To my dear single mothers

To my dear single mothers

Bora usiolewe kama hamtaki mwanao

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua nyie ni viumbe wa ajabu, hapo lazima ukubali kuwa victim wa kurukaruka kwako, ata simba mwenyewe alei mtoto asiye wake.

Kama akili ya mwanamke(single maza) ni kwendea chooni tu siku kamwe hatokuja kuolewa maana upuuzi wa kukumbuka misri hautomwacha salama.
 
Sasa kama umeshaolewa... unakuwaje tena single mother??

Afu napenda kurekebisha... hakunaga kitu kama single mothers/fathers... kuna single parents.
Heshima yako mkuu lakini mada ya leo ni single mothers wanapokutana na challenge ya mwanaume yuko tayari kwa ndoa lakini bila mtoto.
 
Sasa kama umeshaolewa... unakuwaje tena single mother??

Afu napenda kurekebisha... hakunaga kitu kama single mothers/fathers... kuna single parents.
Wabongo Lugha Haipandi Bora Umemwaga Mambo Waziwazi
 
Kwani kukulia kijijini kuna ubaya gani jamani. Mbona tupo tuliokulia kijijini na tuna akili timamu...tena kama mwanaume huyo ndo atakuwa mwanaume wa shoka sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kuwa kukulia kijijini hakuna ubaya hii ni jitihada zangu za kuweka tofauti ya watoto unao walea na mume wako na wale waliolelewa na babu na bibi kwa misingi ya wewe kuogopa ndoa yako.
 
Pamoja na kuwa kukulia kijijini hakuna ubaya hii ni jitihada zangu za kuweka tofauti ya watoto unao walea na mume wako na wale waliolelewa na babu na bibi kwa misingi ya wewe kuogopa ndoa yako.
Ndo maana siku zote mimi huwa nasema ni vema mtu akaolewa na yule aliyezaa nae kama anamjali mwanae to that eksitenti. Kwenye haya maisha huwezi kupata kila kitu. Wewe uishi maisha mazuri na mwanao aishi maisha mazuri ni ngumu sana lazima ukubali kusacrifice kimojawapo.
1. Uolewe na mwanaume mnayependana kwa dhati mtoto ukamtupe kijijini
2. Muoane wazazi wa mtoto hata kama hampendani kihivyoo ili mradi kuhakikisha mtoto anapata malezi ya wazazi wote wawili
3. Mama ubaki single milele ili umlee mwanao kwa Uhuru
Chaguo ni lako...umtoe kafara mtoto kwaajili ya furaha yako wewe au usacrifice furaha yako kwaajili ya mtoto

Nimekuelewa mkuu, matatizo yanakuja pale single mother anapokosa msimamo. Kama jamaa amesema hawezi kuwa na wewe ni sawa, lakini aamue mawili kuwa asishiriki malezi yeyote ya mtoto mpaka mtoto atakapokuwa mkubwa amtafute baba yake. Haya mambo ha kuwa nitakuja kumsalimia Joseph nisiyasikie as long as we are no longer together.
 
Unaachaje mwanao sababu ya dudu,mwanaume akikupenda kweli hata uwe na watoto sita atakaa nao na kuishi nao kama wakwake.
Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu si dudu tu, kuna mengi, kwanza ni security, unapojulikana wewe ni mke wa flani kuna heshima na protection, pia wanaume hawafirii kuwa watakupata kirahisi.
 
Back
Top Bottom