To my dear single mothers

To my dear single mothers

Sawa lakini kama anakupenda kweli mtoto hawezi kuwa kikwazo. Tatizo wanawake wengi wanakuwa wepesi sana linapokuja suala la ndoa. Hivi ni sahihi kweli kumtelekeza mtoto kwa ajili ya mwanaume ambaye wala hana hata chembe ya DNA yako? Ikumbukwe kuwa katka ndoa wote wawili mnahitajiana hakuna aliye bora zaidi ya mwingine.

Nimekusoma mkuu, haya ndiyo mambo ambayo inabidi tuelimishane hapa, hakuna anaeenda kwenye ndoa kwasababu anamhitahitaji mwenzake zaidi ni mapenzi tu. Lakini hizi jamii zetu zimeshajenga desturi ya kuwa kigori ni lazima alipiwe mahari na kuolewa harusi.

Pale kigori anapoleta mtoto bila mahari wala ndoa anaonekana na dosari, na hii inamfanya awe vulnerable kwenye society.
 
wale watoto wako wanamcheka kaka yao kwasababu wazazi wako wanaishi kijijini na mtoto amekulia kijijini

Na baba mtoto nae anaishi kijijini, au mke wa yule baba alikataa mtoto asipelekwe kwake au mama mtoto hakutaka kupeleka mtoto kwa baba mtoto kisa kibri tu ya kwamba hata mimi nayaweza? Haya mambo magumu sana. Most of ''single mothers'' (nimesema most, sio wote) ninaowafahamu wapo complicated kidogo an wana mentality flani ya mashindano na waliopiga zile mimba.
 
Hapo unakuwa unawakosea...usingo maza unahusiana vipi na ukilaza wa mtu...vilaza wapo tu awe bikra, single mother au ameolewa kote vilaza wapo. Na wanaokumbuka misri ni wanawake tu? Mbona ninyi mnakuwa mmeoa ila bado na ma- baby mama wenu hamuachi kupasha kiporo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu!

Ukisikia huyu ni mwanamke na huyu ni mwanaume tofauti siyo tu viuongo vya uzazi tu!

Kuna mambo mengi sana mfano tangu kuumbwa kwa dunia mwanamke hajawahi kuolewa na wanaume wawili, uwezo wa reproduction (biological factor) zinampendelea mwanaume mume anao uwezo wa kuwapa mimba wanawake wengi kwa mara moja, ila ujue pia ata hiyo mimba iko imbadedi na mwanamke kuliko mwanaume.

Cha msingi ukiaachana na mtu unarudia kufanya nini amua usiolewe ijulikane na ujue uamini au ubishe mke anauma kuibiwa kuliko mume..!
 
Inategemea mkuu... kuna wanawake hawajui kuacha kuna mwengine akiacha ameacha, single moms wanaorudi kwa baba watoto wao baada ya kuachana ni kwa sababu wanaogopa kulea watoto peke yao hivyo wako tayari hata kuwa kwenye relationship wasioifurahia basi tu aonekane na yeye anaishi na baba wa mtoto, pili kukata tamaa. Wanahisi ukishakua single mom maisha yako yameishia hapo bora urudi kwa baba mtoto mkasongeshe hata kama akiwa na mtu mwingine anakua hamuamini anaona bora shetani anaemjua kuliko malaika mgeni. Mwanamke imara tu ndo anaweza kujitoa kwenye mikono ya mwanaume waliezaa nae zikabaki story za malezi tu na sio kukumbushia yaliyopita.
Nimekuelewa sana mkuu but let us hear the messages from these children, hakuna motto anaependa kulelewa na baba wa kambo wala mama wa kambo, lakini kwanini tukiwa kama binadamu tusijifunze kusuluhisha hizi hisia zetu za kibinadamu?
 
Nimekuelewa sana mkuu but let us hear the message from these children, hakuna motto anaependa kulelewa na baba wa kambo wala mama wa kambo, lakini kwanini tukiwa kama binadamu tusijifunze kusuluhisha hizi hisia zetu za kibinadamu?
Hakuna na sidhani kama kuna mzazi anapenda kuona mtoto wake anakosa malezi ya mzazi mwingine ila ni maisha tu yanapelekea haya.
 
Ndugu!

Ukisikia huyu ni mwanamke na huyu ni mwanaume tofauti siyo tu viuongo vya uzazi tu!

Kuna mambo mengi sana mfano tangu kuumbwa kwa dunia mwanamke hajawahi kuolewa na wanaume wawili, uwezo wa reproduction (biological factor) zinampendelea mwanaume mume anao uwezo wa kuwapa mimba wanawake wengi kwa mara moja, ila ujue pia ata hiyo mimba iko imbadedi na mwanamke kuliko mwanaume.

Cha msingi ukiaachana na mtu unarudia kufanya nini amua usiolewe ijulikane na ujue uamini au ubishe mke anauma kuibiwa kuliko mume..!
Wee aliyekwambia mume haumi nani? Kwa hiyo ninyi mna haki ya kupasha kiporo ila wanawake hapana. Na kama unajua mke anauma unajisikiaje unapokuwa unapasha kiporo na mke wa mwenzio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee aliyekwambia mume haumi nani? Kwa hiyo ninyi mna haki ya kupasha kiporo ila wanawake hapana. Na kama unajua mke anauma unajisikiaje unapokuwa unapasha kiporo na mke wa mwenzio?

