025, amelogwa wallah nawaambia
Wanaotumaliza ni hawa wajinga wanaoleta ushabiki kama wa simba na yanga kwenye mambo ya maendeleo
Kuna mjinga mmoja yupo tayar kuipigia kura ccm pasipo kukifikirisha kichwa chake chochote,
Kama ni fadhila za kutukombolea nchi kwasasa imetosha inabid tuwapatie na wengine ili akili ziwakae sawa
Kalime uuze Bei rahisi...si mnadai mjini akili nguvu shamba!!..na bado,mpunga gunia kwa Sasa ni laki na tano elfu,kufika oktoba 130..ni wakati wa wakulima kujenga,kuendesha vogue
NalimaChukua jembe kalime uje uendeshe hata Passo baso
BurundiTuhamie somalia au
USSR
Kwani wao wanunua wapi hivyo vitu!? Wana masoko yao maalum yenye bei nafuu au vipi?Bongo kwa sasa hali ni tete! Kila kitu bei juu! Ni wafanyabiashara wakubwa na wanasiasa waandamizi pekee wa ccm ndiyo wanao faidi mema ya nchi.
Nachotaka ni kuwafungua macho ccm ili safar nyingine wakirudi warudi wakiwa na adabu,ila wakiendelea kuwa wao tu watatudharau sana kama ambavyo anafanya Mwigulu sahivHao chumia tumbo upande wa Pili (Chadomo) unahakika wanaweza kukuletea mapinduzi unayotarajia? Tanganyika hatujawa na upinzani kwa kipindi Cha miaka 20iliyopita labda kipindi kile 1995
CCM haipigiwa kura, wanajipigia wanajaza kwenye mabegi meusi,Wanaotumaliza ni hawa wajinga wanaoleta ushabiki kama wa simba na yanga kwenye mambo ya maendeleo
Kuna mjinga mmoja yupo tayar kuipigia kura ccm pasipo kukifikirisha kichwa chake chochote,
Kama ni fadhila za kutukombolea nchi kwasasa imetosha inabid tuwapatie na wengine ili akili ziwakae sawa
Kinachokera zaidi ni serikali kusema mfumuko wa bei ni kwa asilimia 4 tu.Bongo kwa sasa hali ni tete! Kila kitu bei juu! Ni wafanyabiashara wakubwa na wanasiasa waandamizi pekee wa ccm ndiyo wanao faidi mema ya nchi.
Bongo nyosoTuna amani, sawa..! Ila cha moto tunakipata
Kwamba 10,000 inaishia kwenye lita moja tuu ya mafuta ya kupikia na tena ni ya kupima yenye viwango vya chini kabisa cha uzalishaji
Kwamba ukiwa na 20,000 unarudishiwa 10,00 tu kwenye kilo kumi za sembe ambapo mahindi tunalima wenyewe
Kwamba ukiwa na 20,000 hupati kilo 7 za Mchele, wakati wazalishaji ni sisi?
Hiyo ni mifano michache tuu kati ya vitu vingi visivyonunulika Kwa Tsh 10,000 Kwa sasa, wakati vitu hivyo, miaka miwili iliyopita vilikuwa vikinunulika Kwa Tsh 3000 hadi 4000
Ni zaidi kuishi kwenye nchi yenye vita na ukaona maisha ni rahisi kulikoni kuwa hapa tulipo!
Atakayeichagua CCM 2025, amelogwa wallah nawaambia
Unaishi wapi mkuuTuna amani, sawa..! Ila cha moto tunakipata