To my dear single mothers

To my dear single mothers

Ni pale unapokutana na mwanaume unamweleza kuwa una mtoto, mwanaume anasema amekupenda lakini hayuko tayari kuishi na mtoto asiye wake. Kwakuwa unahitaji ndoa unampeleka mtoto kwa wazazi wako aishi huko.

Umeolewa na umefanikiwa kupata watoto, wale watoto wako wanamcheka kaka yao kwasababu wazazi wako wanaishi kijijini na mtoto amekulia kijijini, wenzake wanamuona wa bush, wewe unajisikiaje ukiwa kama ndiye binadamu uliyemleta huyu kiumbe duniani?
Hicho siyo kitendo mkizuri wenye kufanya hivyo wajirekebishe iwe kwa mwanamke au mwanaume haipendezi.
 
Nimekuelewa mkuu, matatizo yanakuja pale single mother anapokosa msimamo. Kama jamaa amesema hawezi kuwa na wewe ni sawa, lakini aamue mawili kuwa asishiriki malezi yeyote ya mtoto mpaka mtoto atakapokuwa mkubwa amtafute baba yake. Haya mambo ha kuwa nitakuja kumsalimia Joseph nisiyasikie as long as we are no longer together.
Hehehe mbele ya dyudyu kuna msimamo? Hem nilale mie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehe mbele ya dyudyu kuna msimamo? Hem nilale mie

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kuwa single mothers wote wanaolewa kwasababu ya sex, hawa watu ukumbue kuwa jamii imesha wa judged kuwa ni watu easy going, so simple wanaweza kulala na mwanaume yeyote. Hii ni hali inayowabidi waishi nayo, so to proof the society wrong is for them to get married.
 
Wanaume huwa hatukatai watoto shida ni pale mtoto anapokuwa daraja baba yake kuingilia ndoa yangu..!

Na kwa akili zenu wamama zilivyokiduchu huwa hamkomi na viherehere vyenu kurudi misri..!
Hahaha mkuu,kurudi utumwni Misri!
 
Ndo maana siku zote mimi huwa nasema ni vema mtu akaolewa na yule aliyezaa nae kama anamjali mwanae to that eksitenti. Kwenye haya maisha huwezi kupata kila kitu. Wewe uishi maisha mazuri na mwanao aishi maisha mazuri ni ngumu sana lazima ukubali kusacrifice kimojawapo.
1. Uolewe na mwanaume mnayependana kwa dhati mtoto ukamtupe kijijini
2. Muoane wazazi wa mtoto hata kama hampendani kihivyoo ili mradi kuhakikisha mtoto anapata malezi ya wazazi wote wawili
3. Mama ubaki single milele ili umlee mwanao kwa Uhuru
Chaguo ni lako...umtoe kafara mtoto kwaajili ya furaha yako wewe au usacrifice furaha yako kwaajili ya mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Una akili sana..! Ukisha likoroga utulie pale kujifanya superstar unamdindia mtu ambaye ameisha kuzalisha ni upumbavu bora uwekeze kutafuta solution za ugomvi wenu mwanao atapona mengi.

Afu mjue huwa tunapata kigugumizi kujua nini kilitokea jamaa akakuacha na mtoto wake asitake kukuoa??
 
Si kuwa single mothers wote wanaolewa kwasababu ya sex, hawa watu ukumbue kuwa jamii imesha wa judge kuwa ni wati easy going, so simple wanaweza kulala na mwanaume yeyote. Hii ni hali inayowabidi waishi nayo, so to proof the society wrong is for them to get married.
Hahaa usichukulie serious madam ni utani tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una akili sana..! Ukisha likoroga utulie pale kujifanya superstar unamdindia mtu ambaye ameisha kuzalisha ni upumbavu bora uwekeze kutafuta solution za ugomvi wenu mwanao atapona mengi.

Afu mjue huwa tunapata kigugumizi kujua nini kilitokea jamaa akakuacha na mtoto wake asitake kukuoa??
Mkuu hatushindani as vulnerable creatures unaambiwa tu kuwa mimba hii ilikuwa bahati mbaya na mimi bado ninawategemea wazazi ambao wanataka nikasome. Sisi ndiyo tunabeba mtoto inabidi tupokee matokeo.
 
Si kuwa single mothers wote wanaolewa kwasababu ya sex, hawa watu ukumbuke kuwa jamii imesha wa judge kuwa ni wati easy going, so simple wanaweza kulala na mwanaume yeyote. Hii ni hali inayowabidi waishi nayo, so to proof the society wrong is for them to get married.
 
Mkuu si dudu tu, kuna mengi, kwanza ni security, unapojulikana wewe ni mke wa flani kuna heshima na protection, pia wanaume hawafirii kuwa watakupata kirahisi.
Sio kwa karne hii mkuu,labda ni kutojiamini tu,ninawafahamu single mothers wanaoishi kivyao na wako very successful,besides huyo mwanaume anawezaje kukupa securty wewe akamwacha mwanao,anatakiwa apende package nzima.
 
Yani umtenge mwanao kisa ndoa? mwanaume anaenipenda mimi ila hampendi mwanangu siwez kuolewa nae.. mwanangu nitaenda nae popote. Nilipo atakuwepo. Kumtenga mtoto kisa ndoa ni kiwa desperate.
 
Sky Eclat KWANI KUKAA KIJIJINI NI ADHABU?

PILI, NDOA NI MKATABA, KAMA WAMEKUBALIANA HVYO BASI HAMNA SHDA, VGEZO NA MASHARTI LAZMA VIZNGATIWE.
 
Nimekuelewa mkuu, matatizo yanakuja pale single mother anapokosa msimamo. Kama jamaa amesema hawezi kuwa na wewe ni sawa, lakini aamue mawili kuwa asishiriki malezi yeyote ya mtoto mpaka mtoto atakapokuwa mkubwa amtafute baba yake. Haya mambo ha kuwa nitakuja kumsalimia Joseph nisiyasikie as long as we are no longer together.
Mmmh huoni kama unamnyima mtoto haki yake ya kulelewa na kutunzwa na baba yake? Kwa nini umtenganishe na baba yake wakati baba yake hajamkataa? Na sidhani kama kuna mwanaume atakayekukubalia hilo. Imagine mwanaume ndo amchukue mtoto wenu afu akwambie kwa sababu anaoa basi wewe hutohusika na chochote kwa mtoto, mtoto atakutafuta akikua. That's too selfish
 
Hawa Wadada Jf Humu Kuna Uzi Waliponda Kuwa Hawawezi Kukaa Na Wanaume Wenye Watoto Labda Watoto Waende Kwa Bibi Zao Sasa Leo Wanajifanyakuwa Tukae Na Watoto Wao Namie Nasema Haiwezekani
Mwanamke anaekataa kukaa na mwanao hakufai mkuu kimbia...
 
Back
Top Bottom