mkazamjomba
Member
- Jan 27, 2012
- 61
- 21
siio wote bwana tupo watu ngangari bwanakazi ipo.
siio wote bwana tupo watu ngangari bwanakazi ipo.
Yawezekana kabisa hujaiba.... ila labda wewe na Bigirita mwaongea lugha moja....:biggrin:
......inaendelea:
INBOX ya Feisbuku:
-jana kwa nini ulinigandisha?(fidel)
-umkome bwanangu(mwali)
-hivi kuazima sidiria yangu ndo nin usirudishe(Ashadii)
-nshakwambia bishanga ana mwenyewe(Lizzy)
INBOX ya Rejao:
-baby jana ndo hujanifikisha kileleni?(feisbuku)
-kila siku unandanganya utakuja kwa wazazi(zubeda)
-zile condom ulikumbuka kuzitoa kwenye gari?(SL)
-yaani jana du,magoti yamelegea (Husn)
-hama mjini,kova anakutafuta kwa wizi wa kuku(kibonde)
-ole wako nikukute na Lizzy(bishanga)
..........itaendelea
Yaani kwa Aisha pesa ndio imefeli? :smash:

INBOX ya Kongosho:@bishanga, hujaacha bangi tu?
INBOX ya Kongosho:
-kukufungia safari toka dar hadi zanzibar kumbe we dume!(figanigga)
-nakudai buku(mama lishe)
-umezidi kupiga chabo(popobawa)
-wewe ni He au She?(bishanga)
Hahahahaha!jaman nyie watu mie nimestuka ucngizin nikaamua nichungulie mmu nakutana na hii mambo nimecheka sn!pole wanaume lol!in box zenu ni noma!ngoja nilale kwanza dah!nimefurahi vya kutosha!
SENT folder ya Kongosho:afu weye
ungekuwa karibu ningekupa njoge
SENT folder ya Kongosho:
To (Aspirin):ulisahau mswaki wako na kiroba cha ugoro wodini.
(To figanigga): weekend njoo zanzibar,this time tutafanya kweli
ni kweli! hahahahahah!!!!!!!!!!