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ni bora wanaume waelewe kuwa na sisi pia tungependa kwa wake wa watu lakini kwasababu ya watoto tunaopata nje ya ndoa inakua vigumu kwetu kwahiyo na wao kabla ya kuleta maamuzi kuwa hawataki kushirikishwa kwenye malezi walielewe hili.
 
Mimi bado sina mtoto ila ikija ikitokea kwangu ni bora uyo mwanaume aende aniache na mtoto wangu ukipenda boga penda na majani yake.....
Huwezi kumfanya mtoto wangu akose mapenzi ya mama eti kisa wewe humtaki otee maeee

............ Ila kama ndo tayar ashanioa na hataki akae na mtoto ambae sio wake no sweat ntampeleka kwa wazazi wangu maana kwanz sio kijijini hivyo wadogo zake hawato mcheka
 
  • Thanks
Reactions: mij
Nimekusoma mkuu, haya ndiyo mambo ambayo inabidi tuelimishane hapa, hakuna anaeenda kwenye ndoa kwasababu anamhitahitaji mwenzake zaidi ni mapenzi tu. Lakini hizi jamii zetu zimeshajenga desturi ya kuwa kigori ni lazima alipiwe mahari na kuolewa harusi.

Pale kigori anapoleta mtoto bila mahari wala ndoa anaonekana na dosari, na hii inamfanya awe vulnerable kwenye society.

Unajua tatizo lipo wapi mkuu? Wanaume wengi wanogopa kuchekwa, anaweza kuwa amempenda mwanamke ambaye tayari ana mtoto lakini anogopa marafiki/ndugu/jamaa watamwonaje. Lakini wakati umefika sasa katika mahusiano kusimama ninyi wawili na kuamua maisha yenu. Kosa kubwa wanalofanya wanawake katika mahusiano ni kuficha kuwa ana mtoto/watoto. Matokeo yake anakuja kusema wakati mapenzi yameshakolea kiasi kwamba mwanaume anakasirika kwa kutokuambiwa ukweli..
 
Wanaume wengi wanapenda watoto wa mpenz au mkewe,utakuta anasomesha n kuwalea kma wake....tena unakuta mwngne kaoa mtalaka mwenye watoto 5 na anawapenda kma wke,ila mwanamke kulea watoto wa mwanaume ni mtihani mgumu kma makonda kuonyesha cheti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank you, unakuta una mume hataki kumuona mwanao, mume akiwa safarini ndiyo unaangiza mwanao aletwe, ukisikia anaingiza gari gatini unamwambia mtoto aondoke kwa kupitia mlango wa jikoni ni maisha gani haya hata kama ni pesa.
na ya nn mm kijana 27 yrs nihangaike na single maza?
wapambane na hali zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wengi wanaogopa kujihusisha na single mothers kwasababu ya history of the baby father. Hii kitu leo tujaribu kuiweka wazi.

Dating a single mom is tricky especially kama mwanaume hana mtoto, mwenye mtoto anaeza kuelewa dynamics za mahusiano zilivo. Bongo sio marekani, when reality hits u in the face ndo utakapojua was it worth it kuwa na single mom au hapana. Kama sisi wanaume, n muhim kujua wot u get yourself into before starting dating or marrying a single mom. there is a lot a deal with haijalishi mtoto yupo bush au upo nae. Relationship tu za kawaida zina changamoto, ya single mom ni changamoto zaidi. Sio kitu kidogo kama wengi wanavozani.
 
Hata Simba anaposhinda na kuteka himaya ya Simba mwingine wa kiume huwa hawataki watoto aliowakuta. Hapo ni kwa wanyama wa porini wasio na akili inayofikia ya binadam, kwa hiyo mwanadamu anapofanya haya sishangai sana

sent from my Tecno W3
 
Mkuu you are trying to go out of tangent here plz don't the main issue is I'm I involved or not, if not let me make my rules which will be easy if the child will look for you as a grown up man but for now I need to be loved and cared. On top of that there is someone who is ready do so and love my son as well.
Matatizo makubwa mnajitengenezea kutaka kotekote unakuta unahitaji baba mtoto sababu ya maslahi ya mtoto na mume hicho kitendo kinamkera sana.

Ukisema umpuuze mzazi mwenzio hayuko tayari ndiyo hapo, single mother unabaki ujielewi
 
Unajua tatizo lipo wapi mkuu? Wanaume wengi wanogopa kuchekwa, anaweza kuwa amempenda mwanamke ambaye tayari ana mtoto lakini anogopa marafiki/ndugu/jamaa watamwonaje. Lakini wakati umefika sasa katika mahusiano kusimama ninyi wawili na kuamua maisha yenu. Kosa kubwa wanalofanya wanawake katika mahusiano ni kuficha kuwa ana mtoto/watoto. Matokeo yake anakuja kusema wakati mapenzi yameshakolea kiasi kwamba mwanaume anakasirika kwa kutokuambiwa ukweli..
Tatizo wanaume mmejenga hali tunawaogopa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa lakini kama anakupenda kweli mtoto hawezi kuwa kikwazo. Tatizo wanawake wengi wanakuwa wepesi sana linapokuja suala la ndoa. Hivi ni sahihi kweli kumtelekeza mtoto kwa ajili ya mwanaume ambaye wala hana hata chembe ya DNA yako? Ikumbukwe kuwa katka ndoa wote wawili mnahitajiana hakuna aliye bora zaidi ya mwingine.
Napenda point zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: mij
Back
Top Bottom