Wakuu!

namshukuru Mungu kwa kuendela kunipa pumzi na uzima wa bure, leo nimegonga miaka 24.
siku nyingi hujapata shikamoo wewe, huko kwenu mnasalimiana kwa kiinglish kozi tu!
Shikamoo haitoshi, awe anagonga na like kabisa.!!
Wow!!!!!

Hongera sana kijana endelea kujitunza. Kumbuka ujana ni maji ya moto lakini pia binadamu siku zake za kuishi ni chache miaka 70 kama anaafya njema ni 80 zaidi ya hapo ni majaliwa. Ubarikiwe sana mdogo wangu!
Wakuu!
namshukuru Mungu kwa kuendela kunipa pumzi na uzima wa bure, leo nimegonga miaka 24.
Pamoja na kuchakachua umri Manyanza na IDs zako zote ....Long live broda
Wakuu!
namshukuru Mungu kwa kuendela kunipa pumzi na uzima wa bure, leo nimegonga miaka 24.
Huku shikamoo itoke wapi shem huku ni kimalikia malkia tu
Umetuwekea kichina china sio hata sijaelewa kitu aisee
Ah Bb..
ahsante kwa kunikumbusha Bezdei ya blazza!
Furaha iwe nawe mkuu "Manyanza"

Umeacha kuandika amtafute Mchungaji Masa apate baraka!