Huyu alikuwa anajiweza. ..sema Masharti yalitoka kwa mume. ....hataki yule mtoto kwenye Ndoa yake.Mifano hai tunayo, lakini kwanini jamii inawachukulia single mothers kama wanawake wenye hatia? Fikiria kama mama asingeogopa asingempeleka mtoto kwa dada yake na yeye alijiona kiuchumi hawezi kumudu malezi ya mtoto.
Wanaume kabla hamjaacha mtoto myafikirie haya.
Hapa hatuangalii uwezo tunaangalia mapenzi aliyoyakosa mtoto kutoka kwa mama yake na sasa amekua mkubwa amejenga chuki kubwa kwa mama yake.Huyu alikuwa anajiweza. ..sema Masharti yalitoka kwa mume. ....hataki yule mtoto kwenye Ndoa yake.
Na huyo mama kuficha Aibu ili aolewe ikabidi Dada mtu amsitiri.
It was a selfish act.
Maswali yanabaki kuwa mengi..kilichomkimbiza mwanaume mwenzako lazima na ww kitakutafuna tuUna akili sana..! Ukisha likoroga utulie pale kujifanya superstar unamdindia mtu ambaye ameisha kuzalisha ni upumbavu bora uwekeze kutafuta solution za ugomvi wenu mwanao atapona mengi.
Afu mjue huwa tunapata kigugumizi kujua nini kilitokea jamaa akakuacha na mtoto wake asitake kukuoa??
Nimekuelewa sasa,Hapa hatuangalii uwezo tunaangalia mapenzi aliyoyakosa mtoto kutoka kwa mama yake na sasa amekua mkubwa amejenga chuki kubwa kwa mama yake.
Mtu wangu wa karibu yalimkuta haya, alimuacha mtoto kwa wazazi wake na kuendelea na shule, alipokuwa shule alimpata mwanaume mwingine walioana.Nimekuelewa sasa,
Yeah ndio Kesha muathiri mtoto.
Na huwezi amini. ..mtoto naye amefanya same thing aliyofanya mama yake.
We hawez kumchukia mamaa make bhna. Mama ndo kamfanyia kila kitu akiwa mdogo. Istohe akiwa kijijn hua anatumiwa matumiz kamaa kawaaida na mawasiliaano ya simu yana endeleaHapa hatuangalii uwezo tunaangalia mapenzi aliyoyakosa mtoto kutoka kwa mama yake na sasa amekua mkubwa amejenga chuki kubwa kwa mama yake.
Wanaume wanachekwa kwa kukosa msimamo, mwanaume yeyote anaemini kile anachokitetea na kusimamia hoja yake jamii itamheshimu.
Hahaha asante kwa kusema ukweli. Hasa mtu akiangalia hum Jf watu wanavyowananga basi ndo kabisaa anapagawa....cha muhimu mtu unatakiwa usimame kwa miguu yako angalia furaha yako binadamu hawanaga jema
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ndiyo hapo huwa nasema wengi wao(singomaza) hukosa msimamo na hubaki wanayumba kimaisha, ukiamua kama mwanamke hutopata shida baba mtoto akiona vyema kumhudumia mtoto wake uwepo utaratibu wa kumhudumia km hataki pambana na hali yako siyo unakuwa na tamaa huku na huku mwisho wake unakosa kotekote! Baba mtoto huwa analazimisha kuwafanya michepuko kwa kigezo cha kumhudumia mtoto sasa wengi ni wapumbavu huwa wanakuwa victims wa huu ujinga.Yah yah nyinyi mnaosema uhusiano umekwisha si wa kulaumiwa kabisa, kwasababu mama ndiye aliyebeba mtoto tumboni asiwe na maisha wakati wewe uko free kuoa na kuendelea na maisha yako.
Kwani yule unayeolewa nae ni kakako useme atakufurahisha sebuleni kwa kicheko!? Ingelikua hivyo watoto msingekwenda kuwaficha kijijiniMamito hivi furaha ya ndoa ipo kitandani tu? Eti Asprin nisaidie beib
Sent using Jamii Forums mobile app
Muunganiko mkubwa wa ndoa ni dudu maana ni dudu ndio inayokufanya uitwe mke wa Fulani,siachi wanangu kwa ajili ya kijidudu cha mpito hivi mkiachana na kule kijijini mtoto akawa mkubwa akajenga chuki juu yako na upendo kwa bibi yake utakuja kumweleza nini akuelewe pale utapomkimbilia tenaMkuu si dudu tu, kuna mengi, kwanza ni security, unapojulikana wewe ni mke wa flani kuna heshima na protection, pia wanaume hawafirii kuwa watakupata kirahisi.