Hata kama ana wivu kiasi gani hiyo kitu siwezi kukubali, kama tumeshaachana si abaki na ustaarabu wake,aliniona wa kazi gani akanitelekeza na kitoto changu halafu leo alete zake hapana aiseeeeUnaweza kukuta mwanaume hana maneno matatizo yana kuwa kwa baby father ambae anajuinea wivu sasa umeolewa
Huo ni uelewa Mdogo wa mwanaume hilo la mtoto sio tatizo ukipenda boga penda na ua lakeNi pale unapokutana na mwanaume unamweleza kuwa una mtoto, mwanaume anasema amekupenda lakini hayuko tayari kuishi na mtoto asiye wake. Kwakuwa unahitaji ndoa unampeleka mtoto kwa wazazi wako aishi huko.
Umeolewa na umefanikiwa kupata watoto, wale watoto wako wanamcheka kaka yao kwasababu wazazi wako wanaishi kijijini na mtoto amekulia kijijini, wenzake wanamuona wa bush, wewe unajisikiaje ukiwa kama ndiye binadamu uliyemleta huyu kiumbe duniani?
Njia rahisi ninadhani ukiwa kwenye ndoa ni kumshirikisha yote mume wako na kumpiga stop ✋ baba junior akijifanya yeye kidumeHata kama ana wivu kiasi gani hiyo kitu siwezi kukubali, kama tumeshaachana si abaki na ustaarabu wake,aliniona wa kazi gani akanitelekeza na kitoto changu halafu leo alete zake hapana aiseeee
Wanaume wengine wanaogopae kugongewa wakiishi na junior baba yake anaweza kuwa na access na mama yake muda wowoteHuo ni uelewa Mdogo wa mwanaume hilo la mtoto sio tatizo ukipenda boga penda na ua lake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama akiwa bush mama akiamua ampe jamaa ake atampaWanaume wengine wanaogopae kugongewa wakiishi na junior baba yake anaweza kuwa na access na mama yake muda wowote
Hilo nalo neno dearNjia rahisi ninadhani ukiwa kwenye ndoa ni kumshirikisha yote mume wako na kumpiga stop ✋ baba junior akijifanya yeye kidume
Eeh mbona baadhi yenu mnasemaga kuolewa kitu gani, sijui move on ...n.kNa nyinyi wanaume muangalie ni hali gani unayompa mwenzako unapomwambia achague ndoa au mtoto wake, nani asiyetaka kuolewa?
MmmhWe need to be strong as women, we should not let these things happen.
Loving them is a call, you need to be strong if you let yourself fall in love with such.Single parents need to be loved too️
Thank you, unakuta una mume hataki kumuona mwanao, mume akiwa safarini ndiyo unaangiza mwanao aletwe, ukisikia anaingiza gari gatini unamwambia mtoto aondoke kwa kupitia mlango wa jikoni ni maisha gani haya hata kama ni pesa.
Mimi bado sina mtoto ila ikija ikitokea kwangu ni bora uyo mwanaume aende aniache na mtoto wangu ukipenda boga penda na majani yake.....
Huwezi kumfanya mtoto wangu akose mapenzi ya mama eti kisa wewe humtaki otee maeee
............ Ila kama ndo tayar ashanioa na hataki akae na mtoto ambae sio wake no sweat ntampeleka kwa wazazi wangu maana kwanz sio kijijini hivyo wadogo zake hawato mcheka
Hicho kijidudu Ndio kilichokuzalisha na huyo mwingine.Muunganiko mkubwa wa ndoa ni dudu maana ni dudu ndio inayokufanya uitwe mke wa Fulani,siachi wanangu kwa ajili ya kijidudu cha mpito hivi mkiachana na kule kijijini mtoto akawa mkubwa akajenga chuki juu yako na upendo kwa bibi yake utakuja kumweleza nini akuelewe pale utapomkimbilia tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisamehe kwa kunielewa vibayaHicho kijidudu Ndio kilichokuzalisha na huyo mwingine.
Msilete dharau wakati mnachodharau ndicho mlichokililia.
Sent using Jamii Forums mobile app