Kujifunza Photography

Kujifunza Photography

Kashai

Member
Joined
May 12, 2024
Posts
30
Reaction score
69
Wakuu Habari za Uzima, Wapi naweza Nikapata Sehemu ya Kujifunza Kupiga Picha "Photography" !? Sina Pesa ya kujifunzia ila nikipata Mfadhili au Sehemu ya kujifunzia Bure Nitashukuru, Nimeona niwe na Ujuzi Mwingine Wa Photography Wakati huu natafuta kazi ya Ualimu.

Mungu Awabariki.
 
kwa kutumia Camera
Okay, wakati unasubiria kufundishwa, nashauri ungeanza wewe kupiga kwanza kwa simu yako. Tupe Instahram yako tuone kazi zako tujue una passion au? Pia anza kupiga kwa manual camera setting achana na auto kwenye simu yako. Just shoot utapata experience.
 
Mkuu una 2 million cash? Ka nunue sonny camera kali inakuwa na automation nyingi na hautasumbuka sana
 
Okay, wakati unasubiria kufundishwa, nashauri ungeanza wewe kupiga kwanza kwa simu yako. Tupe Instahram yako tuone kazi zako tujue una passion au? Pia anza kupiga kwa manual camera setting achana na auto kwenye simu yako. Just shoot utapata experience.
Asantee, ila simu yangu Uwezo Mdogo Sana. Ngoja nitafute Studio nianze Kujifunza na kujitolea kama Alivyonishauri Real Mamy hapo chini.
 
Back
Top Bottom